rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 21,952
- 43,265
anunue vitz ilaa nayo inatumia mafutaaa so kwa mshahara wa 500k means sio chini ya 250k unatumia kwa ajili ya gari na hapoo kuna mambo ya kugusana na watuu siku umeparua gari la watu huna 100 aisee ndo utalichukia gariii na used hazikosagi mapungufu mara gari inazimika upo road weeee 😀 😀 😀 😀 😀ivi hamna pikipik ingine nzur ya kitofauti,maana ukiendesha. izo tvs au boxer unaonekana bodaboda