Ushauri wa ununuaji gari ya kuanzia maisha

ivi hamna pikipik ingine nzur ya kitofauti,maana ukiendesha. izo tvs au boxer unaonekana bodaboda
anunue vitz ilaa nayo inatumia mafutaaa so kwa mshahara wa 500k means sio chini ya 250k unatumia kwa ajili ya gari na hapoo kuna mambo ya kugusana na watuu siku umeparua gari la watu huna 100 aisee ndo utalichukia gariii na used hazikosagi mapungufu mara gari inazimika upo road weeee 😀 😀 😀 😀 😀
 
magari ni ghali sana utunzaji wake
 
If possible ingia befoward chagua gari unalopenda kutokana na uzito wa mfuko wako then nenda Ofisi za befoward wakupe maelekezo yaliyonyooka , just in case kununua gari kutoka wa mbongo second hand si wazo langu, Bora kuagiza nje
 
Kama hiki ndicho kipato chako kwa mwezi na hauna kingine cha ziada, ningekushauri uachane na mawazo ya kumiliki gari.

Ninasema hivyo kwa sababu gharama za mafuta kwa mwezi zinaweza kufika hadi nusu ya hicho kipato. Bado hujapata changamoto za vipuri na matengenezo endapo yatatokea.
Ok kipato changu ni 500k Kwa mwezi mkuu
 
We nunua hata kwa mtu, muhimu update fundi nzuri wa kukagua.
Kipato changu ni chini ya hapo (sio Cha uhakika), nimenunua Toyota Raum kwa mtu huu mwaka wa 3 fresh tu.
Ukiwa na gari huiweki barabarani kila siku, unacheki tu mishe ukiona imekaa pouwa unatia wese unasepa.

Huyo anaesema kila siku inahitaji wese la 20k, Kwan anajua unaenda wapi?

Kama una familia Kuna wakati gari inakupa heshima sana.

We usisikilize maneno ya watu, we chukua chuma ishi nacho. Maisha ni haya haya.
utanishukuru baadae
 
Hujamshauri achukue chuma gani sasa chief
 
umesema kweli man...
Ukisikiliza sana watu ..watakupoteza
Ishi kwa mitazamo yako ambayo ni sahihi
 
Habari wana Jf?

Mimi ni kijana ila napenda kuwa na usafiri Kwa ajili ya mambo yangu ya kazi na privacy zangu mwenyewe za kimaisha.

Kazi yangu ni Mwalimu . Naomba ushauri wa aina ya gari ambayo itaendana na kipato changu na jinsi nitakavyoweza kuitunza pia. Wazo langu ni kununua used kwanza Kwa mtu.

Mchango wenu wakuu
Mpwayungu Village njoo hukuuuuuuu.....! Kuna mwalimu anataka kununua gari ya kutembelea!!!!!!!

Cc Mpwayungu Village
 
Habari wana Jf?

Mimi ni kijana ila napenda kuwa na usafiri Kwa ajili ya mambo yangu ya kazi na privacy zangu mwenyewe za kimaisha.

Kazi yangu ni Mwalimu . Naomba ushauri wa aina ya gari ambayo itaendana na kipato changu na jinsi nitakavyoweza kuitunza pia. Wazo langu ni kununua used kwanza Kwa mtu.

Mchango wenu wakuu
Skia ticha kamatia crown majesta au nissan fuga au tafuta crown athlete new model utaenjoy maisha ticha yaani akili itatulia utaweza fundisha na watoto wakatoka na div. 1 na 2 bas
 
Mwalimu Acha Mawazo Chukua Chuma Hiki Hutajuta Kamwe Mafuta Inanusa Kama Ugoro
images.jpeg.jpg
 
Back
Top Bottom