Ushauri wa ununuaji gari ya kuanzia maisha

Ushauri poa
 
Nunua probox au IST itakufaa kwani ukiweka mafuta ya elfu hamsini yatakuwa yanakutana na mshahara wako yaani tarehe 30 mpaka tarehe 30 ya mwezi unaofuta lakini Kama huna safari nyingi zisizona faida
 
Upo mkoa gani..?
 
Mkuu mimi naona ungejichanga had 10 milion ,ununue IST ya uhakika zaidi, sijawah miliki ila kwa uzoefu wa weng nasikia mafuta ya 50000 unaznguka nayo hata mwez , na hata yakiisha ukiipitisha sheli tu geji ya mafuta inasomaaa hyoo
Usijaribuuuuu aiseee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] 50 uzunguke mwezi labda kama unaenda umbali wa Km 2 kila siku.
 
Yaa mzee, kazn tu
Kazini inategemeana na Umbali.. kazini ukute ni Km 10 kwenda.. kurudi 10. So km 20 huwezi ni mafuta ya 10k kila siku. Ila kama kazini panaendeka hata kwa mguu haina shida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…