Ushauri wa ununuaji gari ya kuanzia maisha

Ushauri wa ununuaji gari ya kuanzia maisha

We nunua hata kwa mtu, muhimu update fundi nzuri wa kukagua.
Kipato changu ni chini ya hapo (sio Cha uhakika), nimenunua Toyota Raum kwa mtu huu mwaka wa 3 fresh tu.
Ukiwa na gari huiweki barabarani kila siku, unacheki tu mishe ukiona imekaa pouwa unatia wese unasepa.

Huyo anaesema kila siku inahitaji wese la 20k, Kwan anajua unaenda wapi?

Kama una familia Kuna wakati gari inakupa heshima sana.

We usisikilize maneno ya watu, we chukua chuma ishi nacho. Maisha ni haya haya.
utanishukuru baadae
Ushauri poa
 
Habari wana Jf?

Mimi ni kijana ila napenda kuwa na usafiri Kwa ajili ya mambo yangu ya kazi na privacy zangu mwenyewe za kimaisha.

Kazi yangu ni Mwalimu . Naomba ushauri wa aina ya gari ambayo itaendana na kipato changu na jinsi nitakavyoweza kuitunza pia. Wazo langu ni kununua used kwanza Kwa mtu.

Mchango wenu wakuu
Nunua probox au IST itakufaa kwani ukiweka mafuta ya elfu hamsini yatakuwa yanakutana na mshahara wako yaani tarehe 30 mpaka tarehe 30 ya mwezi unaofuta lakini Kama huna safari nyingi zisizona faida
 
Habari wana Jf?

Mimi ni kijana ila napenda kuwa na usafiri Kwa ajili ya mambo yangu ya kazi na privacy zangu mwenyewe za kimaisha.

Kazi yangu ni Mwalimu . Naomba ushauri wa aina ya gari ambayo itaendana na kipato changu na jinsi nitakavyoweza kuitunza pia. Wazo langu ni kununua used kwanza Kwa mtu.

Mchango wenu wakuu
Upo mkoa gani..?
 
Mkuu mimi naona ungejichanga had 10 milion ,ununue IST ya uhakika zaidi, sijawah miliki ila kwa uzoefu wa weng nasikia mafuta ya 50000 unaznguka nayo hata mwez , na hata yakiisha ukiipitisha sheli tu geji ya mafuta inasomaaa hyoo
Usijaribuuuuu aiseee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] 50 uzunguke mwezi labda kama unaenda umbali wa Km 2 kila siku.
 
Back
Top Bottom