USHAURI: walimu tumieni kishikwambi kukuza ndoto za wanafunzi

generationn Z

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2025
Posts
454
Reaction score
748
Walimu hasa mlioko vijijini. Najua hali ya ufundishaji ni ngumu lakni hakuna namna, komaeni na hizo kishikwambi angalau kukuza ndoto za vijana mfano kuna Dj arts, kuchora, kuimba nk. Ila zinakufa na walimu wameshikilia hizo vishikwambi mikononi wengi wakizitumia kwa kuangalia movie na kukusanyia takwimu tu

Mda ni mfupi Africa tuamke ebu tuanze na kimojawapo hapo juu

Wewe mwalimu km unalipenda taifa la leo na kesho nenda play store kapakue hizi apps
📌 idjing
📌 disc dj
📌cross dj nk

tumia mda wako binafsi au kavunje kipindi chochote na uwafundishe wanafunzi wako au km hujui kuzitumia wape home work wakaanze wao huko makwao
Alafu kesho waje mjifunze nai uone utakovobaini vipaji na furaha darasani kwako
Hello Tanzania
 
Wazo zuri fani nyingine tofaut na udj ipi wawafundishe

Kuna shule bado mtandao na umeme haujafika kama NAKIU NANJIRINJI kilwa.huko unawashauri nn?
 
Yaani vishikwambi vya mwaka 2022 hadi Leo hii vipo,four years,upuuzi mtupu
 
Wazo zuri fani nyingine tofaut na udj ipi wawafundishe
Zipo nyingi kulingana na mapenzi ya wafundishaji na mfundushaji mf:
📌Kudesign raman za n
yumba
📌video editor
📌kutengeneza beat
Kuna shule bado mtandao na umeme haujafika kama NAKIU NANJIRINJI kilwa.huko unawashauri nn?
Solar itakuwa mbadala wa umeme japo ufanis wake sio mkubwa na gharama inaweza kuwa juu
 
Digital education ndio Elimu ya kuwapa watoto sasa hivi na internet plus AI hamna kitu ambacho hakieleweki.
 
Mwalimu aache kufikiria maisha yake aanze kufikiri kufundisha u dj watoto wawenzake..
Mkuu, maisha ya walimu magumu sanaa acha wafundishe kilichokwenye mtaala na ndo wajibu wao, hayo mamba ya kupenda taifa kujiongeza ni ubwege.
Walimu wanajitoa sanaa kwenye hii nchi, wanaishia kudharaukika tu..
 
Doooh, kutoka kuwatukana walimu hadi kuwaomba wakomboe taifa? Pambana na wanao bwashe walimu hawana posho ya kufanya hicho usemacho. Waache walimu wetu wauze barafu shuleni pamoja na kuendesha bodaboda ili kujiongezea kipato.
 
  • Thanks
Reactions: K11
Waambie waandaa mitaala. Walimu tunafanya kulingana na miongozo. Hayo mengine hata wazazi mnaweza kufanya. Msiishie kushinda tu jf na kwingine, tumieni hizo simu janja kuibua vipaji vya watoto wenu.
Nyie ndo mnakaa nao mda mrefu hata mda wa likizo mnawaitaji wasome tuition
 
Na hata hao watunga mitaala sie hatujui namna ya kuwasiliana nao ila ninyi angalau mna pakuanzia
 
Mwalimu aache kufikiria maisha yake aanze kufikiri kufundisha u dj watoto wawenzake..
Mkuu, maisha ya walimu magumu sanaa acha wafundishe kilichokwenye mtaala na ndo wajibu wao, hayo mamba ya kupenda taifa kujiongeza ni ubwege.
Walimu wanajitoa sanaa kwenye hii nchi, wanaishia kudharaukika tu..
Mwalimu ni daraja hapaswi kukata tamaa na kuhusu kutolipwa sitahiki zao vizuri me naamini mwalimu anayo nguvu kubwa ila anaitumia ndivyo sivyo
 
Back
Top Bottom