Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,958
- 183,574
Yaani mtuongezee kazi kisa nyie mko busy!!Na hata hao watunga mitaala sie hatujui namna ya kuwasiliana nao ila ninyi angalau mna pakuanzia
Nasi tuko busy kutekeleza mtaala uliopo.
Yaani mtuongezee kazi kisa nyie mko busy!!Na hata hao watunga mitaala sie hatujui namna ya kuwasiliana nao ila ninyi angalau mna pakuanzia
Kwaio unataka kusema tokea uhuru wa Tanganyika wali wote walipita hakuna hata mmoja alietumia nguvu zake..Mwalimu ni daraja hapaswi kukata tamaa na kuhusu kutolipwa sitahiki zao vizuri me naamini mwalimu anayo nguvu kubwa ila anaitumia ndivyo sivyo
Mwalimu ni daraja hapaswi kukuta tamaa na kuhusu kutolipwa sitahiki zao vizuri me naamini mwalimu anayo nguvu kubwa ila anaitumia ndivyoMwalimu aache kufikiria maisha yake aanze kufikiri kufundisha u dj watoto wawenzake..
Mkuu, maisha ya walimu magumu sanaa acha wafundishe kilichokwenye mtaala na ndo wajibu wao, hayo mamba ya kupenda taifa kujiongeza ni ubwege.
Walimu wanajitoa sanaa kwenye hii nchi, wanaishia kudharaukika tu..
Hapa sikupingi mkuuKwaio unataka kusema tokea uhuru wa Tanganyika wali wote walipita hakuna hata mmoja alietumia nguvu zake..
Mkuu mifumo iliyowekwa nd unadhoofisha walimu
Naona mwalimu umeamua kurudisha mpira kwa kipa 😆Waambie waandaa mitaala. Walimu tunafanya kulingana na miongozo. Hayo mengine hata wazazi mnaweza kufanya. Msiishie kushinda tu jf na kwingine, tumieni hizo simu janja kuibua vipaji vya watoto wenu.
Kila mmoja hataki majukumu🤣🤣Naona mwalimu umeamua kurudisha mpira kwa kipa 😆
Kila siku wanatuzodoa humu, huku majukumu wametuachia🤣Mwalimu aache kufikiria maisha yake aanze kufikiri kufundisha u dj watoto wawenzake..