generationn Z
JF-Expert Member
- Jun 30, 2025
- 454
- 748
Yaani vishikwambi vya mwaka 2022 hadi Leo hii vipo,four years,upuuzi mtupuWalimu hasa mlioko vijijini. Najua hali ya ufundishaji ni ngumu lakni hakuna namna, komaeni na hizo kishikwambi angalau kukuza ndoto za vijana mfano kuna Dj arts, kuchora, kuimba nk. Ila zinakufa na walimu wameshikilia hizo vishikwambi mikononi wengi wakizitumia kwa kuangalia movie na kukusanyia takwimu tu
Mda ni mfupi Africa tuamke ebu tuanze na kimojawapo hapo juu
Wewe mwalimu km unalipenda taifa la leo na kesho nenda play store kapakue hizi apps
📌 idjing
📌 disc dj
📌cross dj nk
tumia mda wako binafsi au kavunje kipindi chochote na uwafundishe wanafunzi wako au km hujui kuzitumia wape home work wakaanze wao huko makwao
Alafu kesho waje mjifunze nai uone utakovobaini vipaji na furaha darasani kwako
Hello Tanzania
Vingi vimeshajifia.Yaani vishikwambi vya mwaka 2022 hadi Leo hii vipo,four years,upuuzi mtupu
Zipo nyingi kulingana na mapenzi ya wafundishaji na mfundushaji mf:Wazo zuri fani nyingine tofaut na udj ipi wawafundishe
Solar itakuwa mbadala wa umeme japo ufanis wake sio mkubwa na gharama inaweza kuwa juuKuna shule bado mtandao na umeme haujafika kama NAKIU NANJIRINJI kilwa.huko unawashauri nn?
Watumie hata simu zao binafsi kuokoa hichi kizazVingi vimeshajifia.
Ndyo🤣🤣🤣🤣
Au sio!
NdyoDigital education ndio Elimu ya kuwapa watoto sasa hivi na internet plus AI hamna kitu ambacho hakieleweki.
🤣🤣🤣🤣🤣Watumie hata simu zao binafsi kuokoa hichi kizaz
Usicheke hakun namna🙂🤣🤣🤣🤣🤣
Eti eeeeh!!
Waambie waandaa mitaala. Walimu tunafanya kulingana na miongozo. Hayo mengine hata wazazi mnaweza kufanya. Msiishie kushinda tu jf na kwingine, tumieni hizo simu janja kuibua vipaji vya watoto wenu.Usicheke hakun namna🙂
Nyie ndo mnakaa nao mda mrefu hata mda wa likizo mnawaitaji wasome tuitionWaambie waandaa mitaala. Walimu tunafanya kulingana na miongozo. Hayo mengine hata wazazi mnaweza kufanya. Msiishie kushinda tu jf na kwingine, tumieni hizo simu janja kuibua vipaji vya watoto wenu.
Nyie ndo mnakaa nao mda mrefu hata mda wa likizo mnawaitaji wasome tuition
Na hata hao watunga mitaala sie hatujui namna ya kuwasiliana nao ila ninyi angalau mna pakuanziaWaambie waandaa mitaala. Walimu tunafanya kulingana na miongozo. Hayo mengine hata wazazi mnaweza kufanya. Msiishie kushinda tu jf na kwingine, tumieni hizo simu janja kuibua vipaji vya watoto wenu.
Mwalimu ni daraja hapaswi kukata tamaa na kuhusu kutolipwa sitahiki zao vizuri me naamini mwalimu anayo nguvu kubwa ila anaitumia ndivyo sivyoMwalimu aache kufikiria maisha yake aanze kufikiri kufundisha u dj watoto wawenzake..
Mkuu, maisha ya walimu magumu sanaa acha wafundishe kilichokwenye mtaala na ndo wajibu wao, hayo mamba ya kupenda taifa kujiongeza ni ubwege.
Walimu wanajitoa sanaa kwenye hii nchi, wanaishia kudharaukika tu..
Kuna system yangu ipo kwaajili ya material za walimu apa bado inamalizika ni open and free natumai ita impact Elimu ya bongo with a lot of resource collection.Ndyo
Au sio!!Nyie ndo mnakaa nao mda mrefu hata mda wa likizo mnawaitaji wasome tuition