USHAURI: walimu tumieni kishikwambi kukuza ndoto za wanafunzi

Na hata hao watunga mitaala sie hatujui namna ya kuwasiliana nao ila ninyi angalau mna pakuanzia
Yaani mtuongezee kazi kisa nyie mko busy!!
Nasi tuko busy kutekeleza mtaala uliopo.
 
Mwalimu ni daraja hapaswi kukata tamaa na kuhusu kutolipwa sitahiki zao vizuri me naamini mwalimu anayo nguvu kubwa ila anaitumia ndivyo sivyo
Kwaio unataka kusema tokea uhuru wa Tanganyika wali wote walipita hakuna hata mmoja alietumia nguvu zake..
Mkuu mifumo iliyowekwa nd unadhoofisha walimu
 
Mwalimu ni daraja hapaswi kukuta tamaa na kuhusu kutolipwa sitahiki zao vizuri me naamini mwalimu anayo nguvu kubwa ila anaitumia ndivyo
Kwaio unataka kusema tokea uhuru wa Tanganyika wali wote walipita hakuna hata mmoja alietumia nguvu zake..
Mkuu mifumo iliyowekwa nd unadhoofisha walimu
Hapa sikupingi mkuu
 
Waambie waandaa mitaala. Walimu tunafanya kulingana na miongozo. Hayo mengine hata wazazi mnaweza kufanya. Msiishie kushinda tu jf na kwingine, tumieni hizo simu janja kuibua vipaji vya watoto wenu.
Naona mwalimu umeamua kurudisha mpira kwa kipa 😆
 
Vishikwambi walienda kuvibadilisha kuwa pombe 😂😂😂
Na waliobaki navyo havifanyi kazi
 
Kila siku wanatuzodoa humu, huku majukumu wametuachia🤣
Sasa wameamua na kutuongezea na ya udj🙆‍♂️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…