Ushauri wangu kuhusu Mtanzania aliyetekwa Nigeria

Ushauri wangu kuhusu Mtanzania aliyetekwa Nigeria

wale jamaa zetu wa kupasua matofali kwa ukogo kwenye sherehe za uhuru, tukio kama hili ni platform pekee ya kuionyesha dunia umwamba wao kwenye special op.
Zile mbwembwe zote zilikuwa message kwa jirani yetu mwembamba
 
rescue mission hazihitaji silaha nzitonzito za kuzisafirisha kwa madege ya vita au malori. silaha kubwa ni uwezo wa kukusanya taarifa.

nani waliomteka,agenda yao ni nini(siasa, dini,fedha),uwezo wao upoje,location ya hostage na kadhalika.
Huwezi fanya rescue mission bila nyanja za usafirishaji.
Magaidi wameweka deadline ya siku tano mtume hela kwa mfano. Utawakatia tiketi hicho kikosi labda watu 7, wakifika Nigeria wapande ndege nyingine kwenda huo mji, wakishuka airport watapanda daladala mpaka eneo la tukio?
Na hutotegemea kuwaomba jeshi la Nigeria wakusaidie. Unachowaomba wao ni ruhusa ya kufanya shughuli zako kwenye territory yao, inawezekana isiwe interest yao kuokoa watu wako au uwezo hawana. Miaka michache iliyopita walitekwa Chibok girls zaidi ya 200 jeshi lao likashindwa wakomboa zaidi ya mwaka sembuse mbongo mmoja.

Hapo unatakiwa uwe na utility helicopter ya kubeba SOF wakiwa kule Nigeria au uwe na military transport aircraft medium ambayo inaweza hata kuwabeba kutoka Tanzania, washushwe na kufanya mission kwa accuracy kubwa na haraka. Waokoe mateka na kubebwa na hiyo helikopta inayokuwa inafanya hovering around, kama ilikuwa ni fixed wing basi kuna van ilishawekwa karibu iwabebe mpaka nearby airstrip.

Kabla ya hapo ndio umefanya yote hayo uliyotaja. Intelligence kujua mateka wako wapi na waliowateka wana silaha gani, position na intention yao. Na hizo taarifa unazipataje bila zana za kisasa za kuingilia mawasiliano ya simu, kufanya tracking ya radio frequencies, transactions labda, n.k na unabebaje hayo maboksi ya vifaa kuingia nayo Nigeria which is against their laws. Hapo ndipo nchi nyingine wanamaliza kwa kwenda na ndege, ina kila kitu humo.
Taarifa pekee hazitokusaidia kama huna training nzuri ya special forces, huna zana za kisasa hizo hizo unazosema ni ndogo na wajue kuzitumia vizuri na wazizoee.
Labda kila mmoja atakuwa na optics, NV goggles, laser rangefinder, silencer, bulletproof vest, radio na vingine.

Huwa inaleta fedheha kujifanya mmeenda kuokoa na mateka wakauwawa. Watu wanafanya hesabu kali wakiona hawawezi mnalipa tu hiyo hela ila mnafanya ujasusi msilipe mara mbili mbili au muwakamate wahusika baada ya kuwalipa hapo hamna cha kupoteza wala tahadhari kubwa hata mkiwapiga na silaha nzito K11
 
rescue mission hazihitaji silaha nzitonzito za kuzisafirisha kwa madege ya vita au malori. silaha kubwa ni uwezo wa kukusanya taarifa.

nani waliomteka,agenda yao ni nini(siasa, dini,fedha),uwezo wao upoje,location ya hostage na kadhalika.
Umewahi kufanya mission ngapi zikafanikiwa kama hizo?
Eti Mission?
 
Hata wakimuokoa hawawezi kusema. JWTZ kamwe hawatangazagi tumefanyi misheni hii au ile. Wanafanya mambo mengi sana mchana na usiku, misheni za kufa na kupona. Ni MO yao, SIRI!
 

Attachments

  • you-re-welcome-conan-o-brien-es9du8lqdi8hh96d.gif
    you-re-welcome-conan-o-brien-es9du8lqdi8hh96d.gif
    2.6 MB · Views: 3
Mleta mada umewaza kichadema-chadema sana. Wanaotumia nguvu lazima watanguliwe na wanaotumia akili ili kuleta information sahihi na wanaotumia akili ni hao uliowabeza

Bila hivyo huto tuvijana sita au saba unatotuamini tutarudi kwenye majeneza.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo uchadema unaingiaje!?(aundiobndio umeanza kushikishwa ukuta!?)
 
Kwanini sita au saba? NI kwasababu mission kama hizi hazihitaji watu wengi.
Huwezi ukaenda kufanya ujinga km huo ndani ya Nchi ya watu wengine hilo ni suala la Nchi husika hapo rais wa Nigeria na Mkuu wa majeshi wa Nigeria ndio anahusika
 
Back
Top Bottom