Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Uwezo umefika ukomo. Hawezi kuwa na jipya tenaShomari Kapombe bado umri mdogo, hayupo kundi moja na Boko na Erasto Nyoni
Anachezea timu gani?Yule Kibabage atakuja kuwa wa moto
Hivi utakwenda kucheza na mijibaba kama Dr Congo, Togo, Mali n.k kisha ukatumia beki kama kibwana Shomari au kibabage pekee? Hata kama wana vipaji vikubwa ila maumbo yatawahukumu.Shomar kapombe n mdogo lakin Hana jipya tena hawez ongeza chochote ndo mwisho wa uwezo wake sijui Hawa makocha wetu yan n aibu Boko, nyon na mzamiru kuchezea timu ya taifa hasa Boko umri umemuacha Sana
KMCAnachezea timu gani?
Mpira ungekuwa ni maumbo Jordi Alba na kina Dani Alves wasingecheza huko waliko.Hivi utakwenda kucheza na mijibaba kama Dr Congo, Togo, Mali n.k kisha ukatumia beki kama kibwana Shomari au kibabage pekee? Hata kama wana vipaji vikubwa ila maumbo yatawahukumu.
Uliangalia mechi ya stars na Dr Congo kule kwao na hapa nyumbani?Mpira ungekuwa ni maumbo Jordi Alba na kina Dani Alves wasingecheza huko waliko.
Ukweli sijaangalia ila naamini kama unaweza haijalishi umbo lako japo uwe unajiweza maana hata history wachezaji waliotokea kuwa wazuri na wafupi na wadogo kama Maradona, Messi mpaka kina Xavi vidogo tu Iniesta ila wanajuwa.Uliangalia mechi ya stars na Dr Congo kule kwao na hapa nyumbani?