Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
n
nyoni bado yupo vizuri sana. ila kuna viumbe fulani hivi vinaitwa Boko na Shomari, hawa hawatakiwi kurudi tena kwenye timu ya taifa. nilishangaa jana kwanini Bocco hatolewi wanamtoa faizo, boko anatakiwa acheze ligi za ndani ila sio kwenye timu ya taifa. kwanza tangu atiwe kidole na Nyoso akabaki kimya bila hata kurusha ngumi ndo nilimdharau hadi leo huwa naona boya kweli.Ushauri Wangu Kuhusu Wachezaji John Bocco, Shomari Kapombe Na Erasto Nyoni
Wadau wa JF
Huu ndiyo ukweli hata kama unaumiza
Huu ndiyo ukweli wenye maslahi mapana kwa nchi yetu
Wachezaji John Bocco na Shomari Kapombe na Erasto Nyoni uwezo wao uwanjani umepungua pakubwa sana kutokana na umri na sababu nyinginezo
Ni busara wachezaji hawa wakapumzishwa rasmi kuichezea Timu yetu ya Soka ya Taifa (Taifa Stars)
Ni wakati muafaka wa kuanza kutumia damu changa zilizojaa vipaji lukuki
KaziIendelee