Kama nimekuelewa ni kwamba tuna makocha wababaishaji wasiojielewaKwani hawa wachezaji hua wanatoa rushwa kwa kocha ili awapange kikosi cha Kwanza?
Wanachoonyesha kwenye uwanja wa mazoezi ndicho hicho kinafanya kupangwa kwenye mchezo, hizo damu change unazosema zenye vipaji lukuki ni kwanini hazichezi?
Ni kwamba hawapendwi na kocha ama ?
Tuache ujuaji muacheni kocha afanye kazi yake kama hao wachezaji hawafai basi hao damu changa waonyeshe viwango waitwe timu ya taifa na sio kuitwa tu bali wakapiganie namba wawaweke benchi hao wazee kama wanaweza.
Mkuu manula niliwahi kumsikia kuwa kazaliwa mwaka 1995muongeze list Samata na Manula...
Ungeangalia hizo mechi ungenielewa kipi namaanisha ungeona jinsi hawa wachezaji wetu waliovyokuwa wana bembea kwenye migongo ya watu ungenielewa mtu anapiga kichwa mbele ya Job japo kajitahidi kuruka kwa uwezo wake wote ila kimo kimemhukumu.Ukweli sijaangalia ila naamini kama unaweza haijalishi umbo lako japo uwe unajiweza maana hata history wachezaji waliotokea kuwa wazuri na wafupi na wadogo kama Maradona, Messi mpaka kina Xavi vidogo tu Iniesta ila wanajuwa.
Mimi nakubaliana na wewe kuwa na centre back wenye miili mikubwa inasaidia au ku mix vimo inakuwa ngumu kuwa beki zote wafupi mtapata tabu mipira mirefu, sasa hapo ndio kocha anatakiwa kuonesha utalaamu wake kwa kujuwa mimi nacheza na watu warefu nitumie wachezaji gani waweze kukabiliana na hatari au sina chaguo ni hawa tu nifanye mbinu gani kupunguza makali ya vimo vyao, Kitu kimoja najuwa kuwa beki wa kati kuwa na kimo ni advantage kubwa na duniani kote mabeki wa kati warefu na ukiona beko mfupi basi juwa huyo ni special talent ila beki za pembeni ufupi sio shida sana. Sasa hapa inakuja suala la kuwakuza vijana physical kwa mazoezi na vyakula. Toka wakiwa wadogo unamwambia kabisa wewe beki na mwili wako huu hutafika mbali hamia kiungo au wewe mrefu rudi nyuma. VVD alikuwa forward akaambiwa nyuma kuna kufaa, Paul scholes alikuwa striker akaambiwa wewe mzuri lakini mbele sio sehemu yako rudi kati akaja kuwa bonge la kiungo. Huyu mtoto wa Liver Jones alikuwa winger kabadilishwa kiungo yuko juu. ni kuwa na makocha wazuri wa academy kuweka mambo sawa kabla too late.Ungeangalia hizo mechi ungenielewa kipi namaanisha ungeona jinsi hawa wachezaji wetu waliovyokuwa wana bembea kwenye migongo ya watu ungenielewa mtu anapiga kichwa mbele ya Job japo kajitahidi kuruka kwa uwezo wake wote ila kimo kimemhukumu.
Unaweza kuwa mfupi na ukawa mchezaji hatari sana ila inategemea nafasi gani unacheza, usibeze hata kidogo umbo lina maana kubwa sana kwenye mpira.
Ishu ni kiwango kushuka siyo umriShomar kapombe n mdogo lakin Hana jipya tena hawez ongeza chochote ndo mwisho wa uwezo wake sijui Hawa makocha wetu yan n aibu Boko, nyon na mzamiru kuchezea timu ya taifa hasa Boko umri umemuacha Sana
Kwani hawa wachezaji hua wanatoa rushwa kwa kocha ili awapange kikosi cha Kwanza?
Wanachoonyesha kwenye uwanja wa mazoezi ndicho hicho kinafanya kupangwa kwenye mchezo, hizo damu change unazosema zenye vipaji lukuki ni kwanini hazichezi?
Ni kwamba hawapendwi na kocha ama?
Tuache ujuaji muacheni kocha afanye kazi yake kama hao wachezaji hawafai basi hao damu changa waonyeshe viwango waitwe timu ya taifa na sio kuitwa tu bali wakapiganie namba wawaweke benchi hao wazee kama wanaweza.
Ongeza Lorenzo Insigne, Marco Verrati, Ngoro Kante, Roberto Carlos, Zolla, Msuva, Ngassa, Marco Senna, Matthew Valbuena and too many to mationUkweli sijaangalia ila naamini kama unaweza haijalishi umbo lako japo uwe unajiweza maana hata history wachezaji waliotokea kuwa wazuri na wafupi na wadogo kama Maradona, Messi mpaka kina Xavi vidogo tu Iniesta ila wanajuwa.
Naomba ni kujibu kiufundiUshauri Wangu Kuhusu Wachezaji John Bocco, Shomari Kapombe Na Erasto Nyoni
Wadau wa JF
Huu ndiyo ukweli hata kama unaumiza
Huu ndiyo ukweli wenye maslahi mapana kwa nchi letu
Wachezaji John Bocco na Shomari Kapombe na Erasto Nyoni uwezo wao uwanjani umepungua pakubwa sana kutokana na umri na sababu nyinginezo
Ni busara wachezaji hawa wakapumzishwa rasmi kuichezea Timu yetu ya Soka ya Taifa (Taifa Stars)
Ni wakati muafaka wa kuanza kutumia damu changa zilizojaa vipaji lukuki
KaziIendelee
HahahaBoko alianza career sawa na Xavi
Left wingback yupo vizuri ila David bryson nahisi ndio mrithi wa zimbweYule Kibabage atakuja kuwa wa moto
Uliowataja wanafanana maumbo na kina kibabage? Au umeamua ubishe tuMpira ungekuwa ni maumbo Jordi Alba na kina Dani Alves wasingecheza huko waliko.
Wewe unamjuwa kuna mtu alikuwa anaitwa Omar Hussen? au ulishawahi kumuona Juma Burhani labda hawa wa nchini utawajuwa wale kwenye TV unawaona wakubwa. Kwa hiyo huyo Kibabage ni mdogo kuliko Shakir. Hii sio basketball hao niliowataja kina Jordi Alba ni wachezaji wadogo sana kimaumbo. Kulikuwa vile vicheza vifupi Xavi na iniesta giant mwenyewe Yaya toure ikabidi akae bench ahame na team. ukiwa unajuwa mpira unajuwa tu Maradona alitesa dunia na ufupi wake.Uliowataja wanafanana maumbo na kina kibabage? Au umeamua ubishe tu
Bukayo anamwili mdogo?Hizo nchi zenye wachezaji wenye maumbo makubwa kama congo na Cameroon walishawahi kuchukua kombe la dunia?
Bukayo Saka mchezaji mdogo kiumri na kiumbo ila angalia shughuli yake uwanjani na kunawakati Arsenal tulikuwa na shida ya left back ila huyu bwana mdogo pamoja na umbo lake dg alikuwa anacheza nafasi hiyo ya beki wa kushoto