Ushauri wangu kuhusu wachezaji John Bocco, Shomari Kapombe na Erasto Nyoni

Mkuu kama vipi mm.naona hawa waropokaji wakacheze wao na wawe makocha wao maana ujuaji mwingi ndani ya uwanja tukiwapeleka ni 🚮🚮
 
Unamkumbuka Mark Fish? Beki mfupi ama hapa maskani George Magele Masatu

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
i second you
 
Hili ndio tatizo linaloangamiza soka letu kujuana ni kwingi kuliko hata kwenye mambo ya msingi.......
Kitu kingine Bado soka letu tunategemea miujiza zaidi kushinda wakati wenzetu wamekuwa kila mwaka wanaanda timu ya taifa
 
Umeongea ukweli mtupu watu wanalia damu changa ukiwauliza ziko wapi wanakutajia watu kama kibwana yan aibu tupu.
 
Yote haya yanakuja baada ya kutolewa ndio maana Mungu hamsikii mnafiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…