Ikitotanzila
JF-Expert Member
- Sep 22, 2020
- 1,409
- 2,263
Anatatua matatizo au anaendeleza kuweka matatizo kwa kuua wazanzibari ambao hawamkubali!Ushauri Muflisi!
Mtoa hoja atambue kuwa Zanzibar na Rais Hussein mwinyi hana cha kupoteza iwapo ACT Wazalendo, haitataka kushirikiana na nayo kwenye serikali ya maridhiano ya kitaifa kwa mujibu wa katiba..
Alijuta kususa 2016 harudii makosa ndo ulaji mkubwa Sana wa mwisho kwake.Nimeona kuna dalili kuwa atakubali. Lakini nitashangazwa sana akifanya hivyo.
Wasaliti huwa hawakosi, lakini pamoja na hayo ni ujinga kusaliti eti kisa usiposaliti wengine watasaliti!.Mwisho wa siku dunia haiwezi kusimama kisa maamuzi ya Seif.
Alisusa 2015,nini kimebadilika?
Hizo nafasi mbili tayari zina wateule kasubiriwa ajichetue tu watu waapishwe.
Toka kaapishwa hajawahi kanyaga Pemba na baadhi ya sehemu Unguja kama Kaskazini MagharibiUshauri Muflisi!
Mtoa hoja atambue kuwa Zanzibar na Rais Hussein mwinyi hana cha kupoteza iwapo ACT Wazalendo, haitataka kushirikiana na nayo kwenye serikali ya maridhiano ya kitaifa kwa mujibu wa katiba.
Yeye ataendelea kupiga kazi katika kutatua kero za wananchi, wakati wao wakibaki vijiweni kupiga umbea na majungu baina yao na kupeleka umbea kwa mabeberu wao, huku Maalim Seif akiendelea kunufaika na mafao ya pensheni yake, kutokana na wadhifa aliokuwa nao wa kuwa Waziri Kiongozi wa SMZ, na Makamo wa Kwanza wa Rais wa SMZ.
Wasipupmbazwe na hoja za Zitto, ambaye bila ya kutarajia, ndoto zake zimepeperushwa, na sasa anatapatapa! ataendeleaje na msala wa maisha bila ya kuwa na pahala madhubuti pa kujishikia!.
Na kurudia kitu kilekile kwa namna ileile miaka nenda rudi ukitarajia matokeo tofauti ni zaidi ya ujinga.Wasaliti huwa hawakosi, lakini pamoja na hayo ni ujinga kusaliti eti kisa usiposaliti wengine watasaliti!.
Watu wenye heshima hawanunuliki kwa vyeo!
Ushauri Muflisi!
Mtoa hoja atambue kuwa Zanzibar na Rais Hussein mwinyi hana cha kupoteza iwapo ACT Wazalendo, haitataka kushirikiana na nayo kwenye serikali ya maridhiano ya kitaifa kwa mujibu wa katiba.
Yeye ataendelea kupiga kazi katika kutatua kero za wananchi, wakati wao wakibaki vijiweni kupiga umbea na majungu baina yao na kupeleka umbea kwa mabeberu wao, huku Maalim Seif akiendelea kunufaika na mafao ya pensheni yake, kutokana na wadhifa aliokuwa nao wa kuwa Waziri Kiongozi wa SMZ, na Makamo wa Kwanza wa Rais wa SMZ.
Wasipupmbazwe na hoja za Zitto, ambaye bila ya kutarajia, ndoto zake zimepeperushwa, na sasa anatapatapa! ataendeleaje na msala wa maisha bila ya kuwa na pahala madhubuti pa kujishikia!.
Maalimu akubali,,this is the last opportunity ambayo pengine itakuja kutokea tena be miaka 30 ijayo,Sidhani kama Maalim atakubali
Hata wakifuatilia ya kwao, Itategemea kama watakuwa watiifu kwa Tanganyika, sasa ni maamuzi ya Maalimu na watu wake, Kusurrender kwa Tanganyika au kuendelea kupambana ili kujinasua kutoka kwenye makucha ya Tanganyika.Maslahi mapana ya ACT visiwani ni kuhakikisha, wanasimamia maslahi ya Wazanzibari sio watanganyika, sie kama wadanganyika hatukuwapigania, wala kuwatetea. Wamevamiwa na majeshi yetu, wamepigwa wamedhalilishwa, wameuwawa, Jee watanganyika tuluwasaidia kwa lipi, zaidi ya Domo tupu, hata kuandamana kupinga maovu hatukufanya. Sasa kwanini wasifuatilie yakwao kwanza
Kwa maslahi ya Zanzibar au Tanganyika?Maalimu akubali,,this is the last opportunity ambayo pengine itakuja kutokea tena be miaka 30 ijayo,
Kubalini muunde serikali ya umoja,mengine mtaenda mbarekebisha humo humo,
roho za wapemba wenzetu zinauma sana maalimu akikubali atakuwa katusaliti sisi wapembaHakuna haja ya ugomvi,maalimu akubali,tusameheane,tuanze ukurasa mpya,
Lisu arudi achape kazi,,hawa wazungu ni wanafiki tu,wanaangalia zaidi interest zao
Nani alikimbia?? Kama watu wangekimbia mngeua??Sikiliza wewee.
Maalimu alijaribu kuitisha maandamano, ila mkakimbia.
Sasa mnataka afanye nini? Inabidi akubali cheo.
Huwezi kumuachia Nyani shamba la mahindi
Sawasawa tutaona kama wana cha kupoteza au hawanaUshauri Muflisi!