Ushauri wangu kwa ACT Wazalendo na Maalim Seif

Ushauri wangu kwa ACT Wazalendo na Maalim Seif

Ila Mimi naona maalim akiwa ndani ya serikali itakuwa Ni hatua nzuri.kuelekea kwenye ushindi.maana atakuwa na nguvu ya kuamrisha jambo na likatendeka tofauti na ilivyo Sasa.
Na pia UMRI UNAKWENDA BORA AJIPENYEZE
 
Kwani hajawai kuwa kwenye serikali before??? Ccm wanaangalia matumbo na wanamchukulia kila mtu ni mchumia tumbo. Hicho ndo kipimo chao
 
Una wadhifa gani huko ACT wazalendo? Maalim Seif na Zitto Wana washauri wao huko maofisini Sasa Kama wewe si mmoja wao unapoteza muda tuu humu jf.
 
Maalimu akubali,,this is the last opportunity ambayo pengine itakuja kutokea tena be miaka 30 ijayo,
Kubalini muunde serikali ya umoja,mengine mtaenda mbarekebisha humo humo,
Hii siyo zawadi, ni katiba ya Zanzibar inataka hivyo, mgombea wa pili anayepata kura asilimia fulani ndio awe makamu wa Rais.

Maalim Seif hawezi kuwasaliti Wazanzibar.
 
Bora kupata nusu,kuliko kukosa kabisa.
Maana kww vyovyote maalim kuwa rais wa TANZANIA akiwa nje ya mfumo si Jambo rahisi.
Kwani hajawai kuwa kwenye serikali before??? Ccm wanaangalia matumbo na wanamchukulia kila mtu ni mchumia tumbo. Hicho ndo kipimo chao
 
Bora kupata nusu,kuliko kukosa kabisa.
Maana kww vyovyote maalim kuwa rais wa TANZANIA akiwa nje ya mfumo si Jambo rahisi.
Kwa iyo nyie mna angalia maslahi binafsi tu??? Sie hatuangalii maslahi binafsi tunaangalia maslahi ya Tanzania na watanzania pamoja na vizazi vijavyo.
 
If wishes were horses....

Post election violence 2007/2008 iliua watu 1200 Kenya na hakuna aliyeko ICC ije itokea Tz walikokufa watatu?[emoji16].

Nchi zote za Africa zitakuwa na wafungwa ICC,na watajitoa.
Wewe ni mjinga sana, Kenyatta na Rutto walifikishwa ICC.
 
Maslahi yapi hayo mnayoangalia ya watanzania na vizazi vijavyo?
Kwa iyo nyie mna angalia maslahi binafsi tu??? Sie hatuangalii maslahi binafsi tunaangalia maslahi ya Tanzania na watanzania pamoja na vizazi vijavyo.
 
Kwa nilivyomuona na kumsikia Maalimu Seif jana kwenye chombo cha habari ni dhahiri kuna uwezekano mkubwa wa kukubali
 
Hakuna haja ya ugomvi,maalimu akubali,tusameheane,tuanze ukurasa mpya,
Lisu arudi achape kazi,,hawa wazungu ni wanafiki tu,wanaangalia zaidi interest zao
Muanze upya wapi? Tangu mwaka 1995 mnamdhurumu anasamehe, mwaka 2015 akashinda pia ushindi wa wazi mkafuta uchaguzi, hivi hata wewe unaweza kuvumilia hizi dhulma?
 
Nina mashaka sana na Maalim kama safari hii anaweza kuwatolea nje ccm kwani kitendo cha kukubali tu kuonana uso kwa uso na Mwinyi kinaonyesha kwamba tayari keshaanza kuregea.

CCM tayari wanamuona Maalim kama The Punching Bag na watakuwa wanamchezea hivyo hivyo yeye pamoja na chama chake kila uchaguzi unapowadia hadi Maalim mwenyewe atakapojiishia kabisa.

Ni kweli kwamba kama Maalim and his company wataamua kuungana na wale wale wanaowadhulumu kila siku basi jumuiya ya kimataifa itaona kuwa tayari Act wameshakubali yaishe na hivyo wenyewe sasa hawatakuwa tena na uhalali wa kuibana serikali ya Hussein Mwinyi na ni hatua ambayo dhahiri itakuwa ni usaliti mkubwa kwa watanzania wanaodhulumiwa na huu utawala wa kiimla.
 
Back
Top Bottom