Ushauri wangu kwa ACT Wazalendo na Maalim Seif

Kwa maslahi ya Zanzibar au Tanganyika?

Inaweza ikawa last chance ya Maalim kuendeshwa kwa ving'ora lakini isiwe last chance ya Wazanzibar kudai haki yao ndani ya muungano wenye heshima
CCM wanawaza matumbo yao tu!!! Hawa watu ni wajinga sijawai ona
 
Mnachoweza ni kushauri wengine cha kufanya ila nyinyi mkipewa majukumu kwenye hizi harakati mnatia mkia mapajani.😁.

Yale maandamano yangeiamsha zaidi hiyo jumuiya kuliko hata ilivyo sasa!

Wasiowajibika,wasifundishe wengine uwajibikaji.
 
Subiri uone kama jumuiya ya kimataifa imelala au imeamka. Jiandaeni na Icc
 
If wishes were horses....

Post election violence 2007/2008 iliua watu 1200 Kenya na hakuna aliyeko ICC ije itokea Tz walikokufa watatu?😁.

Nchi zote za Africa zitakuwa na wafungwa ICC,na watajitoa.
 
Hili sekeseke linatusaidia kuwatambua bayana wachumia tumbo na wazalendo wa kweli
 
If wishes were horses....

Post election violence 2007/2008 iliua watu 1200 Kenya na hakuna aliyeko ICC ije itokea Tz walikokufa watatu?😁.

Nchi zote za Africa zitakuwa na wafungwa ICC,na watajitoa.
Unafikiri kujitoa ndo dawa??? The main issue is ulipofanya makosa ulikuwa member au la???

Alafu naona una uelewa mdogo sana wa mambo. Kwani Laurent Gabgho aliua watu wangapi??? Mbona alifungwa na Icc???

Crimes against humanity sio kuua tu na kama ukiua sio lazima wawe 1000 au 2000 , hata watano tu unaweza kushtakiwa na kufungwa. Vilevile haiishii kuua tu, hadi kubambikia watu wakosa na kuwaweka ndani nalo Hilo ni crime against humanity.

Sasa jiandaeni tu!!
 
Mtego uko wapi wewe acha wenzako washiriki kujenga nchi. Huo ushauri wako hautafanyiwa kazi sana tegemea kumuona maalimu seif akiapihswa kama makamu wa kanza, Nchi kwanza ujinga wenu baadaye
 
Wazungu hawaaminiki,,wenyewe wanashauri pawepo mazungumzo na makubaliano kati ya pande mbili,,zungumzeni..
Kama ni mazungumzo azimio la kwanza iundwe tume huru ya kuhusisha members wa vyama vya upinzani na taasisi huru za haki za binadamu na zisizo za kiserikali. Azimio la pili uchaguzi urudiwe na wawepo waangalizi wa kimataifa
 
Unafikiri kujitoa ndo dawa??? The main issue is ulipofanya makosa ulikuwa member au la???

Alafu naona una uelewa mdogo sana wa mambo. Kwani Laurent Gabgho aliua watu wangapi??? Mbona alifungwa na Icc???

Crimes against humanity sio kuua tu na kama ukiua sio lazima wawe 1000 au 2000 , hata watano tu unaweza kushtakiwa na kufungwa. Vilevile haiishii kuua tu, hadi kubambikia watu wakosa na kuwaweka ndani nalo Hilo ni crime against humanity.

Sasa jiandaeni tu!!
Hujui kitu kuhusu icc rudi shule kwanza, unadhani ni kama kucheza karata kwa kuokota joka
 
Mtego uko wapi wewe acha wenzako washiriki kujenga nchi. Huo ushauri wako hautafanyiwa kazi sana tegemea kumuona maalimu seif akiapihswa kama makamu wa kanza, Nchi kwanza ujinga wenu baadaye
Sio nchi kwanza sema tumbo kwanza, hakuna nchi kwanza kwenye kuapishwa kwenye damu za watu
 
Kama ni mazungumzo azimio la kwanza iundwe tume huru ya kuhusisha members wa vyama vya upinzani na taasisi huru za haki za binadamu na zisizo za kiserikali. Azimio la pili uchaguzi urudiwe na wawepo waangalizi wa kimataifa
Vitu vingine usiwe unaandika unatia aibu, yaani kurudi uchaguzi, duuuu
 
Back
Top Bottom