MBEGU YA BINADAMU
JF-Expert Member
- Jul 8, 2015
- 375
- 317
Wewe uliona wapi mtu anakataa ulaji!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ccm haiwezi kutowa makamunwa kwanza wa Rais, hizo nafasi za uwaziri wampe Hamad Rashid ndio thamani yake.Mwisho wa siku dunia haiwezi kusimama kisa maamuzi ya Seif.
Alisusa 2015,nini kimebadilika?
Hizo nafasi mbili tayari zina wateule kasubiriwa ajichetue tu watu waapishwe.
Katiba imeelekeza baada ya kuapishwa akanyage pemba ndani mda gani!!toka kaapishwa hajawah kanyaga pemba na baagh ya sehemu unguja kama kaskazin magharib
Tafsiri ya kusamehe kwa muktadha huu inakuwa ni ipi?Hakutakuwa na tofauti yoyote kubwa kama alivyopatana na Amani Karume na kuunda SUK baada ya mgogoro mkubwa wa uchaguzi wa 2000 na yaliyotokea Januari 2001.
Wakati mwingine kusamehe na kuanza upya pamoja ni busara kuliko kususiana wakati wote. Ila asifuate cheo bali kujenga umoja.
Hivi vitu tricky sana. Wapinzani huko Zanzibar wakigoma kujoin SUK sasa watatumia platform ipi stahiki na effective kuwaconfront CCM na Serikali yao kwenye issue za msingi?Umakamu wa rais huko Zanzibar umewekwa kimtego ili kuleta divide and rule katika kambi ya Upinzani ili wasiwe wamoja kwenye kuiconfront CCM na serikali yake kwenye ishu za msingi kama haki za binadamu na tume huru ya uchaguzi.
Sikiliza wewe.
Maalimu alijaribu kuitisha maandamano, ila mkakimbia.
Sasa mnataka afanye nini? Inabidi akubali cheo.
Huwezi kumuachia Nyani shamba la mahindi
Wewe ni mjinga sana, Kenyatta na Rutto walifikishwa ICC.
Nawajibika kwa ninachokiandika tu na si uelewa ama upumbavu wa mtu.Wewe ni mjinga sana, Kenyatta na Rutto walifikishwa ICC.
Una umri gani?Unafikiri kujitoa ndo dawa??? The main issue is ulipofanya makosa ulikuwa member au la???
Alafu naona una uelewa mdogo sana wa mambo. Kwani Laurent Gabgho aliua watu wangapi??? Mbona alifungwa na Icc???
Crimes against humanity sio kuua tu na kama ukiua sio lazima wawe 1000 au 2000 , hata watano tu unaweza kushtakiwa na kufungwa. Vilevile haiishii kuua tu, hadi kubambikia watu wakosa na kuwaweka ndani nalo Hilo ni crime against humanity.
Sasa jiandaeni tu!!
Hivi kuna ulaji Zanzibar wakati hata X ray wanaenda Muhimbili?Alijuta kususa 2016 harudii makosa ndo ulaji mkubwa Sana wa mwisho kwake.
ACT wazalendioooo!
Hivi vitu tricky sana. Wapinzani huko Zanzibar wakigoma kujoin SUK sasa watatumia platform ipi stahiki na effective kuwaconfront CCM na Serikali yao kwenye issue za msingi?
Wamejifunza nini kipindi cha 2015-2020 walipokuwa nje ya ulingo?
Ushauri Muflisi!
Mtoa hoja atambue kuwa Zanzibar na Rais Hussein mwinyi hana cha kupoteza iwapo ACT Wazalendo, haitataka kushirikiana na nayo kwenye serikali ya maridhiano ya kitaifa kwa mujibu wa katiba.
Yeye ataendelea kupiga kazi katika kutatua kero za wananchi, wakati wao wakibaki vijiweni kupiga umbea na majungu baina yao na kupeleka umbea kwa mabeberu wao, huku Maalim Seif akiendelea kunufaika na mafao ya pensheni yake, kutokana na wadhifa aliokuwa nao wa kuwa Waziri Kiongozi wa SMZ, na Makamo wa Kwanza wa Rais wa SMZ.
Wasipupmbazwe na hoja za Zitto, ambaye bila ya kutarajia, ndoto zake zimepeperushwa, na sasa anatapatapa! ataendeleaje na msala wa maisha bila ya kuwa na pahala madhubuti pa kujishikia!.
Sisi tuliokuwepo wakati wa Jumbe tunajua nini Jumbe alitufanyia. Kama Maalim alimsaliti Jumbe basi Jumbe alitusaliti kwa kutangazia mavamizi 1964 na kutusaliti wazanzibari wote kwa kumpelekea Nyerere chama cha ASPSefu alimsaliti jumbe
Mnachoweza ni kushauri wengine cha kufanya ila nyinyi mkipewa majukumu kwenye hizi harakati mnatia mkia mapajani.😁.
Yale maandamano yangeiamsha zaidi hiyo jumuiya kuliko hata ilivyo sasa!
Wasiowajibika,wasifundishe wengine uwajibikaji.
Msiwafundishe cha kufanya sasa!Huku kwenyewe kupata hizo kura ni kwasababu wamepewa na hao hao wananchi. Kuandamana hata hao viongozi wangeandamana hakuna aliyewakataza.