Ushauri wangu kwa ACT Wazalendo na Maalim Seif

Maalim ana zaidi ya miaka themanini na sidhani kama uchaguzi ujao atagombea naamini lazima wakubali hizo nafasi
 
Makamanda hebu kuweni serious namaisha,mliwasaliti kwenye maandamano kwaiyo nanyie tulieni wafanye maisha yao
 
Sasa hapo unaje?

Umeona hayo makosa aliyokuwa anatuhumiwa nayo?

Linganisha hayo makosa ya Bagbo ambayo nayo yalikosa ushahidi kisha angalia na haya ya hapa kwenu
Yalikosaje ushahidi wakati alifungwa ndo akashinda kwa dhamana???

Nyie hamjaua watu??? Hamjateka watu??? Hamjafungulia watu mashtaka ya uongo ili wasishiriki uchaguzi??? Wale madiwani wa Songwe na wanachadema mliowapa armed robbery kipindi cha kampeni sio watanzania???

Subirini tu, lazima muite Maji mmaaa mwaka huu
 
Ni vyema Maalim akakubali wakaijenga Zanzibar yenye MAENDELEO...fitna za mtoa Mada wala ACT wasizisikilize.
 
Kazi na bata
 
Amesema..."..nitaheshimu maamuzi ya chama"
Ndiyo hayo sasa, hivi kuna vurugu kama zile 2010? Mbona akikubali akawa anapeperusha bendera haaa haaa na umri unamtupa sahizi atafute mridhi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…