Ushauri wangu kwa Lemutuz

Ushauri wangu kwa Lemutuz

On the other side,huyu mzee akijiua leo kisa aibu hii,lawama ni ya nani?
Mi sijui.
Ila tujifunze kuwa kumuaibisha mtu kisa umbile asiloweza kubadilisha sio vizuri.Hamna mtu anapenda.
Ila ndo hivyo the world isn't fair.Siasa ndo zilivyo,watu wanauwana na kuaibishana daily.Labda ndo the cost of power.
Majibaba kibao huko Ni malaya ila hawajachukuliwa video akachukuliwa jamaa.Ndo hivyo yani the world isn't fair.Na huwezi kuwa na vyote.Especially when you are stupid.
Kwa hiyo tujifunze.
Basi kamwambie huyu babu atulie alee wajukuu
 
hahahahahahaha teh teh...
Kwakweli bado najiuliza kama Lemutuz atapata nguvu ya kuendeleza mapambano.....
Daaa amedhalilishwa hadi nimeona huruma kwakweli......
Aiseee eti kilemutuz......
Umaarufu si kitu kizuri wakati wote......
Sasa mzee wa sauti ya umeme watu wamempiga picha au video.pia kwa mwili wke huwezi kuona machine utaona 2mbo kubwa akigeuka unaona traako
 
Natoa ushauri wangu wa bure kwa Lemutuz aache kabisa kutoka na watoto maana leo kadhalilishwa mpaka tumeona tusivyotakiwa kuona.

Please oa kabisa, sidhani kama angekua mkeo angefanya kitendo hicho. Laana ya zinaa ndo hiyo unabaki kudhalilishwa na wajukuu halafu ndo wamemrushia hasimu wako kipele kikapata mkunaji.

ILA jamaa ana masaburi mazuri aisee W. J. Malecela
 
Duuuuh ila jamaa hana mshipa wa aibu,istoshe aliotuma hiyo clip bashite keshamkamata mana lumbululaz best yke....muda si muda tutaona video zingine akipakatwa
Unajua huyu jamaa au nimuite babu tu hajielewi kua umri usha mtupa mkono aishi kistaarabu aachane na mitandao ya kijamii eti bado wanapeana sifa mitandaon na kujigamba kwingi akiwa na jerymuro wanapeana moyo mpaka kwenye upumbavu
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] tulipewa taarifa kabisa kuwa ifikapo 00:30 sharp atabonyeza kitufye cha bomu la nyuklia... Gambo naye akakesha aone...
Hahahahahaha..
Na yule akisema atabonyeza kitufe cha nyuklia kinakuwa nyuklia kweli..
Shahidi mzuri ni Milly Nyampua..!!
 
Unajua huyu jamaa au nimuite babu tu hajielewi kua umri usha mtupa mkono aishi kistaarabu aachane na mitandao ya kijamii eti bado wanapeana sifa mitandaon na kujigamba kwingi akiwa na jerymuro wanapeana moyo mpaka kwenye upumbavu
Bado ya bashite nayo anaviziwa tu,cku zote ukiingia na dem chumbani simu zibaki sebuleni au fungia mpka mmalize game,mkimaliza mpe simu zake
 
Bado ya bashite nayo anaviziwa tu,cku zote ukiingia na dem chumbani simu zibaki sebuleni au fungia mpka mmalize game,mkimaliza mpe simu zake
Haaahaaa ila kweli ila kuna vikamera vidogo kama vifungo cha nguo navyo ni nomaa Mkuu vinarekod na pic vinapiga
 
Back
Top Bottom