Wewe nawe, ungekuwa unaijua nidhamu badala ya kushabikia ungeanza kwa kuwaokoa vijana wa lumumba. Wanapokubali kutumika na kutumikishwa wanaanzisha moto ambao muelekeo wake polisi na nyie hamtaweza kuuzima.Ushauri mzuri ,vijana wa chadema wakiijua nidhamu hutaona haya yakitokea,na huko ndiko kwenye tatizo
Mkuu jitahidi usichochee kuni kwenye moto wa nyumba ya Jirani. Kwa umoja wetu wote watu wa vyama tofauti. Tujifunze yatokanayo na huu ushauri. Ruksa kujadili na sio kukashifu.Mashabiki wengi wa chadema ni vichwa maji na viongozi wao hawana vision Wala misimamo
Bora ukawapa ushauri familia yako kuliko kupoteza muda wako kuwashauri manyumbu.Mkuu jitahidi usichochee kuni kwenye moto wa nyumba ya Jirani. Kwa umoja wetu wote watu wa vyama tofauti. Tujifunze yatokanayo na huu ushauri. Ruksa kujadili na sio kukashifu.
Mashabiki wengi wa chadema ni vichwa maji na viongozi wao hawana vision Wala misimamo
Tumepokea ushauri wa KISHADA lakini kila mnafiki tutamuumbua bila hurumaUshauri mzuri ,vijana wa chadema wakiijua nidhamu hutaona haya yakitokea,na huko ndiko kwenye tatizo
Huo umakini na busara ni zero kabisa huko upinzani. Wanaropoka sana.Tunafahamu usaliti unaoendelea. Ni vyema kutumia weledi wote kushughulika na hujuma kwa ustadi mkubwa.
Tunafahamu uwoga wa CCM dhidi ya Umoja wa Upinzani imara Bara na Zanzibar. Tunafhamu uwoga wa Mkuu na Mwenyekiti wa Chama Tawala wa kuaogopa kuangukiwa na jumba bovu kichama.
Tunafahamu baadhi ya wapinzani kutaka kutumiwa kuhujumu Upinzani wa kweli.
Tunafahamu njama za kutaka kutumia hadaa ya UZALENDO khujumu matunda ya umoja kwenye upinzani.
Hayo yote yashughulikiwe kwa umakini mkuibwa na vyama vya upinzani makini. Atakaye kwenda kinyume ashughulikiwe ipassavyo kwa uzito wa hoja na kwa wakati muafaka na sio propaganda.
Nikwambieni zidisheni umakini tu. Kuna watu wataadhirika si mda mrefu lakini shuruti kuwe na umakini na hatua muafaka.
Wewe nawe, ungekuwa unaijua nidhamu badala ya kushabikia ungeanza kwa kuwaokoa vijana wa lumumba. Wanapokubali kutumika na kutumikishwa wanaanzisha moto ambao muelekeo wake polisi na nyie hamtaweza kuuzima.
Mkuu jitahidi usichochee kuni kwenye moto wa nyumba ya Jirani. Kwa umoja wetu wote watu wa vyama tofauti. Tujifunze yatokanayo na huu ushauri. Ruksa kujadili na sio kukashifu.
Elewa mleta uzi ,anasisitza umoja ndani ya upinzani ,muache kuchambana hadharani ,ccm inaingiaje hapa wakati ndio mnadai adui yenu?,pathetic
Uhitaji rocket science kufahamu kuwa iwe kwa namna yoyote ile, CCM & DOLA zinaenda kutimiza lengo la ama kuifuta CHADEMA kwenye uso wa siasa za Upinzani au kuidhoofisha kabisa ibaki chama cha kawaida sana. Kwa hiyo CHADEMA hata ikichukua ushauri huu au isichukue bado kikombe cha CCM itakinywa tu.
Sasa hivi ni siasa za JINO kwa JINO, yani don't bow or kneel down maana CCM wanaendesha siasa za UBABE kwa msaada wa DOLA, hakuna reconciliation itayoiokoa CHADEMA.
Matendo ya CCM na DOLA yapo wazi, usishangae kuona Bunge lijalo kambi ya Upinzani ikiundwa na NCCR ya Mbatia. Huu ni mkakati.
Pichani ni Dr. Bashiru Ally
View attachment 1378702
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umenielewa Sana.Mkuu huu ushauri wako nauunga mkono, nimewashauri cdm kama chama wasijibu lolote hasa kwa huyo Mbatia au mwingine yoyote wa mwelekeo huo. Maana lengo hasa ni kuwatoa cdm kwenye taswira safi, wao wajikite kudai tume huru ya uchaguzi, wataishia kuona kauli kama za leo za kina Bashiru. Hao wapinzani design ya kina Mbatia waachwe watapewa moto wao huku mitandaoni. Uzuri ni kuwa wapinzani hasa Cdm hawajamjibu chochote Mbatia au mwingine mwenye uelekeo huo, maana chama kinachotafutwa hapo ni cdm zaidi.