Ushauri wangu kwa Upinzani Tanzania: Epukeni kujibizana hadharani, wapuuzeni wapambe

Ushauri wangu kwa Upinzani Tanzania: Epukeni kujibizana hadharani, wapuuzeni wapambe

Tutajie chama cha upinzani cha kweli kilichochambana na kingine. Inaeleweka hizi chokochoko mlengwa ni cdm. Uzuri ni kuwa sasa hivi watu wanauelewa mpana hivyo wanajua kila kinachoendelea.
Ndio ukaona watu wanaojielewa Kama Maalim Seif haraka alilazimika kwenda kutoa ufafanuzi wa mazungumzo na Kama alieyeelewa kukutana kwake na Rais kungetumika Kama propaganda. Aliweka wazi kuwa ni ishu za Zanzibar na kumtaka Rais aviite vyama vyote kuzungumza tume huru. Wanafiki aliwaziba mdomo. Sasa msala umebaki kwa hao wengine. Siasa ni sayansi.
 
Nimejaribu kuwanasihi wapinzani wasitoe advantage kwa adui zao. Watumie busara na ukomavu wait kutatua changamoto zao.
 
Huo umakini na busara ni zero kabisa huko upinzani. Wanaropoka sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbuka ule utafiti Kama sijakosea katika Kila watanzania 10 basi 3 ni wapumbavu. Hawa wapo kila pahala Lin naamini ukifanyika utafiti huru utabaini kwenye CCM Hali ni mbaya zaidi. Natania jamani....
 
Back
Top Bottom