Tutajie chama cha upinzani cha kweli kilichochambana na kingine. Inaeleweka hizi chokochoko mlengwa ni cdm. Uzuri ni kuwa sasa hivi watu wanauelewa mpana hivyo wanajua kila kinachoendelea.
Ndio ukaona watu wanaojielewa Kama Maalim Seif haraka alilazimika kwenda kutoa ufafanuzi wa mazungumzo na Kama alieyeelewa kukutana kwake na Rais kungetumika Kama propaganda. Aliweka wazi kuwa ni ishu za Zanzibar na kumtaka Rais aviite vyama vyote kuzungumza tume huru. Wanafiki aliwaziba mdomo. Sasa msala umebaki kwa hao wengine. Siasa ni sayansi.
Kumbuka ule utafiti Kama sijakosea katika Kila watanzania 10 basi 3 ni wapumbavu. Hawa wapo kila pahala Lin naamini ukifanyika utafiti huru utabaini kwenye CCM Hali ni mbaya zaidi. Natania jamani....