Uchaguzi 2020 Ushauri wangu kwa vijana na wazee wetu, tuchagueni upinzani tuone watafanya nini

Yes mfano Zambia baada ya MMD kuchukua hatam kutoka UNIP Maisha ya wananch yalibadilika sana. Biashara zilishamiri ajira zilifurka nataka niseme hakuna Mzambia anaesahau Kipindi cha Mwanawasa. Bei ya mkate ilikua chini..barabara zilijengwa na mishahara ilikua juu.

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
Huyajui maisha ya wa Zambia yalivyo,naona unaropoka tu ili uchangie.Ongelea Chiluba aliyechukua madaraka moja kwa moja kutoka kwa Kaunda,ndipo utaona madhara ya kujaribu uongozi wa nchi.
 
Nani anawanunua?
Tuliwajaribu kwa madogo wanaishia kununuliwa kama mnavyosema sasa tukiwapa nchi watanunuliwa pia
Kura yangu kwa Mzee Baba hata kwa miaka 20 mbele.
 
Endapo Watanzania kweli tunataka maendeleo naamini upinzani unaweza kuyaleta maendeleo ya watu tofauti na ya vitu.Pia niniamini Watanzania hawatakaa warudie kuichagua CCM tena kwa sababu watanogewa na watenda Haki na Usawa pia na Utu wetu utarejea.
Maendeleo ya nchi ni vitu kisha mwananchi apate maendeleo kupitia vitu huwezi kubeza barabaraba Unataka mwananchi awe tajir kwanza jnamoaje utajir? Ila kupitia barabara ataupata kama ataitumiwa kibiashara
 
Kuna Mambo yanaumiza Sana hasa unapoona kijana au mzee akipinga wazi wazi upinzani usishinde uchaguzi. Ni haki yao, lakini hebu fikiria, ukiondoa utawala wa awamu ya kwanza na wa pili, CCM imetuongoza kwa awamu tatu tangu kuanza kwa vyama vingi vya siasa, tumeona madhaifu yao, tumeona mazuri yao, basi tuwapeni na Wapinzani wafanye yao, tutalinganisha baada ya miaka 5 watakayoongoza.

Hatuwajaribishi maana hawaingii kubadili kila kitu, watakuta polisi ipo, mahakama, jeshi, Bunge, shule, vyuo, nk, maana yake wanaposema watafanya tofauti haimaanishi wataanza mwanzo Bali wataboresha baada ya miaka 5 tutawapima.

Kwakuwa CCM ina nguvu na pesa nyingi, baada ya miaka 5 mtatumia kila njia kurudi madarakani endapo upinzani utashindwa kutimiza yale waliyoyaahidi.

Ewe kijana, baba, Mama tuuchagueni upinzani. Kubaki na CCM au kuchagua upinzani haimaanishi tutagawana hela mifukoni, tutafanya kazi Kama siku zote.

Tuungane, tusiwadharau upinzani maana hatujawahi kuwapa nchi tukayaona mazuri na madhaifu yao.

#MakeTanzania great again

Lol! Muwape uongozi wa nchi upinzani upi? chaguo la Act Wazalendo halina tofauti ya kilichokuwa 2015 chaguo la CHADEMA kwani wote watarudi nyumbani, nyumbani kwanoga kama Mhe Eddie! Membe ni kama Yohana Mtatizaji wa kusafisha njia ya Magufuli na Tundu ni kama Yuda Iskariot[emoji38][emoji38] kama ushasoma Biblia na Kuran utanielewa!! Waliovuruga uchaguzi wa 2015 walikiwa ni kina nani na kutoka vyama gani? haikuwa CUF na Act- Wazalendo? NI CCM mpaka kizazi cha wasaliti kitokomee. Period.
 
Mkuu Pazia 3, kwanza asante kwa bandiko hili. Kiukweli bandiko lako ni la ushauri kwa Watanzania, tufanye majararibio ya kuwajaribisha wapinzani kwa kuwapa Ikulu yetu ili tuone watafanyaje!.

Yaani when you have two options, moja umeona deliveries ya mazuri ya alichofanya, na yanaonekanika, halafu mwingine hana lolote la kuonekanika, lakini ana ahadi tuu, hivyo unatushauri tuache kumchagua aliye deliver, mazuri ya kuonekanika na badala yake tumjaribishe mwenye ahadi ili kuona atafanya nini?!. Huku sio kuchezea shilingi chooni?.

Yaani unawashauri watu waache mbachao, kwa msala upitao?. Mimi nawashauri watu humu, katu, usikubali kamwe, bura yako njema, kuibadili kwa rehani!.
P
Pascal Mayalla kuna watu wanadhani urais ni kama karanga za kukaanga.
 
Huyajui maisha ya wa Zambia yalivyo,naona unaropoka tu ili uchangie.Ongelea Chiluba aliyechukua madaraka moja kwa moja kutoka kwa Kaunda,ndipo utaona madhara ya kujaribu uongozi wa nchi.
Wewe umeongelea chiluba mimi MMD..hapo wewe ndy umelala akili kabsaa unaweza kusema syajui maisha ya zambia...wewe...hakuna sehm sjapita kule.

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
Harakati za upinzan ni kielelezo cha waliyofanya P
Pazia 3 hongera kwa andiko
 
Anza kumjaribu Kwanza kumjaribu mchepuko wa Mama yako Kama anaweza kuwa baba mzuri...uzi mwingine ni kumaliza bando tu..
Kuna Mambo yanaumiza Sana hasa unapoona kijana au mzee akipinga wazi wazi upinzani usishinde uchaguzi. Ni haki yao, lakini hebu fikiria, ukiondoa utawala wa awamu ya kwanza na wa pili, CCM imetuongoza kwa awamu tatu tangu kuanza kwa vyama vingi vya siasa, tumeona madhaifu yao, tumeona mazuri yao, basi tuwapeni na Wapinzani wafanye yao, tutalinganisha baada ya miaka 5 watakayoongoza.

Hatuwajaribishi maana hawaingii kubadili kila kitu, watakuta polisi ipo, mahakama, jeshi, Bunge, shule, vyuo, nk, maana yake wanaposema watafanya tofauti haimaanishi wataanza mwanzo Bali wataboresha baada ya miaka 5 tutawapima.

Kwakuwa CCM ina nguvu na pesa nyingi, baada ya miaka 5 mtatumia kila njia kurudi madarakani endapo upinzani utashindwa kutimiza yale waliyoyaahidi.

Ewe kijana, baba, Mama tuuchagueni upinzani. Kubaki na CCM au kuchagua upinzani haimaanishi tutagawana hela mifukoni, tutafanya kazi Kama siku zote.

Tuungane, tusiwadharau upinzani maana hatujawahi kuwapa nchi tukayaona mazuri na madhaifu yao.

#MakeTanzania great again
 
Kuna Mambo yanaumiza Sana hasa unapoona kijana au mzee akipinga wazi wazi upinzani usishinde uchaguzi. Ni haki yao, lakini hebu fikiria, ukiondoa utawala wa awamu ya kwanza na wa pili, CCM imetuongoza kwa awamu tatu tangu kuanza kwa vyama vingi vya siasa, tumeona madhaifu yao, tumeona mazuri yao, basi tuwapeni na Wapinzani wafanye yao, tutalinganisha baada ya miaka 5 watakayoongoza.

Hatuwajaribishi maana hawaingii kubadili kila kitu, watakuta polisi ipo, mahakama, jeshi, Bunge, shule, vyuo, nk, maana yake wanaposema watafanya tofauti haimaanishi wataanza mwanzo Bali wataboresha baada ya miaka 5 tutawapima.

Kwakuwa CCM ina nguvu na pesa nyingi, baada ya miaka 5 mtatumia kila njia kurudi madarakani endapo upinzani utashindwa kutimiza yale waliyoyaahidi.

Ewe kijana, baba, Mama tuuchagueni upinzani. Kubaki na CCM au kuchagua upinzani haimaanishi tutagawana hela mifukoni, tutafanya kazi Kama siku zote.

Tuungane, tusiwadharau upinzani maana hatujawahi kuwapa nchi tukayaona mazuri na madhaifu yao.

#MakeTanzania great again
UONGOZI WA NCHI SIO WAKUFANYIA MAJARIBIO
 
Mkuu Pazia 3, kwanza asante kwa bandiko hili. Kiukweli bandiko lako ni la ushauri kwa Watanzania, tufanye majararibio ya kuwajaribisha wapinzani kwa kuwapa Ikulu yetu ili tuone watafanyaje!.

Yaani when you have two options, moja umeona deliveries ya mazuri ya alichofanya, na yanaonekanika, halafu mwingine hana lolote la kuonekanika, lakini ana ahadi tuu, hivyo unatushauri tuache kumchagua aliye deliver, mazuri ya kuonekanika na badala yake tumjaribishe mwenye ahadi ili kuona atafanya nini?!. Huku sio kuchezea shilingi chooni?.

Yaani unawashauri watu waache mbachao, kwa msala upitao?. Mimi nawashauri watu humu, katu, usikubali kamwe, bura yako njema, kuibadili kwa rehani!.
P
Uchumi unaposhuka kwa mwanainchi mmoja mmoja nani wakulaaumiwa?
 
Mazuri ya msingi hatujayaona, haya yaliyopo siyo msingi wa kuumbwa binadamu.
 
Wasubiri JPM amalize tano nyingine
Kuna Mambo yanaumiza Sana hasa unapoona kijana au mzee akipinga wazi wazi upinzani usishinde uchaguzi. Ni haki yao, lakini hebu fikiria, ukiondoa utawala wa awamu ya kwanza na wa pili, CCM imetuongoza kwa awamu tatu tangu kuanza kwa vyama vingi vya siasa, tumeona madhaifu yao, tumeona mazuri yao, basi tuwapeni na Wapinzani wafanye yao, tutalinganisha baada ya miaka 5 watakayoongoza.

Hatuwajaribishi maana hawaingii kubadili kila kitu, watakuta polisi ipo, mahakama, jeshi, Bunge, shule, vyuo, nk, maana yake wanaposema watafanya tofauti haimaanishi wataanza mwanzo Bali wataboresha baada ya miaka 5 tutawapima.

Kwakuwa CCM ina nguvu na pesa nyingi, baada ya miaka 5 mtatumia kila njia kurudi madarakani endapo upinzani utashindwa kutimiza yale waliyoyaahidi.

Ewe kijana, baba, Mama tuuchagueni upinzani. Kubaki na CCM au kuchagua upinzani haimaanishi tutagawana hela mifukoni, tutafanya kazi Kama siku zote.

Tuungane, tusiwadharau upinzani maana hatujawahi kuwapa nchi tukayaona mazuri na madhaifu yao.

#MakeTanzania great again
 
Haya maongezi hayafai hata kufikishwa kwenye kundi la watu. Tunaweza tukafanya majaribio kwenye viatu sio NCHI.

MAGUFULI4LIFE.
 
Mkuu Pazia 3, kwanza asante kwa bandiko hili. Kiukweli bandiko lako ni la ushauri kwa Watanzania, tufanye majararibio ya kuwajaribisha wapinzani kwa kuwapa Ikulu yetu ili tuone watafanyaje!.

Yaani when you have two options, moja umeona deliveries ya mazuri ya alichofanya, na yanaonekanika, halafu mwingine hana lolote la kuonekanika, lakini ana ahadi tuu, hivyo unatushauri tuache kumchagua aliye deliver, mazuri ya kuonekanika na badala yake tumjaribishe mwenye ahadi ili kuona atafanya nini?!. Huku sio kuchezea shilingi chooni?.

Yaani unawashauri watu waache mbachao, kwa msala upitao?. Mimi nawashauri watu humu, katu, usikubali kamwe, bura yako njema, kuibadili kwa rehani!.
P
WE NAWE HUJAMWELEWA.AMESEMA HAIMAANISHI WATABADILISHA KILA KITU MAANA POLISI ITAKUWEPO,JESHI NA MAHAKAMA(HIVI VYOMBO HAVINA MLENGO WA KISIASA) HIVYO KUWAPIGIA KURA WAKAINGIA UONGOZINI WATAENDELEA KUANGALIWA NA HIVI VYOMBO ILI WASIHARIBU 'MASUALA NYETI'
KWENYE HABARI NYINGINE ZA KAWAIDA IKITOKEA WAMEHARIBU SASA SI NDO ITAKUWA NAFASI NZURI YA KUWAADHIBU UCHAGUZI UTAKAOFATIA!
kuna sehemu niliwahi comment juu ya hofu za Watanzania kushindwa kukipitisha chama pinzani(siyo kwamba wanaipenda saana ccm) ila wanazo hofu kadhaa za mabadiliko.Sasa nilifikiri labda ni watu rayman wenye hofu hizo,kumbe sivyo tuu hata wasomi uchwara akina pasikali wanazo hofu uchwara!!
 
Mkuu Pazia 3, kwanza asante kwa bandiko hili. Kiukweli bandiko lako ni la ushauri kwa Watanzania, tufanye majararibio ya kuwajaribisha wapinzani kwa kuwapa Ikulu yetu ili tuone watafanyaje!.

Yaani when you have two options, moja umeona deliveries ya mazuri ya alichofanya, na yanaonekanika, halafu mwingine hana lolote la kuonekanika, lakini ana ahadi tuu, hivyo unatushauri tuache kumchagua aliye deliver, mazuri ya kuonekanika na badala yake tumjaribishe mwenye ahadi ili kuona atafanya nini?!. Huku sio kuchezea shilingi chooni?.

Yaani unawashauri watu waache mbachao, kwa msala upitao?. Mimi nawashauri watu humu, katu, usikubali kamwe, bura yako njema, kuibadili kwa rehani!.
P
Wewe mabaya ya utawala huu huyaoni,unaona mema tu. Hayo mahaba yako usituambie sisi. Kuhusu kujenga miundombinu hajafika hata robo ya Botha atiyekuwa S.A. Na wananchi walimkataa. Hata wewe unaishi kwa hofu, hatumtaki huyu mtia watu hofu.
 
Back
Top Bottom