Ushauri wangu Kwa wale wanaotaka kuagiza magari kipindi hiki

Mkuu hauwezi kufanya transaction Kwa TT kumbuka hawa makampuni hawana account za TT ..
Kama hauna dollar hauwezi kununua gari nakumbuka kipindi naagiza Rumion 2020 nilienda Tu bank na wao wakasend pesa kupitia account zao za nje ya nchi
Unalipa JP moja kwa moja kupitia bank yako. Mkuu kwani unafikiri TT ni nini hadi useme makampuni hayana akaumti ya TT?
 
Ndio ungewaambia SBT Japan wakupe account namba ya huko JP unatuma hela kutoka akaunti yako kwenda kwao, hutasikia habari ya uhaba wa $ maanake zitaenda kama Y
Invoice nilipewa ya kulipia Ila baada ya hapa lazima uende bank ili ufanye transfer hapa ndipo utaambiwa hawana dollar kwasababu wakala Hana account ya local account
 
Mkuu hauwezi kufanya transaction Kwa TT kumbuka hawa makampuni hawana account za TT ..
Kama hauna dollar hauwezi kununua gari nakumbuka kipindi naagiza Rumion 2020 nilienda Tu bank na wao wakasend pesa kupitia account zao za nje ya nchi

Yapata mwaka umepita nilifanya transaction online vide TT. Nilichofanya ni kutuma an equivalent amount, then kila kitu kikawa sawa.
 
Wakuu...
Baada ya kuuza Rumion yangu siku ya jumatano uliyopita nilingia fasta mitandaoni kuagiza gari ninayoikusudia.

Siku ya alhamisi asubuhi nilienda Kwa agent ili nianze process za kulipia gari hakika hapo ndipo nilichoka kabisaa baada kuambiwa kuwa hakuna dollar kwenye bank, kumbuka haya makampuni yote ya wauza magari hawana local account Ambazo tunaweza kuhamisha hizi Tsh kwenda kwenye account zao Hadi uwe na dollar Tu.

Wahudumu wa bank wanakuambia kama unahitaji malipo ya dollar, withdrawal hiyo pesa alafu ufanye exchange Kwa dollar huku ukizunguka na kibunda cha pesa yako ya madafu ukitafuta wapi utapata...baada ya kupambana kwa muda mrefu nilifanikiwa kuhamisha pesa kwenda bank nyingine kwenye account ya mtu mwingine ili aweze kufanya malipo( hii ni mbinu ambayo unasaidiwa wa agent mwenyewe ili ufanikiwe zoezi lako).

Ushauri wangu Kwa wewe ambaye unataka kuagiza gari kipindi hiki unatakiwa ujipange na hili la uhaba wa dola.
Nashukuru kilakitu Kipo kwenye mstari na pesa imeshafika Japan na wameanza Leo kunipa update za gari Kwa njia ya email kama kawaida

Mad Max tukutane barabarani MUNGU akipenda July mwanzoni,
View attachment 2995057
Asante kwa taarifa. Nashauri ufungue account kama Wise.com au Grey. Halafu hamisha hela kutoka benki yako kwenda huko. (Assuming ushatengeneza dollar account humo). Pandisha hela kwa njia ya bank transfer. una dollar tayari.
 
Invoice nilipewa ya kulipia Ila baada ya hapa lazima uende bank ili ufanye transfer hapa ndipo utaambiwa hawana dollar kwasababu wakala Hana account ya local account
Wewe ulipewa invoice ulipie local akaunti ya $, TT unatuma hela nje. Kwa maana hii next time tuma hela Japan kwa kutumia akaunti yako.
 
Kwani ukilipia TT lazima uwe na $$ hard cash?
Bank wanaprocess vipi malipo kwa shilingi ya kitanzania?

Mchina akichukua pesa yako ya kitanzania yaani Tanzanian Shillings yeye ataipeleka wapi? [emoji848]

So wewe unatakiwa kwenda bank na kiasi cha fedha za kitanzania chenye thamani sawa na dollar zinazohitajika kufanyia manunuzi ya unachoagiza kisha bank kama wanayo reserve ya dola watafanya kukufanyia currency conversion kutoka TShs kwenda USD then watawatumia kule China. Wao bank wanakupiga faida ya kukuuzia Dollars kulingana na bei ya soko.
 
Unaelewa TT inavyofanya kazi?
 
Upo Sahihi kabisaa
 
Sio rocket science. Siku ingine waambie SBT Japan wakupe invoice halafu nenda nayo kwenye bank yako waambie nataka kuwalipa hawa sbt nanunua gari invoice hii hapa. Bank yako watatuma hizo hela.

Inawezekana hawanunui kwa dealers. Maana mimi ninachofanya mara nyingi ni kwenda bank, hela ambazo kwenye account yangu, nazi transfer kwenda kwenye account ya ki japan then mchezo kwisha.
 
Bank wanaprocess vipi malipo kwa shilingi ya kitanzania?

Mchina akichukua pesa yako ya kitanzania yaani Tanzanian Shillings yeye ataipeleka wapi? [emoji848]

So wewe unatakiwa kwenda bank na kiasi cha fedha za kitanzania chenye thamani sawa na dollar zinazohitajika kufanyia manunuzi ya unachoagiza kisha bank kama wanayo reserve ya dola watafanya kukufanyia currency conversion kutoka TShs kwenda USD then watawatumia kule China. Wao bank wanakupiga faida ya kukuuzia Dollars kulingana na bei ya soko.
Ushawahi kununua au kufanya malipo nje ya nchi? Ni hivi unapata invoice yenye thamani ya unachotaka kununua,unaenda bank ni vizuri iwe bank 'yako' unawaambia nataka kulipia invoice hii kutoka kwenye account yangu ya Tzs haijalishi ni yen,yuan,$£€ wao watuma TT ya hicho kiasi na kukata kwenye akaunto yako kiasi cha shilingi kinacholingqna na hizo currency na fees zao,kazi imeisha. Wala hutabeba mahela sijui ukanunua dola ndio ulete.
 
Back
Top Bottom