Ushauri wangu kwa Wema Sepetu

Hajakushauri wewe lakini mkuu naamini ameshauriwa wema na ushauri kapewa kulingana na imani yake ya kuabudu acha kuwa na povu la kipuuzi kijana
Huu ni ushauri wa kindezi, we unafikiri watu wote wanaamini kwenda kuhiji Mecca kama wewe?
 
Hajakushauri wewe lakini mkuu naamini ameshauriwa wema na ushauri kapewa kulingana na imani yake ya kuabudu acha kuwa na povu la kipuuzi kijana

Sijui kama huyo Wema anaamini hayo mambo pia.
 
Ushauri Mzuri,Wema atulie kwa sasa umri ushaenda,hayo mambo awaachie kina Tunda na vibinti vya below 23's,Kwa Umri wake wa zaidi ya 30 ilitakiwa awe na familia sasa!! Kwa Manamke 30 ni Umri mkubwa sana kutokuwa na family.
 
Anaweza aamini au asiamini ila ushauri ni kitu cha busara ni jukumu la anaeshauriwa aufuate au auache hivyo kuamini au kutoamini ni Wema mwenyewe kuamua
Sijui kama huyo Wema anaamini hayo mambo pia.
 
Anaweza aamini au asiamini ila ushauri ni kitu cha busara ni jukumu la anaeshauriwa aufuate au auache hivyo kuamini au kutoamini ni Wema mwenyewe kuamua

Ndio maana nikasema ni ushauri wa kindezi, kwasababu mpaka 2019 bado mnaamimi fairytale story? I stand with my opinion.
 
Wema na Ali Kiba kuwasahauri ni bora huo muda ungeingia katika banda lako la kuku upige nao story..
 
Siku akivuka 30 yrs atasikia ushauri.
Ila kwasasa bado anacheza na 28 hadi 30.
Hawezi kuvuka hapo.
 
Hivi Wema naye wa kushauri,tunza ushauri wako kwa vizazi vijavyo.

Achana na hiyo Mbuguma.
 
Wema we ishi maisha yako jinsi unavyotaka wewe. Umezaliwa peke yako utakufa peke yako.

Usifanye vitu kuwa furahisha watu. Ni ngumu sana kumridhisha binadamu.
 
Wema we ishi maisha yako jinsi unavyotaka wewe. Umezaliwa peke yako utakufa peke yako.

Usifanye vitu kuwa furahisha watu. Ni ngumu sana kumridhisha binadamu.

Kweli bana Wema endelea hivyohivyo kama Taifa Stars...ni ngumu kufurahisha CDM na CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…