Ushauri wangu kwa Wema Sepetu

Ushauri wangu kwa Wema Sepetu

Hajakushauri wewe lakini mkuu naamini ameshauriwa wema na ushauri kapewa kulingana na imani yake ya kuabudu acha kuwa na povu la kipuuzi kijana
Huu ni ushauri wa kindezi, we unafikiri watu wote wanaamini kwenda kuhiji Mecca kama wewe?
 
Hajakushauri wewe lakini mkuu naamini ameshauriwa wema na ushauri kapewa kulingana na imani yake ya kuabudu acha kuwa na povu la kipuuzi kijana

Sijui kama huyo Wema anaamini hayo mambo pia.
 
Wema Mungu amekujalia sura ya kuvutia, wazazi waliokupatia mahitaji yako muhimu mpaka umefika hapo na pia umejaliwa Nyota ya kupendwa. Yachukulie haya kukujenga wewe.

Hapa duniani hakuna asiyefanya makosa, wengine tunalipia makosa yetu kwa gharama kubwa sana, cha muhimu ni kuakisi maisha yako na kuona ulikosea wapi.

Kuna watoto wasio na wazazi au walezi, Wema unaweza kulipa fadhila kwa Mungu kwa kukujalia wewe wazazi, unatafuta nyumba na kukusanya watoto ukawapa malezi mema, kuwapa matibabu na elimu. Hapa duniani utakumbukwa na ahera (kama ipo) utakuwa umejiwekea thawabu kubwa sana.

Wema umejaliwa nyota ya kupendwa. Miss Tanzania 2006 ni mtu ambae hachagui watu wa kujichanya nao. Mtoto wa balozi ungeweza kuwa na marafiki wa matawi tu, lakini Wema wewe ni wa kipekee, huchagui watu kwa hali zao. Wema ukifanya Fund Rising Dinner kwa kukusanya hela za kulelea watoto wa mitaani muitikio wake utakuwa mkubwa sana.

Wema wewe ni mtoto wa Kiislam, ni muda wa kumrudia Mungu, vaa kistara, haya mambo ya kuonyesha tatoo waachie wadogo zako. Tutafurahi tukisikia Wema amekwenda Mecca kuhiji na sasa amekuwa mtu wa swala tano.
Ushauri Mzuri,Wema atulie kwa sasa umri ushaenda,hayo mambo awaachie kina Tunda na vibinti vya below 23's,Kwa Umri wake wa zaidi ya 30 ilitakiwa awe na familia sasa!! Kwa Manamke 30 ni Umri mkubwa sana kutokuwa na family.
 
Anaweza aamini au asiamini ila ushauri ni kitu cha busara ni jukumu la anaeshauriwa aufuate au auache hivyo kuamini au kutoamini ni Wema mwenyewe kuamua
Sijui kama huyo Wema anaamini hayo mambo pia.
 
Anaweza aamini au asiamini ila ushauri ni kitu cha busara ni jukumu la anaeshauriwa aufuate au auache hivyo kuamini au kutoamini ni Wema mwenyewe kuamua

Ndio maana nikasema ni ushauri wa kindezi, kwasababu mpaka 2019 bado mnaamimi fairytale story? I stand with my opinion.
 
Wema na Ali Kiba kuwasahauri ni bora huo muda ungeingia katika banda lako la kuku upige nao story..
 
Siku akivuka 30 yrs atasikia ushauri.
Ila kwasasa bado anacheza na 28 hadi 30.
Hawezi kuvuka hapo.
 
Hivi Wema naye wa kushauri,tunza ushauri wako kwa vizazi vijavyo.

Achana na hiyo Mbuguma.
 
Wema we ishi maisha yako jinsi unavyotaka wewe. Umezaliwa peke yako utakufa peke yako.

Usifanye vitu kuwa furahisha watu. Ni ngumu sana kumridhisha binadamu.
 
Wema we ishi maisha yako jinsi unavyotaka wewe. Umezaliwa peke yako utakufa peke yako.

Usifanye vitu kuwa furahisha watu. Ni ngumu sana kumridhisha binadamu.

Kweli bana Wema endelea hivyohivyo kama Taifa Stars...ni ngumu kufurahisha CDM na CCM
 
Back
Top Bottom