Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 2,682
- 6,638
Una akili za kijinga sana sana Ndugu yangu, Una akili ndogo sana, Mabasi yako mangapi? Most of them yanaondoka na kuingia usiku, huo msongamano unaosema ni upi?<SIONI HAJA YA KILA KAMPUNI YA MABASI IWE NA KITUO CHAKE CHA KUSHUSHIA ABIRIA INATOSHA WAKIISHIA KITUO KIKUBWA CHA MABASI MBEZI MAGUFULI ITASAIDIA KUPUNGUZA MSONGAMANO KTK MJI NA PIA STENDI YA MAGUFULI HAITOPOTEZA MAPATO NA WAFANYABISHARA WATANUFAIKA.
Dhumuni la kuhamisha stendi ya mabasi ya mikoani kutoka Ubungo kuipeleka Mbezi ilikuwa ni kupunguza msongamano wa mabasi ktk mji sasa yakirudi kujenga vituo city centre inakuwa ni kazi bure msongamano utakuwepo na pia serikali inapoteza mapato maana entrance tu ya abiria ndani ya stendi huwa wanalipia sasa wakishushwa nje ya vituo inakuwaje hapoMapato hayapotei maana wafanyabiashara wako hadi shekilango pale. Nadhani ungeshauri stand ya magufuli kwakua ni international, basi iwe kama Airport, ondoa wapigadebe wote ndani, kujaza wapiga debe ndani ya stand na wafanyabiashara imefanya stand kupoteza mvuto.
Hivi hauwezi kuchangia mada bila kumtusi mtu , anyway ngoja nikuweke sawa nina hoja mbili za msingi msongamano wa mabasi mjini na pia kupoteza mapatoUna akili za kijinga sana sana Ndugu yangu, Una akili ndogo sana, Mabasi yako mangapi? Most of them yanaondoka na kuingia usiku, huo msongamano unaosema ni upi?<
Msafiri aliyetoka Mwanza anayetaka kufika Sinza na mizigo yake atafikaje kutokea hapo Mbezi Magufuli??SIONI HAJA YA KILA KAMPUNI YA MABASI IWE NA KITUO CHAKE CHA KUSHUSHIA ABIRIA INATOSHA WAKIISHIA KITUO KIKUBWA CHA MABASI MBEZI MAGUFULI ITASAIDIA KUPUNGUZA MSONGAMANO KTK MJI NA PIA STENDI YA MAGUFULI HAITOPOTEZA MAPATO NA WAFANYABISHARA WATANUFAIKA.
Mabasi yasiyoingia au kutokea Standi ya Magufuli yakitokea au yakielekea mikoani yanakiuka utaratibu wa kisheria uliopo.SIONI HAJA YA KILA KAMPUNI YA MABASI IWE NA KITUO CHAKE CHA KUSHUSHIA ABIRIA INATOSHA WAKIISHIA KITUO KIKUBWA CHA MABASI MBEZI MAGUFULI ITASAIDIA KUPUNGUZA MSONGAMANO KTK MJI NA PIA STENDI YA MAGUFULI HAITOPOTEZA MAPATO NA WAFANYABISHARA WATANUFAIKA.
Nisamehe kwa lugha yangu ila bado huna point ya msingi, lakini pia uko sawaHivi hauwezi kuchangia mada bila kumtusi mtu , anyway ngoja nikuweke sawa nina hoja mbili za msingi msongamano wa mabasi mjini na pia kupoteza mapato
Kwahiyo kwa akili zako hayo mabasi yanayo safiri usiku yanatoka muda gani mjini ?
Na vp kuhusu wafanyabiashara waliotega fremu pale Stand ya Magufuli wanapokosa wateja kwasababu abiria wanashushwa nje ya vituo
Na haujua mabasi yanaiongiza mapato kwa serikali abiria wanapoingia ndania ya stand ya magufuli
Hilo wala sio tatizo,Mapato hayapotei maana wafanyabiashara wako hadi shekilango pale. Nadhani ungeshauri stand ya magufuli kwakua ni international, basi iwe kama Airport, ondoa wapigadebe wote ndani, kujaza wapiga debe ndani ya stand na wafanyabiashara imefanya stand kupoteza mvuto.
Hilo suala la Bajaj na Bodaboda ninakuunga mkono ulichokisemaMsongamano unaletwa na MAAMUZI ya kipumbavu ya wasaka KURA, kwa akili ya kawaida, unawezaje kuruhusu BAJAJ kuingia katikakati ya Mji?? Unawezaje kuruhusu tena Daladala katikati ya mji wakati hujajenga vituo? angalia msongamano pale Manzese kwa Mfano, yale sio mabasi ya Mkoani ni Daladala na Bajaj na Bodas.
Sijajua umri wako ila miaka ya 1990's hapo kulikua na Hiace nyingi sana katikati ya mji, ikaja tamko kuwa Hiace (Vipanya) vinaongeza msongamano kwenye mji, kwahio SULUHISHO ni kuzitoa na kuweka Coaster, ndio chanzo cha Daladala kutoka kwenye Vipanya kwenda kwenye Toyota Coaster/Nissan chache na Magari fulani ya Kichina ya engine nyuma.
Miaka 30 baadae tumerudi kutoka kwenye VIPANYA hadi kwenye watoto wa PANYA (BAJAJ). tumejenga Mwendokasi na kuondoa vituo vya daladala, then UNASINGIZIA eti mabasi ya mkoani yanaongeza msongamano??
Saa mbovu leo imesema ukweli 😂Mabasi yasiyoingia au kutokea Standi ya Magufuli yakitokea au yakielekea mikoani yanakiuka utaratibu wa kisheria uliopo.
Utaratibu unataka,
hata kama kampuni ina ofisi katikati ya jiji au nje ya jiji, ni lazima mabasi yake yapitie standi ya Magufuli yanapoelekea au kutokea mikoni ndipo yaende kwenye hiyo ofisi ya kampuni husika.
Kinyume na hapo ni kukiuka utaratibu na ni uhujumu uchumi dhahiri na wa wazi wazi kabisa 🐒
Mbona abiria wenye mizigo wanaoshushwa Posta wanaishi Tegeta wanafika kwao , kuwa na mizigo mingi inabidi mtu ujipange kukodi usafiri binafsi hilo suala sio la serikaliHilo wala sio tatizo,
Tatizo ni mtu mwenye mizigo yake anayeshukia hapo Mbezi Magufuli akiwa na mizigo na watoto atafikaje Ubungo, Kinondoni, Kariakoo, Posta, Kigamboni n.k
Kama walikuwa wanataka Dar iwe na stendi moja tu ya mabasi sehemu ya kuijenga ilifaa iwe Ubungo, Mwenge, Sinza, Shekilango, Kariakoo, Posta au Kigamboni.
Good brz huo ni uungwanaNisamehe kwa lugha yangu ila bado huna point ya msingi, lakini pia uko sawa
Waambie serikali waondoe ICDs, container depots na Yard za Malori katikati ya mji.Hilo suala la Bajaj na Bodaboda ninakuunga mkono ulichokisema
Serikali inatakiwa iwazuie Washington kwenye Highways wabakie ktk njia za mitaani. Ila ndg miji yote mikubwa Duniani inamipangilio ya miji Zoning sasa kama kila kampuni ikijijengea stand yake ya kushushia abiria na mizigo tunakuwa na mji wa aina gani ?
Nivizuri mabasi ya mikoani yaishie kituo kikubwa cha mabasi cha Magufuli yasije city centre
Yes ofcz miundombinu ikiwa vibaya pia huleta msongamanoWanaoleta Msongamano ni miundombinu mibovu unaweka Daladala hakuna vituo Bajaj zinafika City Center
lofa sana gentleman 🤣Saa mbovu leo imesema ukweli 😂
Ni kweli mizigo yote ipelekwe Bandari kavu ya kwalaWaambie serikali waondoe ICDs, container depots na Yard za Malori katikati ya mji.