Conte Code
JF-Expert Member
- Oct 19, 2017
- 417
- 503
Huwezi kushindana na nature....
Mbona una makasiriko , nampongeza jamaa kaonesha uungwana kwakua hakutumia lugha nzuriUsiombe msamaha kwa huyu mpumbavu. Naufuta
Hiyo ni ngumu,Basi hilo ndo la msingi wasogeze BRT mpaka Stand ya Magufuli then wazuie mabasi kupandisha city centre
Andika uzi mwingine sasa iambie serikali ifanye hivyo kwanza.Basi hilo ndo la msingi wasogeze BRT mpaka Stand ya Magufuli then wazuie mabasi kupandisha city centre
I save hiyo cmnt yanguNaomba Mungu tusifike huko itakuwa hasara kubwa ukilinganisha na uwekezaji uliofanyika
Nakazia,sio lazima wafanyie biashara maeneo hayo.Hao wamachinga wa Mbezi Magufuli warudi kijijini wakalime, kama wameshindwa kufanya biashara zao sehemu nyingine Dar. Kwanza stendi ni kwa ajili ya abiria kushuka, kupanda bus na kujisaidia, hayo mengine ya kula biscuits, crisps na mayai ni ziada tu.
Tukiwafelisha tutatengeza wezi na vibaka , hapo ndo sehemu wanapookoteza riziki zao kwahiyo ni vzr kuwatengenezea mazingira rafiki ya biasharaHao wamachinga wa Mbezi Magufuli warudi kijijini wakalime, kama wameshindwa kufanya biashara zao sehemu nyingine Dar. Kwanza stendi ni kwa ajili ya abiria kushuka, kupanda bus na kujisaidia, hayo mengine ya kula biscuits, crisps na mayai ni ziada tu.
Ni kweli dalili zinaoneshaI save hiyo cmnt yangu
Ova
Kwani lazima wafanyie biashara hapo stendi ya Magufuli?? Hakuna sehemu nyingine za kufanyia biashara?Tukiwafelisha tutatengeza wezi na vibaka , hapo ndo sehemu wanapookoteza riziki zao kwahiyo ni vzr kuwatengenezea mazingira rafiki ya biashara
Yes ofcz stand ni target ya wafanyabishara maana kuna mkusanyiko wa watu 24 /7Kwani lazima wafanyie biashara hapo stendi ya Magufuli?? Hakuna sehemu nyingine za kufanyia biashara?
Kabla ya hiyo stendi kujengwa walikuwa wanafanyia biashara wapi??Yes ofcz stand ni target ya wafanyabishara maana kuna mkusanyiko wa watu 24 /7
Tena Morogoro road yote. Bajaji na bodaboda ndo wanasababisja foleni.Msongamano unaletwa na MAAMUZI ya kipumbavu ya wasaka KURA, kwa akili ya kawaida, unawezaje kuruhusu BAJAJ kuingia katikakati ya Mji?? Unawezaje kuruhusu tena Daladala katikati ya mji wakati hujajenga vituo? angalia msongamano pale Manzese kwa Mfano, yale sio mabasi ya Mkoani ni Daladala na Bajaj na Bodas.
Sijajua umri wako ila miaka ya 1990's hapo kulikua na Hiace nyingi sana katikati ya mji, ikaja tamko kuwa Hiace (Vipanya) vinaongeza msongamano kwenye mji, kwahio SULUHISHO ni kuzitoa na kuweka Coaster, ndio chanzo cha Daladala kutoka kwenye Vipanya kwenda kwenye Toyota Coaster/Nissan chache na Magari fulani ya Kichina ya engine nyuma.
Miaka 30 baadae tumerudi kutoka kwenye VIPANYA hadi kwenye watoto wa PANYA (BAJAJ). tumejenga Mwendokasi na kuondoa vituo vya daladala, then UNASINGIZIA eti mabasi ya mkoani yanaongeza msongamano??
Ndio hao hao waliokuwa Ubungo walihama na stand ilivyohamishwa wakaifwata MbeziKabla ya hiyo stendi kujengwa walikuwa wanafanyia biashara wapi??
Kwann Vikindu na sio chanika 😄😄😄Malori Ndiyo Yaishie Kwala
Basi Acha Ziende Mpaka Vikindu Kunakoo Kaa Watu
Unajifanya umetembea peke yako huko Ulaya na SA, maana mifano yako yote unfananisha na huko. Hata wao wana changamoto zaoMbona una makasiriko , nampongeza jamaa kaonesha uungwana kwakua hakutumia lugha nzuri
Kwahiyo mtu akitofautiana mawazo na ww ni mpumbavu
Fu*ck them, waende stendi ya Mwenge, mtaani au vijijini kulima, wasitake kusumbua watu eti kisa wauze karanga na pipi zao stendi. Ni upumbavu kutaka kumsumbua mama masikini mwenye watoto watatu asumbuke kuungaunga usafiri kutoka Mbezi Magufuli kwenda Ubungo eti kisa tu kijana mmoja auze bagia zake za dengu.Ndio hao hao waliokuwa Ubungo walihama na stand ilivyohamishwa wakaifwata Mbezi
It's true abt wht ur saying personally ni bora mtu ukalime shambani kuliko kuwa matching Dar , tatizo watu wanalipenda sana jiji la Dar wanao ingia ni wengi kuliko wanao tokaFu*ck them, waende stendi ya Mwenge, mtaani au vijijini kulima, wasitake kusumbua watu eti kisa wauze karanga na pipi zao stendi. Ni upumbavu kutaka kumsumbua mama masikini mwenye watoto watatu asumbuke kuungaunga usafiri kutoka Mbezi Magufuli kwenda Ubungo eti kisa tu kijana mmoja auze bagia zake za dengu.
Brz sio bure we kuna mtu atakuwa amekukwaza huko naona mashambulizi yote unayaleta kwangu , punguza munkaliUnajifanya unetembea peke yako huko Ulaya na SA, maana mifano yako yote unfananisha na huko. Hata wao wana changamoto zao
Mji mkubwa bila Zoning haifai , tukiruhusu kila kampuni ya basi ijenge kituo chake tutakuja kufika a point of no returnYoda humu ndani hataki kuskia habari za wafanya biashara .
Yoda yeye kila unaloongea kikifika kwake atakwambia waende kulima. 😄😄😄😄😄🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Kwahyo Yoda wewe Unataka mabasi ya mkoani yafike mpaka vikindu.
Yafike mpaka huku kwetu msongola mbande,