Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
Wapande bus linalofika huko au kituo cha karibu zaidi na huko. Mbona maswali mepesi sana haya kwa mtu mzima!Vipi wanaoenda Tandika, Mbagala, GongolaMboto, Chanika nao washushwe wapi ili wafike home kirahisi?
Sasa hivi bus zinazofika karibia hayo maeneo yote na pia yani hata kama kusingekuwa na bus za kufika huko suluhisho lisingekwa la kutaka abiria wote wanaotokea njia ya Chalinze washushiwe Magufuli.