RESOLVED HOJA Ushauri wangu: Mabasi ya abiria ya mikoani yaishie Mbezi Magufuli

Imefanyiwa kazi au kupatiwa ufumbuzi na Mamlaka husika
Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Mbona abiria wenye mizigo wanaoshushwa Posta wanaishi Tegeta wanafika kwao , kuwa na mizigo mingi inabidi mtu ujipange kukodi usafiri binafsi hilo suala sio la serikali
Abira wanashushwa Posta wakitokea wapi?

Kwa akili yako watu kumi wakikodi gari tano binafsi ziwabebee mizigo yao badala ya kutumia bus moja kipi kitaongeza foleni zaidi mjini??
 
Ndioomaana serikali imejenga mtandao wa BRT na mpk sasa BRT imegusa kona mbali mbali za jiji la Dar hivyo la msingi serikali iweke tu jitihada ya kuboresha Public Transport ili iwe rahisi hata kwa abiria akishukia Mbezi magufuli adandie tu mwendokasi implementation kwenye Destination yake
 
Mbona mabasi yote ni lazima yaingie magufuli na kushushwa shekilango,then yanaelekea ofisini kwao,

Binafsi sishukiagi magufuli,nashukia kariakoo,ulisema lazima abiria wote washuke magufuli mbona tutateseka
Mwezi mmoja uliopita mkuu wa wilaya wa ubungo alitembelea pale stand ya magufuli , nilitazama kwenye TV namna wafanyabiashara wa Mbezi magufuli wakilalamika baadhi ya mabasi yakitoka mikoani yanapitiliza hayashushi abiria mbezi magufuli

In summation

Dhumuni la kujenga kituo cha Magufuli ni kusogeza mabasi ya mikoani yasifike city centre , kama sio hivo basi sioni umuhimu wa Serikali kujenga stand ya magufuli kila kampuni ya mabasi ingejenga stand yake kiholela
 
Msongamano unaletwa na MAAMUZI ya kipumbavu ya wasaka KURA, kwa akili ya kawaida, unawezaje kuruhusu BAJAJ kuingia katikakati ya Mji?? Unawezaje kuruhusu tena Daladala katikati ya mji wakati hujajenga vituo? angalia msongamano pale Manzese kwa Mfano, yale sio mabasi ya Mkoani ni Daladala na Bajaj na Bodas.

Sijajua umri wako ila miaka ya 1990's hapo kulikua na Hiace nyingi sana katikati ya mji, ikaja tamko kuwa Hiace (Vipanya) vinaongeza msongamano kwenye mji, kwahio SULUHISHO ni kuzitoa na kuweka Coaster, ndio chanzo cha Daladala kutoka kwenye Vipanya kwenda kwenye Toyota Coaster/Nissan chache na Magari fulani ya Kichina ya engine nyuma.

Miaka 30 baadae tumerudi kutoka kwenye VIPANYA hadi kwenye watoto wa PANYA (BAJAJ). tumejenga Mwendokasi na kuondoa vituo vya daladala, then UNASINGIZIA eti mabasi ya mkoani yanaongeza msongamano??
Binafsi nashangaa waliondoa vipanya sasa wameruhusu bajaj bodaboda kila mahali
 
Sioni haja ya kila kampuni ya mabasi iwe na kituo chake cha kushushia abiria, inatosha wakiishia kituo kikubwa cha mabasi Mbezi Magufuli itasaidia kupunguza msongamano ktk mji na pia stendi ya Magufuli haitopoteza mapato na wafanyabishara watanufaika.
Hapana. Ila kama ni mapato yanapungua Stendi ya Magufuli, basi iwekwe tozo ya mabasi yanayoanzia nje ya Magufuli bus Terminal. Sisi wateja/ wasafiri tunaoishi mbali na Magufuli bus stand tunakuwa inconvenienced sana kwenda kule Mbezi.

Isitoshe management ya Magufuli bus stand siyo professional wala haiko customer friendly. SIPENDI SIPENDI na nasema SIPENDI kwenda Magufuli Terminal
 
Ndioomaana serikali imejenga mtandao wa BRT na mpk sasa BRT imegusa kona mbali mbali za jiji la Dar hivyo la msingi serikali iweke tu jitihada ya kuboresha Public Transport ili iwe rahisi hata kwa abiria akishukia Mbezi magufuli adandie tu mwendokasi implementation kwenye Destination yake
Kumbe unafahamu sio rahisi abiria anayeshuka Mbezi Magufuli kudandia mwendokasi au dalaladala. Sasa wakati watu wanasubiria serikali waweke hiko kituo cha BRT ndani au pembeni ya stendi ya Mbezi Magufuli abiria wataendelea kushukia kwenye stendi binafsi za mabasi Shekilango na popote.

Serikali wakishajenga BRT ndani ya Mbezi Magufuli kwa ajili ya abiria wanaoshukia hapo stendi ndio uje tena na hii hoja yako.
 
Hapana. Ila kama ni mapato yanapungua Stendi ya Magufuli, basi iwekwe tozo ya mabasi yanayoanzia nje ya Magufuli bus Terminal. Sisi wateja/ wasafiri tunaoishi mbali na Magufuli bus stand tunakuwa inconvenienced sana kwenda kule Mbezi.

Isitoshe management ya Magufuli bus stand siyo professional wala haiko customer friendly. SIPENDI SIPENDI na nasema SIPENDI kwengda Magufuli Terminal
Kwanza ndg yangu hiyo profile yako umenikumbusha mbali sana kuhusu huyo mwamba aliingia kwenye 18 za JPM

Lakini serikali si imejenga mtandao wa BRT hii itasaidia kwa mtu aliyepo kona yeyote ya mji kufika mbezi magufuli kwa urahisi , kikubwa wazidi kuboresha public transport
 
Na vp kuhusu wafanyabiashara waliotega fremu pale Stand ya Magufuli wanapokosa wateja kwasababu abiria wanashushwa nje ya vituo
Una hoja za kipumbavu sana. Kama mfanyabiashara wa fremu anaona anakosa wateja pale Magufuli Terminal, atahama. Ukiwaona wapo ujuwe wana biashara inayowawezesha kulipa pango.

Usifuge mbwa kutegemea mavi ya mlevi
 
Mwezi mmoja uliopita mkuu wa wilaya wa ubungo alitembelea pale stand ya magufuli , nilitazama kwenye TV namna wafanyabiashara wa Mbezi magufuli wakilalamika baadhi ya mabasi yakitoka mikoani yanapitiliza hayashushi abiria mbezi magufuli

In summation

Dhumuni la kujenga kituo cha Magufuli ni kusogeza mabasi ya mikoani yasifike city centre , kama sio hivo basi sioni umuhimu wa Serikali kujenga stand ya magufuli kila kampuni ya mabasi ingejenga stand yake kiholela
Sawa,
 
Hiyo stendi ya magu muda/wakati wowote inachukuliwa na kampuni
Ya wachina ya kuuza malori na mabus itakuwa kama yard yao
We kaa kwa kutulia subiria

Ova
 
Mwezi mmoja uliopita mkuu wa wilaya wa ubungo alitembelea pale stand ya magufuli , nilitazama kwenye TV namna wafanyabiashara wa Mbezi magufuli wakilalamika baadhi ya mabasi yakitoka mikoani yanapitiliza hayashushi abiria mbezi magufuli

In summation

Dhumuni la kujenga kituo cha Magufuli ni kusogeza mabasi ya mikoani yasifike city centre , kama sio hivo basi sioni umuhimu wa Serikali kujenga stand ya magufuli kila kampuni ya mabasi ingejenga stand yake kiholela
Na kuhusu biashara sio lazima abiria ndio wawe wateja,
 
Kumbe unafahamu sio rahisi abiria anayeshuka Mbezi Magufuli kudandia mwendokasi au dalaladala. Sasa wakati watu wanasubiria serikali waweke hiko kituo cha BRT ndani au pembeni ya stendi ya Mbezi Magufuli abiria wataendelea kushukia kwenye stendi binafsi za mabasi Shekilango na popote.

Serikali wakishajenga BRT ndani ya Mbezi Magufuli kwa ajili ya abiria wanaoshukia hapo stendi ndio uje tena na hii hoja yako.
Basi hilo ndo la msingi wasogeze BRT mpaka Stand ya Magufuli then wazuie mabasi kupandisha city centre
 
Mwezi mmoja uliopita mkuu wa wilaya wa ubungo alitembelea pale stand ya magufuli , nilitazama kwenye TV namna wafanyabiashara wa Mbezi magufuli wakilalamika baadhi ya mabasi yakitoka mikoani yanapitiliza hayashushi abiria mbezi magufuli
Hao wamachinga wa Mbezi Magufuli warudi kijijini wakalime, kama wameshindwa kufanya biashara zao sehemu nyingine Dar. Kwanza stendi ni kwa ajili ya abiria kushuka, kupanda bus na kujisaidia, hayo mengine ya kula biscuits, crisps na mayai ni ziada tu.
 
Back
Top Bottom