Stendi pale Shekilango ni maslahi ya WAchache ?
Inaonekana unaandika kwa WiFi ya Serikali, una mkopo usio na riba, unishi kwa shemeji na hujui adha za usafiri Dar es salaam.
Unajua kutoka Kimbiji mpaka Mbezi stendi kwa gari binafsi ni masaa mawili , kwa daladala ni masaa manne, sasa familia inayosafiri na watoto gari ya 12 kamili alfajiri wataamka saa tano usiku kusafiri kuwahi gari ya saa 11?
Watanzania tuna lishe duni, tunawaza ndani ya chupa ya potelo.