TATIZO ni bandari kavu zilizotapakaa DAr nzima na Siyo Mabasi , tuzinduke!
Hoja zako ni :-
1. Foleni inaletwa na Mabasi
2. Mapato
UCHAMBUZI:-
1. MABASI YANALETA FOLENI:-
Ni uduwanzi na uchawa wa kiwango cha zege kusema mabasi yanaleta foleni Dar es salaam. Watu ambao wazazi wao hawakunywa PRE -NATAL preg-care medicine ndio wanawaza hivi .
Mabasi yanaishia Shekilango na kampuni chache Zinazokwenda Mombasa na Nairobi kama B-One Tashrif ndio zinafika Kariakoo.
Mabasi hayafiki10 yanayoingia katikati ya jiji, hayashushi na kupakia kama Daladala , mengi kituo cha mwisho kushusha ni Mwenge /Lugalo .
WAKAZI WA KITUNDA:- Kukodi Bajaji kutoka kitunda kwa bolt mpaka mbezi ni nauli ya Kwenda Kigoma.
kigamboni the same.
USALAMA WA ABIRIA: Kama gari zinafika saa nane usiku , mtoto wa kike kafunga shule unategemea achukue daldala au bajaji kwenda ferry , wakimbaka huko katikati wakajifanya walitejwa?
WIZI: -Majambazi wanaweza kurudi kazini kwakuw asasa watajua kuna wasafiri na wana fedha ama vito vya dhamani pamoja na simu, kama familia moja wapo watu wanne , hata wakiporwa simu tu, si chini ya milioni mbili mbali na laptop , nauli na fedha za dharura.
BAJAJI/ BODABODA:- hizo bajaji zinazobeba watu 3 tu, zitakuwa ngapi? basi moja linabeba abiria 50 mpaka 60, sasa Abiria wa Basi moja watabebwa na bajaji 20 , mbezi kwa siku inahuumia mabasi 4000 yanayoingia, means abiria karibu 200,000,000 hivyo tunahitaji bajaji ELFU SITINI NA SITA kubeba abiria kuwapeleka na kuwatoa Mbezi stendi.
AJALI ZA WATU KUPASULIWA VICHWA NA BODABODA wakikimbiza gari zilizowaacha zitarejea.
ajali za Bajaji kila siku zitarejea na MOI haitaweza kumudu idadi ya vifo.
2. MAPATO:Kwani Manispaa haipati mapatao kutoka kwa hao wenye vituo nje ya mbezi?
Wamepanga kwenye majengo ya watu, wanalipa kodi na wanalipa withholding tax , wameajiri watu na wananunua umeme , wanalipa parking na wanatoa ajira nyingi .
MY TAKE : Kuna maskini wammemshauri vibaya mheshimiwa mkuu wetu wa mkoa mwenye nia njema ya kumsaidia mama , wao wanampotosha, ii ni mbaya sana.
CHAMAZI : NAULI YA DAR -MORO NI 20,000 , nauli kutoka nyumbani kwenda kupanda gari ni 44,000/- yaani ni nauli ya kwenda na kurudi na kula njiani nabakiwa nayo , unabakiwa na elfu nne?
View attachment 3648196View attachment 3648196View attachment 3648196