RESOLVED HOJA Ushauri wangu: Mabasi ya abiria ya mikoani yaishie Mbezi Magufuli

Imefanyiwa kazi au kupatiwa ufumbuzi na Mamlaka husika
Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Mwezi mmoja uliopita mkuu wa wilaya wa ubungo alitembelea pale stand ya magufuli , nilitazama kwenye TV namna wafanyabiashara wa Mbezi magufuli wakilalamika baadhi ya mabasi yakitoka mikoani yanapitiliza hayashushi abiria mbezi magufuli

In summation

Dhumuni la kujenga kituo cha Magufuli ni kusogeza mabasi ya mikoani yasifike city centre , kama sio hivo basi sioni umuhimu wa Serikali kujenga stand ya magufuli kila kampuni ya mabasi ingejenga stand yake kiholela
Hao wafanyabiashara wa stand ya magufuli wasijione miungu watu pekeyao,kumbuka hata pale Shekilango pia kuna wafanyabiashara wanauza kama wao na wao wakisikia shekilango siku inahama watalalamika kama wewe unavyolalamika,Ukiona mahali ulipo hapana fursa basi ikimbilie fursa karibu mahali ilipo
 
Wenye kampuni za mabasi Huwa wabunifu sana ktk kumtetea abiria wake ila serikali inaharibu muda mwingi, fikiri mwenye basi anabuni kujitengenezea stendi yake na anazuia wapiga debe na wezi, pia abiria asipate gharama za ziada za kulipa aingiapo stendi, pia km ana mizigo asipate shida kusumbuliwa akishushiwa hapo kwao, anakuwa na machaguo ya kupanda na kushuka hapo stendi binafsi ama stendi ya serikali. Serikali imeonyesha udhaifu mkubwa wa kushindwa kusimamia miradi yake Hadi Hawa watu binafsi wanaamua wao wawe watetezi wa abiria watakaotumia huduma zao. Wawaache wao wabuni namna ya kuwafuata walipe Kodi hata wakiwa ktk stendi zao binafsi tu
 
Point yangu ya msingi ni kwamba Ma bus yasifike mjini tupunguze msongamano ili ushuru ulipwe pale Magufuli
 
Wenye kampuni za mabasi Huwa wabunifu sana ktk kumtetea abiria wake ila serikali inaharibu muda mwingi, fikiri mwenye basi anabuni kujitengenezea stendi yake na anazuia wapiga debe na wezi, pia abiria asipate gharama za ziada za kulipa aingiapo stendi, pia km ana mizigo asipate shida kusumbuliwa akishushiwa hapo kwao, anakuwa na machaguo ya kupanda na kushuka hapo stendi binafsi ama stendi ya serikali. Serikali imeonyesha udhaifu mkubwa wa kushindwa kusimamia miradi yake Hadi Hawa watu binafsi wanaamua wao wawe watetezi wa abiria watakaotumia huduma zao. Wawaache wao wabuni namna ya kuwafuata walipe Kodi hata wakiwa ktk stendi zao binafsi tu
Ni kweli wapiga debe ni kero kwa abiria wafikapo stendi
 
Utateseka vipi wakati kuna daladala, mwendokasi, bajaji na bodaboda zote zinakufikisha mpaka katikati ya mji!
Duniani muda ndio kila kitu...
kama basi lina fikisha mtu Gongo la mboto saa 17h30 kwanini apelekwe magufuli akalipe nauli nyingine na afike Gongo la Mboto saa mbili usiku?
LAKINI PIA, UKITUMIA AKILI YAKO VIZURI, utajua kuwa;
MWENDOKASI NA HATA DALADALA SIO KWA AJILI YA ABIRIA WANAOTOKEA/KWENDA MIKOANI AMBAO WENGI WAO HUWA NA MIZIGO MINGI na ndio sababu wakilazimika hutumia bajaji za kukodi ili wabebe mizigo yao.
 
Duniani muda ndio kila kitu...
kama basi lina fikisha mtu Gongo la mboto saa 17h30 kwanini apelekwe magufuli akalipe nauli nyingine na afike Gongo la Mboto saa mbili usiku?
LAKINI PIA, UKITUMIA AKILI YAKO VIZURI, utajua kuwa;
MWENDOKASI NA HATA DALADALA SIO KWA AJILI YA ABIRIA WANAOTOKEA/KWENDA MIKOANI AMBAO WENGI WAO HUWA NA MIZIGO MINGI.
Safari yeyote inahitaji kujipanga kifedha huyo ambaye anaona hawezi gharama za kusafiri atelier huko alipo
 
Stendi kuu ni stendi ya aina gani?
Huyu ni kijana wa 1980's ana falsafa ya kijima, sasa anataka kulazimisha ESTHER LUXRY iliyojitolea kuanzia Chanika kwenda Arusha nauli ile ile huyo abiria wa chanika akimbizane na madaldala mpaka mbezi alafu ndio apande, huu ni upungufu wa akili.
 
Hatuangalii kuwapa watu starehe tunaangalia Mpangilio wa mji ni bora zaidi kuliko starehe za watu
 
Huyu ni kijana wa 1980's ana falsafa ya kijima, sasa anataka kulazimisha ESTHER LUXRY iliyojitolea kuanzia Chanika kwenda Arusha nauli ile ile huyo abiria wa chanika akimbizane na madaldala mpaka mbezi alafu ndio apande, huu ni upungufu wa akili.
Hana hata hoja za msingi,
Inawezekana ana biashara stendi Mbezi Magufuli au Dalaladala za ruti ya Mbezi.
 
Sioni haja ya kila kampuni ya mabasi iwe na kituo chake cha kushushia abiria, inatosha wakiishia kituo kikubwa cha mabasi Mbezi Magufuli itasaidia kupunguza msongamano ktk mji na pia stendi ya Magufuli haitopoteza mapato na wafanyabishara watanufaika.

Na magari ya serikali yaishie kibamba then wapande bodaboda kwenda mjini

Itasaidia sana kupunguza foleni
 
Back
Top Bottom