RESOLVED HOJA Ushauri wangu: Mabasi ya abiria ya mikoani yaishie Mbezi Magufuli

Imefanyiwa kazi au kupatiwa ufumbuzi na Mamlaka husika
Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Mbagala huko si kuna watu wameondolewa,vunjiwa maeneo yao ili kupisha stendi ya ma bus ya kusini

Ova
Hehe Kuna wamevunjiwa Tena 😃.

Kama wanajenga terminal nyingine Kwa ajili south zone sawa.

Je constructor wa huo mradi ni machina ? 😃
 
Sioni haja ya kila kampuni ya mabasi iwe na kituo chake cha kushushia abiria, inatosha wakiishia kituo kikubwa cha mabasi Mbezi Magufuli itasaidia kupunguza msongamano ktk mji na pia stendi ya Magufuli haitopoteza mapato na wafanyabishara watanufaika.
Wewe ni Mpuuzi kama Wapuuzi wengine.
1. Wafanya biashara wakae maskoni, madukani na malls, Maskini ndio ananunua kila kitu pahala popote. Ukiwa unataka shopping neda sokoni au dukani. Mapato ya hizo stendi zingine wewe zimekusaidia nini?

2. Bibi wa miaka 85 ametoka Rombo na TILISHO, ameshuka na Roba la ndizi, parachi na mabegi na ameambata na wajuu zake wawili wa miaka 5, nyumbani kwake ni CHANIKA mwisho na Mbezi ameshuka saa tatu usiku maana alitoka Rombo saa nne asubuhi , atapata Gari ya Chanika apande na mizigo na wajukuu zake? Hizo gari usiku hazikatishi route? Akichukua Bolt harama ni kubwa kuliko nauli aliyolipa kutoka Rombo.

3. Kama vile ambavyo wauza vyombo wameondoka masokoni wanawafuata wateja majumbani basi na wenye mabasi wameondoka kituoni wamewafiuata abiria walipo. Kigamboni unapandia huko unashushwa huko, hivi wewe Ukifika mbezi saa nne usiku na viroba vya ndizi na maparachichi , nyumbani kwako ni Puna -Kimbiji[kilometa 50 toka ferry] , pantoni mwisho saa sita usiku , huko Kimbiji utampeleka na ambulance? Muwe mnatumia hata akili ya lanne kuandika.
 
WEWE NI KOPO KAMA MAKOPO MENGINE

PITIA COMMENT ZA WATU WENYE AKILI UONE MADINI WALIYOANDIKA SIO SIO KAMA HOJA ZAKO ZISIZOKUWA NA MASHIKO
 
Akili na PHD ndio zilijenga Mwendokasi jangwani, ndio ziliingia mikataba ya Mangungo na alipoingia JPM akaivunja.

Akili hizi hizi ndio zimeuza jangwani na Viwanja vya Biafra, wote ninyio ni makopo pro max!

Akili hizi ndio zinajenga lami baada ya miezi sita wanavunja kupitisha mabomba ya maji taka na DAWASCO.
 
Akili na PHD ndio zilijenga Mwendokasi jangwani, ndio ziliingia mikataba aliypkuja kuivunja JPM.

Akili hizi hiz ndio zimeuza jangwani na Viwanja vya Biafra, wote ninyio ni makopo pro max!
Kwani kwenye familia hakuna makosa ya Baba yako au Mjomba alikosea akayaweka sawa , kukosea ni kawaida kwa binadamu mbaya ni kutojufunza kupitia hayo makosa
 
Makosa yapi, unaamua jambo la nchi kama kulala na mume wako?

Watu hawakupinga na wapuuzi wanaojiita wasomi kama wewe wakasema hakuna madhara?

Hiyo mikataba haikupingwa bungeni kwa vielelezo na ikapingwa?

DP WORLD AIMEPINGWA, BAADAE MTAKUJA NA VIELIMU VYENU KUDAI KUNA MAKOSA MAANA NI BINADAMU!

ICD-YARD ZA MALORI NDIO ZIMELETA FOLENI MJINI NA MUACHE KUSINGIZIA MABASI.

SASA HIVI NYUMBA ZA USWAHII ZINANUNULIWA NA MATAJRI WASIOZIDI 5 NA KUWEKA YARD ZA MAKONTENA, MSITULETEE HABARI ZA MABASI , TENA MACHACHE!
 
Makosa yapi, unaamua jambo la nchi kama kulala na mume wako?
Watu hawakupinga na wapuuzi wanaojiitawasomi kama wewe wakasema hakuna madhara?
Hiyo mikataba haikupingwa bungeni kwa vielelezo na ikapingwa?

DP WORLD AIMEPINGWA, BAADAE MTAKUJA NA VIELIMU VYENU KUDAI KUNA MAKOSA MAANA NI BINADAMU!

icd-yard ZA MALORI NDIO ZIMELETA FOLENI MJINI NA MUACHE KUSINGIZIA MABASI.
SASA HIVI NYUMBA ZA USWAHII ZINANUNULIWA NA MATAJRI WASIOZIDI 5 NA KUWEKA YARD ZA MAKONTENA, MSITULETEE HABARI ZA MABASI , TENA MACHACHE!
Kwenye ICD sikupingi lakini sindio kama hivi ndg tunapiga kelele wenye mamlaka watusikie
 
Wewe ni Mpuuzi kama Wapuuzi wengine.
1. Wafanya biashara wakae maskoni, madukani na malls, Maskini ndio ananunua kila kitu pahala popote. Ukiwa unataka shopping neda sokoni au dukani. Mapato ya hizo stendi zingine wewe zimekusaidia nini?

2. Bibi wa miaka 85 ametoka Rombo na TILISHO, ameshuka na Roba la ndizi, parachi na mabegi na ameambata na wajuu zake wawili wa miaka 5, nyumbani kwake ni CHANIKA mwisho na Mbezi ameshuka saa tatu usiku maana alitoka Rombo saa nne asubuhi , atapata Gari ya Chanika apande na mizigo na wajukuu zake? Hizo gari usiku hazikatishi route? Akichukua Bolt harama ni kubwa kuliko nauli aliyolipa kutoka Rombo.

3. Kama vile ambavyo wauza vyombo wameondoka masokoni wanawafuata wateja majumbani basi na wenye mabasi wameondoka kituoni wamewafiuata abiria walipo. Kigamboni unapandia huko unashushwa huko, hivi wewe Ukifika mbezi saa nne usiku na viroba vya ndizi na maparachichi , nyumbani kwako ni Puna -Kimbiji[kilometa 50 toka ferry] , pantoni mwisho saa sita usiku , huko Kimbiji utampeleka na ambulance? Muwe mnatumia hata akili ya lanne kuandika.
Sio ajabu atakuambia Magufuli "main" Terminal kuna hostel /lodge hapo. Bibi ,wajukuu zake na viroba vyao vyao vya ndizi na parachichi walale hapo Magufuli Stendi ili stendi ipate mapato halafu kesho yake ndio wasafiri kwenda Kigamboni Puna-Kimbiji.
 
Serikali haitakiwi kuweka huruma yeyote anayesafiri ajipange , huyo bibi akiona hili jiji haliwezi abaki huko huko biharamuro
 
Siyo huruma, wachawi walianza kama wewe, pale Tanga wachawi walishauri serikali mtu asijenge nyumba ya tofali, baadae wakashauri mtu asisomeshe watoto maana wakienda shule wanaolewa mjini, baadae wakashauri mtu asiajiriwe abaki kijijini ili wawe sawa, ukikiuka unalogwa , sasa ndio wewe.

Rest assured, maisha yashabadilika, hioz stendi zilijengwa kisasa.
Hata ndge na helcopter kuna watu waba private airport or landing palce.
kuna private hospital!
Kupanga ni kuchagua!
 
Kuna vitu vinakera sana aise... badala kushauri vitu vya msingi kama vile bei za mafuta/Diesel na petrol zipungue, vyakula, pamoja na ushuru wa magari+makodi. Kaazi kweli kweli
 
Back
Top Bottom