Ushauri wangu wa bure kwa Mabinti

Ushauri wangu wa bure kwa Mabinti

Hakuna faida ya kubadilisha wanaume kama nguo maana kumbuka kadri miaka inavyozidi kwenda thamani yako inapungua huku thamani ya mwanaume ikiongezeka. Ndio maana utaona mzee wa miaka 60 akioa binti wa miaka 25 huku bibi wa miaka 60 akipata ndoa ni muujiza mkubwa.

Unapowadanganya wanaume, usifikirie kuwa hawatagundua wakati fulani. Mwanaume akikushika unacheat, jua tu mahusiano yenu hayatakuwa kama mwanzo maana wanaume hawachukulii cheating kirahisi. Tafuta mwanaume unayempenda na utulie kabla ya kupoteza maisha yako mwanadada. Kubadilisha Wanaume kama nguo hhakuna tuzo ila kuna majuto zaidi kadri muda unavyozidi kwenda😎
Single maza wote wanajuta.
 
Wawaulize dada zao Wema, Kajala, na Aunty Ezekiel, si mnaona wanavyohaha kujiuza na kutafuta wanaume wa kutulia nao? Wame-expire wamebaki kuchonga miili yao ili waonekane watoto wa miaka 18 wakati wanakimbiza miaka 50 huko. Mtoto wa kike usicheze na maisha, sisi wanaume uwaga ukizengua tu, tunakutumia na kukusaliti hapo hapo mpaka uombe poo kabla hujajiua.
Uko sahihi.....akina Uwoya sasa hivi eti wanafungua makanisa😅😅
 
Hakuna faida ya kubadilisha wanaume kama nguo maana kumbuka kadri miaka inavyozidi kwenda thamani yako inapungua huku thamani ya mwanaume ikiongezeka. Ndio maana utaona mzee wa miaka 60 akioa binti wa miaka 25 huku bibi wa miaka 60 akipata ndoa ni muujiza mkubwa.

Unapowadanganya wanaume, usifikirie kuwa hawatagundua wakati fulani. Mwanaume akikushika unacheat, jua tu mahusiano yenu hayatakuwa kama mwanzo maana wanaume hawachukulii cheating kirahisi. Tafuta mwanaume unayempenda na utulie kabla ya kupoteza maisha yako mwanadada. Kubadilisha Wanaume kama nguo hhakuna tuzo ila kuna majuto zaidi kadri muda unavyozidi kwenda😎
Atahama location tuu
 
Hakuna faida ya kubadilisha wanaume kama nguo maana kumbuka kadri miaka inavyozidi kwenda thamani yako inapungua huku thamani ya mwanaume ikiongezeka. Ndio maana utaona mzee wa miaka 60 akioa binti wa miaka 25 huku bibi wa miaka 60 akipata ndoa ni muujiza mkubwa.

Unapowadanganya wanaume, usifikirie kuwa hawatagundua wakati fulani. Mwanaume akikushika unacheat, jua tu mahusiano yenu hayatakuwa kama mwanzo maana wanaume hawachukulii cheating kirahisi. Tafuta mwanaume unayempenda na utulie kabla ya kupoteza maisha yako mwanadada. Kubadilisha Wanaume kama nguo hhakuna tuzo ila kuna majuto zaidi kadri muda unavyozidi kwenda
Umewapa ushauri bora sana dada zetu.

Mwanamke aliekitembeza sana, akifika 40+ kiakili hua kama amechanganyikiwa.

Ngono zembe, ina madhara makubwa sana kwa mwanamke, kuliko faida anayopata.
 
Inanikumbusha wakati flani hivi, kitambo.....mimi na binamu tunaingia club tuna pata sister ake amepkatwa na DJ, aisee tulimngojea nje ya club na kumchapa vilivyo, matusi alio tupiga nayo!!!, Baada ya miezi kadhaa, mimba hio, akakaziwa na mamake ambae ni shangazi yangu asema aliemtia mimba, akasema atamuonyesha......tuka ambatana nae safari mpaka kwa mtuhumiwa, kufika jamaa mrasta......laah sisi twacheka kimoyo na brother wake, tukijua DJ ndie mtia mimba........mrasta akamuuliza, wewe tokea tuwe pamoja ilikua lini? kwa hivyo kwani kuna mimba ya miezi kumi na tano?..........alishindwa kujibu tukarudi nyumbani....analea mtoto akiwa single mama, nashangaa kwanini hakumtaja DJ...!!!!
 
Back
Top Bottom