MkuuMimi sio mtaalamu wa biashara na sitaki kujenga, nataka nipate ushauri wa wapi niwekeze kwa sasa ili nizalishe kupata pesa ya kujikimu bila kuharibu mtaji hadi hapo nitakapopata maarifa bora.
Eg. Fixed account;; Je, benki gani ina-rate nzuri zaidi ya 10% kwa mwaka?
Je, ninunue tresury bills na bonds, lakini nazo sizijui vizuri. Nahitaji mtu kunishauri
Je, option ipi watu mnaifahamu.
Asante
Mkuu kwanza nikupongeze kwa kustaafu, lakin pia nimeona kwenye uzi wako umesema hutaki kujenga ijapokuwa sjajua hutaki kujenga nyumba ya kuishi au ya biashara lakin mim kwa uzoefu wangu kwenye nyumba za biashara na ukachagua location nzuri utapata hela japo sio nyingi sana lakin utajikimu kwa maisha yako yote baada ya kustaafu.Mimi sio mtaalamu wa biashara na sitaki kujenga, nataka nipate ushauri wa wapi niwekeze kwa sasa ili nizalishe kupata pesa ya kujikimu bila kuharibu mtaji hadi hapo nitakapopata maarifa bora.
Eg. Fixed account;; Je, benki gani ina-rate nzuri zaidi ya 10% kwa mwaka?
Je, ninunue tresury bills na bonds, lakini nazo sizijui vizuri. Nahitaji mtu kunishauri
Je, option ipi watu mnaifahamu.
Asante
Asante, je for number 1.. benk gani inafixed ya 7.8% kwa annum kwa miezi 6?1. Fixed deposit six months wakati unajipanga you will get max of about 7.8% ukiziacha kwenye account wanakula kodi taratibu
2. BONDS
3. TRESURY BILLS
1- 3 are the best options HELA YA KUSTAAU HAIJENGI NYUMBA UTAFILISIKA MARA MOJA NA KUFA MAPEMA......
Chukua 70m fanya chochote.30m zinazobaki kanunue baiskeli Japan (Kobe) . Baiskeli moja ni kati ya 15k hadi 30k Tsh
Container Moja la futi 20 linachukua Baiskeli 240 na container la futi 40 linachukua bike 500 -600.
Baiskeli moja kwa rejareja mtaani inaanzia 135k za kawaida kabisa.
Asume kila bike ifike kwa garama ya maximum Tsh 50k.the rest is profit
NB:Safari Zako 4 za kwanza kuagiza mzigo usizumunie kupata profit zumunia kurudisha mtaji badae utapiga hela sana na mm utanitumia shukran [emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 1368928View attachment 1368929
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi sio mtaalamu wa biashara na sitaki kujenga, nataka nipate ushauri wa wapi niwekeze kwa sasa ili nizalishe kupata pesa ya kujikimu bila kuharibu mtaji hadi hapo nitakapopata maarifa bora.
Eg. Fixed account;; Je, benki gani ina-rate nzuri zaidi ya 10% kwa mwaka?
Je, ninunue tresury bills na bonds, lakini nazo sizijui vizuri. Nahitaji mtu kunishauri
Je, option ipi watu mnaifahamu.
Asante
Hapana hajamdanganya.Wewe acha kumdanganya basikeli bei yake ni 105,000.
Ukichukua 2 pcs na kuendelea ni 95,000.
Zenji ndo kabisa 75,000.
Na wewe hujanielewa.Hapana hajamdanganya.
Wewe unaongelea bei za tanzania bara na visiwani ilihali yeye kaongelea kuagizia mzigo japan.
Na ni kweli hizo ndio bei za baikeli huko japan kwanzia pc 230 na kuendelea
Umemaliza Kama kweli ana Nia ya dhati afuate huu ushauri1. Fixed deposit six months wakati unajipanga you will get max of about 7.8% ukiziacha kwenye account wanakula kodi taratibu
1- 3 are the best options HELA YA KUSTAAU HAIJENGI NYUMBA UTAFILISIKA MARA MOJA NA KUFA MAPEMA......
2. BONDS
3. TRESURY BILLS