Hawana
Tofauti ni kwamba ww utapush kwanguvu siku ya kwanza na ya pili labda, kama una huruma...kinachobaki ni kama wengine tuu wala tusidanganyaneSio wale wale,yani gumegume limeshatumika,lina majeraha kibao ya kimahusiano ulinganishe na mtoto mbichi kitu hakijagusawa useme ni the same?
Nilimpa nwanaume sio baharia na alistahili.Kwahyo ulijitoa mwenyewe?
Kwa hio aliekuoa ni bwege na alikua hana hadhi ya kuoa bikra ndio maana kakuoa wewe,usie na bikra?Pole..nilichomaanisha mi kwamba kesi za ndoa waliooana bikra ni sawa sawa na wengine..na ndomana sijutii kuitoa yakwangu mana haileti tofauti ndoani. Narudia tena kama ambavyo wadada wengi hatuna bikra vivyohivyo wengi wenu hamna hadhi ya kupewa bikra
YahSasa wengi wetu Hatuna hadhi ya kupewa bikra..We ulimpa Nani akutoe ulimpa Ng'ombe ?
Sorry[emoji23][emoji23]
Point ni kwamba hakuna haja ya kuitunza eti usubiri ndoa wakati ukishaolewa bado utalialia tena pengine kuliko hata wengine...nyi subirini bikra shabu zimejaa mtaani mtazipata sana tu.Kwa hio aliekuoa ni bwege hana alikua hana hadhi ya kuoa bikra ndio maana kakuoa wewe?
Bryan Kors, Beef Ketchup, Bukoba, Benassi Khalid au?Ww ni BK mkuu
Endelea kuichakaza,akijilengesha mtu mshikishe akuoe
Hahaaaaha.Hawana
Point ni kwamba hakuna haja ya kuitunza eti usubiri ndoa wakati ukishaolewa bado utalialia tena pengine kuliko hata wengine...nyi subirini bikra shabu zimejaa mtaani mtazipata sana tu.
Ulie nini?wanaume hua tuna heshimu sana na kumthamini mwanamke aliejitunza.asikudanganye mtu!..
Ndio mnavodanganyana hivo kumbeKuna age mtu akifikisha alafu akawa bado bikra ni uchuro, sharti akaogee maji ya bahari
Sent using Jamii Forums mobile app
Inaelekea ww kitu chako ni used sana.hili suala la wenzako kutunza bikra linakuingia sana, kama ulikosea ni wewe usitake na wengine waingie mkenge.Kuna mtu anakupangia wewe mtoa mada jinsi ya kutumia pesa zako? Au ule hiki au usile kile? Je mavazi unayovaa? Au leo mchana ule nini? What gives you a right kumpangia mwanamke afanye nini na mwili wake. Virginity is bullshit. It's a way of men controlling women's bodies.
Dear girls your body your choice.
Atakaekuja hapa sijui mungu ndo kaiweka etc. Hiyo ni anatomy kama ulivyo mkono au mguu. Hizo dini zote ni sexist! Tena ukiangalia viongozi wa dini since way back walikua wanaume hapo unategema mwanamke asibaguliwe na kua controlled.
Na atakae ni quote ******a. Simjibu mtu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa binti wa 30 akiwa bikra kwanza ata akikupa utajua ya oparationNdio mnavodanganyana hivo kumbe
😄😂 HahahahahahaInaelekea ww kitu chako ni used sana.hili suala la wenzako kutunza bikra linakuingia sana, kama ulikosea ni wewe usitake na wengine waingie mkenge.
😮😔 Rebecca 83 why?NONSENSE
Mama yako na nyanya yako na ukoo wako mzima makahaba. .. btw acheni nyege za kuni quote huo mjadala nimeshafunga
Kwanini usimnunulie mpya tu mkuu??Last Year nimeoa kitu sealed aiseww wadada tunzeni bikra..
Nimepanga New iya nimpe Noah yangu iwe yake.
Wewe bana acha izo, .. Mwanamke alokuja kutolewa Bikra , Uheshimiwa sana na Mumewe na Anaaminika mnoo..Point ni kwamba hakuna haja ya kuitunza eti usubiri ndoa wakati ukishaolewa bado utalialia tena pengine kuliko hata wengine...nyi subirini bikra shabu zimejaa mtaani mtazipata sana tu.