USHAURI: Wasichana tunzeni bikira zenu mpaka mtakapoolewa

USHAURI: Wasichana tunzeni bikira zenu mpaka mtakapoolewa

Sio wale wale,yani gumegume limeshatumika,lina majeraha kibao ya kimahusiano ulinganishe na mtoto mbichi kitu hakijagusawa useme ni the same?
Tofauti ni kwamba ww utapush kwanguvu siku ya kwanza na ya pili labda, kama una huruma...kinachobaki ni kama wengine tuu wala tusidanganyane
Kwahyo ulijitoa mwenyewe?
Nilimpa nwanaume sio baharia na alistahili.
 
Pole..nilichomaanisha mi kwamba kesi za ndoa waliooana bikra ni sawa sawa na wengine..na ndomana sijutii kuitoa yakwangu mana haileti tofauti ndoani. Narudia tena kama ambavyo wadada wengi hatuna bikra vivyohivyo wengi wenu hamna hadhi ya kupewa bikra
Kwa hio aliekuoa ni bwege na alikua hana hadhi ya kuoa bikra ndio maana kakuoa wewe,usie na bikra?
 
Kwa hio aliekuoa ni bwege hana alikua hana hadhi ya kuoa bikra ndio maana kakuoa wewe?
Point ni kwamba hakuna haja ya kuitunza eti usubiri ndoa wakati ukishaolewa bado utalialia tena pengine kuliko hata wengine...nyi subirini bikra shabu zimejaa mtaani mtazipata sana tu.
 
Point ni kwamba hakuna haja ya kuitunza eti usubiri ndoa wakati ukishaolewa bado utalialia tena pengine kuliko hata wengine...nyi subirini bikra shabu zimejaa mtaani mtazipata sana tu.
Ulie nini?wanaume hua tuna heshimu sana na kumthamini mwanamke aliejitunza.asikudanganye mtu!..
 
Nnayoyashuhudia mm tofauti yaan ndoa ya mwanamke bikra yenye amani kati ya nyingi nnazozijua ni moja.
 
Kuna mtu anakupangia wewe mtoa mada jinsi ya kutumia pesa zako? Au ule hiki au usile kile? Je mavazi unayovaa? Au leo mchana ule nini? What gives you a right kumpangia mwanamke afanye nini na mwili wake. Virginity is bullshit. It's a way of men controlling women's bodies.

Dear girls your body your choice.


Atakaekuja hapa sijui mungu ndo kaiweka etc. Hiyo ni anatomy kama ulivyo mkono au mguu. Hizo dini zote ni sexist! Tena ukiangalia viongozi wa dini since way back walikua wanaume hapo unategema mwanamke asibaguliwe na kua controlled.

Na atakae ni quote ******a. Simjibu mtu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Inaelekea ww kitu chako ni used sana.hili suala la wenzako kutunza bikra linakuingia sana, kama ulikosea ni wewe usitake na wengine waingie mkenge.
 
Point ni kwamba hakuna haja ya kuitunza eti usubiri ndoa wakati ukishaolewa bado utalialia tena pengine kuliko hata wengine...nyi subirini bikra shabu zimejaa mtaani mtazipata sana tu.
Wewe bana acha izo, .. Mwanamke alokuja kutolewa Bikra , Uheshimiwa sana na Mumewe na Anaaminika mnoo..

Huo ndo ukweli, wala huwezi kujilinganisha naye .

Wewe umeolewa Bikra unamiaka 15 ... Umekuja kuolewa unamiaka 28 ....

Kwa haraharaka unamiaka 13 ambayo umeitumia kufanya Ngono ya kila aina , Umetembea na wanaume wakila aina..NA KAMA MIMBA ,UMETOA SIO CHINI YA MBILI..


Leo hiii ujilinganishe na mwanamke alokuja kutolewa bikra akiwa ndoani???


Mimi nadhani icho unachokisimamia ni Hadith za sungurana Ndiz mbiv, alivoona hana uwezo wa kuzila, akabaki kuzilaani ndizi zile.


After all WEWE mwenyewe nishahidi, kua HAMNA ULICHOPATA TOKA UTOLEWE BIKRA, a kiasi kwamba Kama hutamani kua mtoto, unatamani ungekua bado na Bikra.


Mpe Hongera Wadada wamakamo yako walofanikiwa kufika hapo , sio mbwembwe izi !!.



Wakat huohuo ,kama una wadogo wakike, Waonyeshe Umuhimu wakutunza bikraz
Zao ,Ukijitumia wewe kama MFANO.
 
Back
Top Bottom