USHAURI: Wasichana tunzeni bikira zenu mpaka mtakapoolewa

Hahahahaa...sawa ka ishu ni kupush pussy tight sawa ila ndoa ya amani si kwa ajir ya bk
 
Inshu sio K tight , sikia najua hujui Ila Leo tambua NGONO ni tendo la kiroho sana..
Hahahahaa...sawa ka ishu ni kupush pussy tight sawa ila ndoa ya amani si kwa ajir ya bk
na ukimuondoa Mwanaume kama chanzo cha mafarakano ndani, Moja ya sababu ya mafarakano ni matokeo ya mwanamke asokua Bikra NA MBAYA ZAIDI YEYE HANA HOFU NA MUUMBAJI WAKE.


Ilo ni tatizo zaidi ya tatizo lenyewe...unategemea wewe Ukikutana na Alokutoa Bikra/ X alokua anakukaza kisawasawa, atashindwa kukutafuna????? Aya sasa yeye bikra anawapi pakukumbushia???


Acha zako Chief !!!
 
Kuoa kuna sifa nyingi, tatizo ni pale demu anatunza ‘bikira’ kama sifa pekee.... mengine anakosa kabisa kisa ni bikira.
 
GUYS HAMNAGA MTU ALIYEFAULU KWENYE MAPENZI ILA TU WAPO WALIOWEZA KUYAVUMILIA MAWIMBI YALIYOSABABISHWA NA MAPENZI,FANYA FUJO ZOTE,OA BIKRA AU GUBEGUBE MWISHO CHAMUHIMU KABISA UKITAKA AMANI UWE NA KIFUA NA JIANDAE KISAIKOLOJIA ANY TIME UNAWEZA KUFANYIWA USHENZI NA HIYO NI PART YA MAISHA.
USIKU MWEMA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kitu ambacho hakijaguswa ni Virgin ndio maana unaweza kuona "Virgin Land" "Virgin Islands" NK

Mwanaume ambaye hajakutana na kimwili ni Virgin.

Virginity ni something brand new! Shule inaumuhimu.

Virgin ni kwa KE [female], hiyo mifano uliyotaja like ‘LAND’ ni ya kike..... shule ni muhimu kweli na tutaendelea kujifunza.
 
Mwambieee... Anajutiaaa... Anaona kashakdsaa... Anataka apoteze wengine kama alivyopotea yeye
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baba huyo ni mfa maji..! Anatapatapa tu... Hana lolote... Yeye kachezea bikra yake... Anajulia wapi utamu wake...

Ni sawa na mtu aliyekata kucha zake... Atajuaje utamu wa kujikuna upele..?

Apambane na hali yake tu...
Sent using Jamii Forums mobile app
 
U Mxeew.
 
Amani ya ndoa na ubikra ni vtu viwili tofauti... Usihamishe mjadala... Mjadala hapa ni umuhimu wa kuolewa na bikra ..

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa umuhimu ni upi kama na wao wanatapatapa na ndoa zao...mngejua umuhimu wake msingekua mnaendeleza mizengwe yenu badala yake muwaqeenishe hao mavirgin wenu..na hamuwezi
Mmekazana eti umuhimu, wakati tunawaona uku. Nyi mtafute tuu mtu smart kwa brain.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…