Wewe bana acha izo, .. Mwanamke alokuja kutolewa Bikra , Uheshimiwa sana na Mumewe na Anaaminika mnoo..
Huo ndo ukweli, wala huwezi kujilinganisha naye .
Wewe umeolewa Bikra unamiaka 15 ... Umekuja kuolewa unamiaka 28 ....
Kwa haraharaka unamiaka 13 ambayo umeitumia kufanya Ngono ya kila aina , Umetembea na wanaume wakila aina..NA KAMA MIMBA ,UMETOA SIO CHINI YA MBILI..
Leo hiii ujilinganishe na mwanamke alokuja kutolewa bikra akiwa ndoani???
Mimi nadhani icho unachokisimamia ni Hadith za sungurana Ndiz mbiv, alivoona hana uwezo wa kuzila, akabaki kuzilaani ndizi zile.
After all WEWE mwenyewe nishahidi, kua HAMNA ULICHOPATA TOKA UTOLEWE BIKRA, a kiasi kwamba Kama hutamani kua mtoto, unatamani ungekua bado na Bikra.
Mpe Hongera Wadada wamakamo yako walofanikiwa kufika hapo , sio mbwembwe izi !!.
Wakat huohuo ,kama una wadogo wakike, Waonyeshe Umuhimu wakutunza bikraz
Zao ,Ukijitumia wewe kama MFANO.