Ushauri: Watoto wanataka kuishi na Baba ambaye aliachana na Mama yao baada ya kuanzisha mahusiano na Mwanaume mwenziye

Ushauri: Watoto wanataka kuishi na Baba ambaye aliachana na Mama yao baada ya kuanzisha mahusiano na Mwanaume mwenziye

Una uhakika anaishi pamoja na mwanaume mwenzake au unaingizwa king usipende kuwaamini wanawake kuna mda wanavutia upande wao.

Ukiachana na mwanamke unaweza pewa kashfa ya ajabu sana.... ndio maana si vyema kuachana nao kwa vurugu.. taaratibuu unamtosa...
 
Asiruhusu huyo baba ukute alishaanza kuwachezea hao watoto sasa wameanza kunogewa ,Mungu aepushe hiloo!cha kufanya au anawatia sumu mbaya aende kumshtaki kwa viongozi wa dini au mpk mahakamani.
Japo havikatazwi live vitendo vya kishiga ila bongo hatujafikia kua kama ulaya asehh!!shoga akulele mwana

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Inavyosemekana, kipindi cha nyuma alikuwa akiwachukua na kuwarudisha, sasa hatujui huko walikokuwa kama kulikuwa na usalama
 
2754471_JamiiForums-1361292337.gif

Halafu unamkosea sana kumuita huyo mama singo maza. Jua definition ya Single mother kwanza
 
Mtihani mgumu sana huu kama ni kweli alichoandika mleta uzi, wakae vikao vya pande zote mbili ikibidi viongozi wa Dini washirikishwe.
 
Ukute mmama anamsingizia huyo baba,anampaka matope kisa wameachana.Kuna mengi watu wakitengana.
 
Kuna rafiki yangu mmoja amekutana na changamoto za kifamilia. Yeye ni singo maza, ila huwa tunapeana kampani na ushauri mbalimbali pale panapohitajika.

Waliachana na mumewe, miaka saba iliyopita na walifanikiwa kupata watoto wawili wa kiume; ambao kwa sasa mmoja ana miaka 13 na mwingine 9. Sababu kubwa ya kuachana, ilikuwa fumanizi; na mbaya zaidi baada ya kuachana, yule mwanaume alitafuta mwanaume mwenzie na kumfanya mke, wakawa wanaishi pamoja.

Siku za hivi karibuni, huyu mwanamume aliyezaa na huyu singo maza akawa anawataka watoto wake; anataka akaishi nao. Kutokana na tabia ya huyo mwanaume, mama wa watoto hayuko tayari waende kwa baba yao, kwa sababu anahofia anaweza kuwaharibu watoto kutokana na hiyo kashfa aliyokuwa nayo.

Chakusikitisha usiku huu, huyu singo maza amenipigia simu kuniomba ushauri; kuwa watoto joni ya leo wanalia na wanataka waende kuishi na baba yao. Mama kwa uchungu anafikiria, gharama alizotumia kuwalea na leo watoto wanataka waende kwa baba yao asiyekuwa na msimamo au akili za kiume. Hofu kubwa, baba yao anaweza kuwaharibu.

Nilichomshauri, hili swala walimalize kifamilia; wazazi wa pande zote mbili wakae waangalie namna ya kutatua huo mgongano.

Wakuu, leteni ushauri...
Mtihani gani huu hata kwa kuangalizia hakuna?
 
Back
Top Bottom