Ushauri: Watoto wanataka kuishi na Baba ambaye aliachana na Mama yao baada ya kuanzisha mahusiano na Mwanaume mwenziye

Una uhakika anaishi pamoja na mwanaume mwenzake au unaingizwa king usipende kuwaamini wanawake kuna mda wanavutia upande wao.

Ukiachana na mwanamke unaweza pewa kashfa ya ajabu sana.... ndio maana si vyema kuachana nao kwa vurugu.. taaratibuu unamtosa...
 
Inavyosemekana, kipindi cha nyuma alikuwa akiwachukua na kuwarudisha, sasa hatujui huko walikokuwa kama kulikuwa na usalama
 
Mtihani mgumu sana huu kama ni kweli alichoandika mleta uzi, wakae vikao vya pande zote mbili ikibidi viongozi wa Dini washirikishwe.
 
Kwa tabia hiyo kama ni kweli ningekuwa mimi Mamndenyi huyo mwanaume nisingeongea naye mpaka kifo.

Hao watoto ningewaambia ukweli kuhusu tabia ya baba yao.

Misikiti Makanisa hadi miti ingejua tabia ya huyo baba labda ahame nchi.
 
Ukute mmama anamsingizia huyo baba,anampaka matope kisa wameachana.Kuna mengi watu wakitengana.
 
Mtihani gani huu hata kwa kuangalizia hakuna?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…