Ushauri: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa 2025 chukua fomu ili uliokoe taifa letu na hili genge. Tunajua msimamo wako na uchapakazi wako

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2020
Posts
4,170
Reaction score
6,757
Miaka miwili tu lakini taifa letu lina hali mbaya baada ya hili genge kukamata usukani.

Maisha ya watanzania yanatia huruma. Uwezo wa kula hata mlo mmoja ni ngumu kwa kila kaya.

Watanzania wanachangishwa tozo, ushuru na kodi za kila namna lakini hawaoni yanayofanyika.

Tril 1.3 za foreign reserve zimejenga madarasa hewa lakini mpaka sasa hatusikii lolote.

2025 chukua fomu na wanaCCM wenzako watakuelewa maana wapo kimya ila wanaumia
 
Mila na desturi za CCM haziruhusu jambo kama hilo kutokea.
a. Mwenyekiti Taifa huwa hashindanishwi na kada mwingine yeyote yule pale anapokuwa katika kipindi chake cha kwanza cha uongozi wake.
b. Fomu zitolewazo kwa mpeperusha bendera ya chama huwa ni seti moja, maana yake ni kwa mgombea mmoja tu.
c. Hata jambo la dharura likitokea, hii itakuwa ni zamu ya dhehebu Katoliki kumrithi dhehebu la Shia
 
Mila na desturi za CCM haziruhusu jambo kama hilo kutokea.
a. Mwenyekiti Taifa huwa hashindanishwi na kada mwingine yeyote yule pale anapokuwa katika kipindi chake cha kwanza cha uongozi wake....
Mabadiliko yanaweza kutokea any time
 
Busara gani huyo Jamaa Mimi namjua kukuzidi wewe Hana Elimu alikuwa mwalimu shule za msingi baadae secondary baadae chama Cha walimu baadae Mkuu wa wilaya hiyo degree yake ya mchongo Elimu yake ni Diploma tu
Hii sababu ya kutopiga kazi akiwa rais.
 
Hatoshi kuongoza nchi, waziri mkuu aliyekuwa rais ni J K Nyerere tu. Baada hapo ni wale wa hewala tu na ni miongoni mwa walioimba tunaimani na Lowasa wakati wa kura ya maoni ya CCM 2015.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…