Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Miaka miwili tu lakini taifa letu lina hali mbaya baada ya hili genge kukamata usukani.
Maisha ya watanzania yanatia huruma. Uwezo wa kula hata mlo mmoja ni ngumu kwa kila kaya.
Watanzania wanachangishwa tozo, ushuru na kodi za kila namna lakini hawaoni yanayofanyika.
Tril 1.3 za foreign reserve zimejenga madarasa hewa lakini mpaka sasa hatusikii lolote.
2025 chukua fomu na wanaCCM wenzako watakuelewa maana wapo kimya ila wanaumia