Ushauri: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa 2025 chukua fomu ili uliokoe taifa letu na hili genge. Tunajua msimamo wako na uchapakazi wako

Ushauri: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa 2025 chukua fomu ili uliokoe taifa letu na hili genge. Tunajua msimamo wako na uchapakazi wako

Busara gani huyo Jamaa Mimi namjua kukuzidi wewe Hana Elimu alikuwa mwalimu shule za msingi baadae secondary baadae chama Cha walimu baadae Mkuu wa wilaya hiyo degree yake ya mchongo Elimu yake ni Diploma tu
Marehemu alipenda sana kufanya kazi na watu wanafiki. Uwezo wake mdogo, wakati wa utawala wa marehemu, ulimfanya afanye mambo mengi kwa kukurupuka.

Kule Mtwara alimsimamisha daktari bingwa wa upasuaji ambaye alikuwa mmoja tu mkoa mzima, kisa kuna mama kalalamika mbele yake kuwa kabla ya upasuaji aliambiwa alipe 80,000. Naye kwa kukurupuka na kutafuta sifa za kijinga, akatangaza pale pale kuwa eti amemsimamisha kazi huyo daktari. Kuja kufanya uchunguzi, sh. 80,000 haikuwa rushwa bali ni kiwango cha utaratibu wa kuchangia gharama za matibabu, na aliyekuwa akipokea pesa hiyo wala hakuwa daktari, daktari alimwelezea tu yule Mama utaratibu uliopo kwenye hospitali.

Kwa aibu, kimya kimya, akaamuru daktari arudishwe kazini. Daktari naye akagoma kutokana na kudhalilishwa kwenye mkutano wa hadhara, hospitali ikabakia bila ya daktari bingwa wa upasuaji.
 
Marehemu alipenda sana kufanya kazi na watu wanafiki. Uwezo wake mdogo, wakati wa utawala wa marehemu, ulimfanya afanye mambo mengi kwa kukurupuka...
Marehemu Alivuruga Nchi Sana, Halafu Akiwa Ruangwa Ndiyo Aliukwepa Ule Moshi
 
Rais yupo mzima kabisa na anachapa kazi-msikitini 2021
WM Asamehewe tu. Naye jiwe alikuwa hatabiriki. Spati picha kama PM angetangaza kwamba mzee jiwe anaumwa then jiwe angepona na kuambiwa "taifa lote lilikuwa linakuombea maana Kassim aliwatangazia wananchi kwamba wewe ulikuwa unaumwa". Kwa maamuzi ya magu, sijui kama KM angeendelea kuwa WM.
 
Tril 1.3 za foreign reserve zimejenga madarasa hewa lakini mpaka sasa hatusikii lolote.
Mkuu hata kama una chuki hii sio poa...
Tembea ujionee madarasa mkuu.

Mama huenda ana mapungufu yake ila she is further furthest way better than the previous...

Kassim namkubali pia.. ila Mama ana nia thabit ya kututoa kwenye mkwamo.
 
Mkuu hata kama una chuki hii sio poa...
Tembea ujionee madarasa mkuu.

Mama huenda ana mapungufu yake ila she is further furtherst way better than the previous...

Kassim namkubali pia.. ila Mama ana nia thabit ya kututoa kwenye mkwamo.
Kwani tril 1.3 zilitengwa kwa ajili ya madarasa? Tuliambiwa tozo zitamaliza kila kitu
 
Kwani tril 1.3 zilitengwa kwa ajili ya madarasa? Tuliambiwa tozo zitamaliza kila kitu
Si kweli mkuu... Tozo zilienda kumaliza maboma yoote aliyoyaacha Jiwe hayajaisha...

Zahanati .. madarasa...vyoo ...mabweni...
Maeneo mbalimbali yalikuwa na miradi kibao haikuisha.
 
Busara gani huyo Jamaa Mimi namjua kukuzidi wewe Hana Elimu alikuwa mwalimu shule za msingi baadae secondary baadae chama Cha walimu baadae Mkuu wa wilaya hiyo degree yake ya mchongo Elimu yake ni Diplomaj
Kwani hao wenye ma Phd wamelisaidia nini taifa?awamu ya tano kila siku alikuwa ana teua maprof na ma Dr.kuna nini la maana walilofanya si kila siku ilikuwa ni kupangua tu!!!UINGEREZA walishaongozwa na PM mwenye diploma tu,na mambo yakaenda tu sembuse kwa huku kwa tumbili waliochangamka?

Yaani rais lazima awe na degree ila mbunge awe anajua kusoma na kuandika tu!!Yeye huyo hana uwezo huo wa kuwa rais kwani ni wale wale tu!

Afrika tunapenda sana sifa hasa za ki elimu.kwani viongozi karibia wote wa nchi za ulaya huko ni ma prof na ma Phd holders lakini huoni neno DR.kwenye utambulisho wao.

Sasa huku eti sasa na wahasibu wenye CPA nao wameanza kuchomekea neno CPA -BANDEKO, esema.
 
Kwani tril 1.3 zilitengwa kwa ajili ya madarasa? Tuliambiwa tozo zitamaliza kila kitu
Hiyo 1.3 tr tumshukuru sana Mama kuipigania hata ikatufikia. Ilikuwa nia yake ni kuthibiti makali ya Covid 19.. Angeweza zitapanya vyovyote... Ila akazileta chini kabisa kumnufaisha mtanzania masikini.

Angeweza kujenga daraja toka Coco beach hadi Zanzibar na hakuna mahali mngehoji.
 
Kwani hao wenye ma Phd wamelisaidia nini taifa?awamu ya tano kila siku alikuwa ana teua maprof na ma Dr.kuna nini la maana walilofanya si kila siku ilikuwa ni kupangua tu!!!UINGEREZA...
PhD za wanasiasa ni fake hata Magu PhD yake Ilikuwa fake
 
Miaka miwili tu lakini taifa letu lina hali mbaya baada ya hili genge kukamata usukani.

Maisha ya watanzania yanatia huruma. Uwezo wa kula hata mlo mmoja ni ngumu kwa kila kaya...
Asichukue, naye anajua hatachukua...
 
Miaka miwili tu lakini taifa letu lina hali mbaya baada ya hili genge kukamata usukani.

Maisha ya watanzania yanatia huruma. Uwezo wa kula hata mlo mmoja ni ngumu kwa kila kaya....
Wewe unamatatizo ya kumbukumbu hayo maovu yanafanyika ye yupo tena heri mi nichukuwe fomu namshinda huyo kwa uongozi sema tu ye kanyota kalitangulia lakini nikipewa nafasi huyo hanikariaii kiutendaji.
 
Miaka miwili tu lakini taifa letu lina hali mbaya baada ya hili genge kukamata usukani.

Maisha ya watanzania yanatia huruma. Uwezo wa kula hata mlo mmoja ni ngumu kwa kila kaya...
Kuzulumu haki ya Lowasa ya fair challenge ya u Rais kutaigharimu sana ccm
 
Mila na desturi za CCM haziruhusu jambo kama hilo kutokea.
a. Mwenyekiti Taifa huwa hashindanishwi na kada mwingine yeyote yule pale anapokuwa katika kipindi chake cha kwanza cha uongozi wake...
Usisahau pia kuwa hatukuwahi kumpoteza Rais akiwa madarakani.

Hivyo Wanachama waruhusiwe kuomba fomu na washindanishwe.
 
Back
Top Bottom