Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,308
- 32,757
π³π³π³π³πββοΈπββοΈπββοΈ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huna busara nakaziaNchi kuongozwa na mtu mwenye Elimu ya Diploma aliyepata ubunge wa kuiba kura sahau kuhusu Hilo Jambo kutokea.
Ndo amekuongoza enzi za yule Putin na bado anaendelea kukuongoza huyo huyo.
Ntachangia hela ya formMiaka miwili tu lakini taifa letu lina hali mbaya baada ya hili genge kukamata usukani.
Maisha ya watanzania yanatia huruma. Uwezo wa kula hata mlo mmoja ni ngumu kwa kila kaya...
Kuwa makini utasababisha hata hiyo 2025 yako unayotaka agombee asifike kwani Yeye sasa hivi amekuwa kama Swala anayewindwa na Simba, Kifaru, Chui na Nyati.Miaka miwili tu lakini taifa letu lina hali mbaya baada ya hili genge kukamata usukani.
Maisha ya watanzania yanatia huruma. Uwezo wa kula hata mlo mmoja ni ngumu kwa kila kaya...
Mengine yooootee ni porojo tu !!!Tunahitaji KATIBA MPYA!
Watu hamsahau yaliyopita? Tufanye yaliyopita si ndwele sasa tuanze kuganga yajayoHana Competence muongo muongo alisema Magufuli he still Alive kumbe amekufa Tena msikitini
Vipi tena maalim kulikoni mbona umesema hivyo? Ujue nimecheka sana
Hapo sasa maalim kufuru nikwamba anayeongoza amefeli au kufuru nikitendo cha anayetaka huyo mzee achukue fomu?Kuna vitu ukivisikia au kuvisoma ni kama kufuru maalim.
Minor ishuβRais ni mzima wa afya yuko busy ofisini ana mafile mengi anafanyia kazi, sio lazima azurure kariakoo ndiyo muamini kuwa ni mzimaβ
Mungu yupoKuwa makini utasababisha hata hiyo 2025 yako unayotaka agombee asifike kwani Yeye sasa hivi amekuwa kama Swala anayewindwa na Simba, Kifaru, Chui na Nyati.
Mbarikiwe wale mlionielewa mno hapa.
Huwezi kumtenganisha Waziri mkuu na mafanikio au failures za serikali kwani yeye ndio mtendaji mkuu wa serikali ndio maana akiamua kujiuzuru baraza lote la mawaziri litakuwa limevunjwa automatically.Miaka miwili tu lakini taifa letu lina hali mbaya baada ya hili genge kukamata usukani.
Maisha ya watanzania yanatia huruma. Uwezo wa kula hata mlo mmoja ni ngumu kwa kila kaya.
Watanzania wanachangishwa tozo, ushuru na kodi za kila namna lakini hawaoni yanayofanyika.
Tril 1.3 za foreign reserve zimejenga madarasa hewa lakini mpaka sasa hatusikii lolote.
2025 chukua fomu na wanaCCM wenzako watakuelewa maana wapo kimya ila wanaumia
Wewe ndio huna busara kabisaaaaa.Huna busara
Uwe na machache ya kusema omwana wa Tata.Busara gani huyo Jamaa Mimi namjua kukuzidi wewe Hana Elimu alikuwa mwalimu shule za msingi baadae secondary baadae chama Cha walimu baadae Mkuu wa wilaya hiyo degree yake ya mchongo Elimu yake ni Diploma tu
Wanakukumbusha jinsi huyo mtu alivyo mwongo.Ndio nini?