Powder
JF-Expert Member
- Jan 6, 2016
- 4,977
- 6,635
Wakufanya Hiyo Kazi hapa Tanzania Kwa sasa hayupo Madarakani.Waziri, IGP na DCI wafukuzwe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakufanya Hiyo Kazi hapa Tanzania Kwa sasa hayupo Madarakani.Waziri, IGP na DCI wafukuzwe
Kwanini useme waziri awajibike na sio Rais ? Kwanini usishauri Rais ndio awajibike, kwanini humgusi yeye na unaongelea wa chini yake ? Je yeye ni nani ?Kwanza, sidhani kama raisi (hata hayati JPM) alikuwa akifahamu kazi hizi za kuteka watu, na kuwapoteza kwani wanakuwa waambiwa baada ya tukio hivyo kuwaacha hata wao wenyewe wasiwe na nguvu yoyote kimamlaka.
Pili, nadhani (kama yale yalokuwa kwa JPM) lengo la matukio hayo ni kumharibia yeye mwenyewe raisi na sidhani kama yeye kama yeye amebadilishi sheria ili TIS wafanye unyama huu.
Tatu, hiki kikosi kipo na chajumisha wahuni na majambazi ambao hawako kwenye payroll rasmi ya serikali na kazi zao ni ad-hock pale wanapohitajika, hivyo kuwabaini inakuwa ngumu.
Nne, nnaposema waziri ajiuzulu ni katika kuwajibika (accountability na responsibility) kwamba kama yeye (Masauni) si sehemu ya unyama huu unofanywa na hichi kikosi kama kimebarikiwa na raisi kupitia sheria unosema imebadilishwa.
Hii ipo popote penye viongozi makini hukubalianina sera ama maamuzi fulani ya serikali au waona kazi yakushinda basi waachia ngazi ili usihesabiwe.
"Its so disgusting and pathetic" kuona waziri mzima "taking audacity" kuhudhuria msiba wa mtu ambae katekwa na kuuawa na wanosemekana ni watu wasojulikana ambao wapo kwenye payroll ya serikali.
Waziri wa Tanzania au upo ndotoniBila shaka mheshimiwa Masauni waziri wa mambo ya ndani umepata ujumbe kwamba hali ya usalama wa raia si nzuri.
Jukumu la kwanza kabisa la serikali ni kulinda raia wake na mali zao na wizara ya mambo ya ndani ndo yenye jukumu hilo na pia kuhakikisha ulinzi wa raia wake na mstakabali wa uchumi wa nchi upo sawa.
Wizara ya mambop ya ndani kupitia idara yake ya jeshi la polisi lina wajibu wa kuzuia au kuondoa uhalifu na kuwahakikishia raia wake kwamba wapo salama wao pamoja na mali zao.
Waziri ana wajibu wa kuhakikisha polisi watenda majukumu yao kwa ueledi, nidhamu na hawaonei raia bali kupata imani kwa raia hao kwamba jeshi hilo lawajali na pia lipo pamoja nao.
Nchi ikilindimwa na majanga kama haya ya utekaji, utesaji na uuaji wa raia wake pasipo kukamatwa kwa wahusika jambo hilo huzusha tafrani, hofu, mashaka na sintofahamu kubwa. Mwishowe hali ya wanachi kisiasa, kijamii, kisaikolojia na kiuchumi huathirika kwani raia hujawa hofu ya kwenda kwenye shughuli zao za kila siku kwa kuhofia kutekwa na kuishia kuuawa.
Kwa matukio haya ya utekaji, utesaji na mauaji ya watanzania wenzako wapaswa kujitafakari sana hali ni mbaya.
Hata kama watekaji, watesaji na wauaji ni majambazi na wahuni wengine, bado jeshi la polisi lisingechukua muda ulopita kabla haijawakamata wahusika na kuwafikisha kwenye mikono ya sheria.
Hadi sasa waziri Masauni umeshindwa kulisimamia kiuweledi jeshi la polisi lifanye kazi yake ipasavyo ya kuwatambua, kuwakamata na kuwafikisha kwenye vyombo vya sheria wahusika wote wanoleta madhila haya kwa wananchi wenzao.
Kama kipindi cha huko nyuma jeshi la polisi liliomba msaada wa JWTZ kushughulikia tatizo la Kibiti, basi huu ni wakati mwingine tena wa kufanya hivyo.
Wananchi wameingiwa sana na hofu kwamba mtu aweza fuatiliwa akikata tiketi, akipanda basi kwenda safari na kuishia kuteremshwa mahala kisha kupotezwa na baadae mwili wake kukutwa umetupwa kama mzoga.
Mheshimiwa waziri wapaswa kujiuliza kwanini sasa hivi ndo matukio haya yameshika tama? Je, tatizo ni nini na kwanini wanachama wa Chadema pekee ndo wahanga?
Pia Je, ni jambo lipo watu hawa wanotekwa la kuhatarisha usalama wa taifa wamelitenda?
Kwa mtazamo wangu, nimebaini kuwa ni ważi kwamba serikali kupitia vyombo vyake vya doła kuna kitu imegundua au kuna mambo ya hatari ambayo watekwaji hawa wameyafanya.
Ukiachila mbali suala la Sativa ambae lengo la watekaji wake lilikuwa ni aliwe na mafisi huko pori la Katavi, lakini hawa akina Soka na wenzie wawili, ni mambo yepi wamerekodiwa wakiyazungumza ambayo yahatarisha usalama wa CCM na serikali yake?
Mapendekezo.
1. Waziri Masauni ajiuzulu na ateuliwe waziri mwingine.
2. Waziri mpya wa mambo ya ndani aunde tume ya uchunguzi na aipe siku 14 kubaini wahusika wa matukio yote likiwemo tukio la Mbeya la wanachama wa Chadema kutekwa na kupigwa vibaya na polisi.
Tume hii pia iwahusishe wawakilishi wa Chadema au mwanasheria wake na pia iwe na mwakilishi wa familia za wahanga wa matukio yanotokea.
3. Kwa kuwa serikali kupitia raisi mwenyewe Samia Hassan imekiri kuwa kuna tatizo mahala, litakuwa jambo la busara kumuondoa mkurugenzi wa makosa ya jinai DCI ili kupisha uchunguzi wa tume.
Ningesema IGP nae aondoke lakini yaonekana tatizo lipo kwenye operesheni ambapo pia yumo mkuu wa operesheni na mafunzo na DCI hivyo ni bora watafutwe watu wengine wanofaa.
4. Kwa kuwa CCM kupitia katibu wake wa Itikadi na uenezi imekiri kuwepo tatizo, litakuwa ni jambo la dharura na uharaka kubaini watu waliomo ndani ya chama ambao kwa namna moja au ingine wahusika na matukio haya ambayo yataiweka Tanzania kundi moja na nchi za Chile au Vietnam na bila kusahau wakati wa utawala wa Adolf Hitler ambapo vikosi mbalimbali vilokuwa vikohusiana na serikali vilikuwa vikiteka watu na watu hao wasipatikane tena.
Watu hawa wakibainika ni lazima wafutwe uanachama na kisha kuchukuliwa hatua kali za kisheria.
5. Baada ya tume kumaliza uchunguzi wake na ikibainika kuwa vikosi vya serikali vyahusika na matukio haya, serikali iwalipe fidia wale wote ambao wameshurika na matukio haya.
Ni lazima watekaji hawa au watu wasojulikana watambuliwe ili kufahamu ni akina nani na si wahamiaji haramu wanotumiwa kwa kazi chafu au raia wa nchi zingine ambao hadi sasa wameonyesha kiwango cha juu cha ukatili dhidi ya watanzania. Hiyo ni kwasababu imeelezwa kuwa watu hawa huficha sura zao zisitambulike kirahisi na pia huvaa kiraia.
Ni vigumu kuamini kwamba nchi yetu kwa sasa imezalisha watu wasojulikana wenye ukatili wa kutisha.
Isitoshe haikulikani idadi iso rasmi ya raia wengine wanotekwa na kupitezwa jambo ambalo ni la hatari sana.
Au sasa hivi nchi imegeuka na kuwa Ukraine ambako watu wasombwa tu mitaani na kwenda kupotea kwenye vita na Russia?
My friend, I don't dispute kwamba raisi nae apaswa kuwajibika kwenye hili lakini waziri ambae ana dhamana alopewa na raisi na JMT ni mtu wa kwanza kuwajibika linapotokea jambo au majambo kama haya.Kwanini useme waziri awajibike na sio Rais ? Kwanini usishauri Rais ndio awajibike, kwanini humgusi yeye na unaongelea wa chini yake ? Je yeye ni nani ?
. Ili Waziri ajiuzulu, Rais pia awajibike…. Asibaki kuwa mtoa mikeka isiyo na tija yoyote kwenye utendaji , do you think akitoka waziri NDIO hali itabadilika…..?
Why accountability iwe kwa waziri tu na sio kwa huyo aliyemteua…..waziri ndio kateka mtu , hata yeye alipata taarifa baada ya tukio
Unasema Rais huwa hawajui, I think you are out of control ,
Mwalimu did the same , Aliua sana watu , Ben did the same , aliua sana watu, JK did the same , aliua sana watu , Ngosha did the same , aliua sana watu , Samia is doing the same na ni urith wao kutoka kwa mwalimu….. unajidanganya unaposema hawajui…… unahitaji kujifunza positions ya Rais katika nchi
The only president aliyekataa kufa na aibu matakoni mbele ya muumba wake ni Ali Hassan
Hawa wengine ni uzao wa shetani, watatu kati yao walishakufa
Huyu sio Kiongozi wa kwanza kumkuta huko Chadema,kuja kina Wangwe,Mawazo na wale wengine wa Vyama vinginevyo.Bila shaka mheshimiwa Masauni waziri wa mambo ya ndani umepata ujumbe kwamba hali ya usalama wa raia si nzuri.
Jukumu la kwanza kabisa la serikali ni kulinda raia wake na mali zao na wizara ya mambo ya ndani ndo yenye jukumu hilo na pia kuhakikisha ulinzi wa raia wake na mstakabali wa uchumi wa nchi upo sawa.
Wizara ya mambo ya ndani kupitia idara yake ya jeshi la polisi lina wajibu wa kuzuia au kuondoa uhalifu na kuwahakikishia raia wake kwamba wapo salama wao pamoja na mali zao.
Waziri ana wajibu wa kuhakikisha polisi watenda majukumu yao kwa ueledi, nidhamu na hawaonei raia bali kupata imani kwa raia hao kwamba jeshi hilo lawajali na pia lipo pamoja nao.
Nchi ikilindimwa na majanga kama haya ya utekaji, utesaji na uuaji wa raia wake pasipo kukamatwa kwa wahusika jambo hilo huzusha tafrani, hofu, mashaka na sintofahamu kubwa. Mwishowe hali ya wanachi kisiasa, kijamii, kisaikolojia na kiuchumi huathirika kwani raia hujawa hofu ya kwenda kwenye shughuli zao za kila siku kwa kuhofia kutekwa na kuishia kuuawa.
Kwa matukio haya ya utekaji, utesaji na mauaji ya watanzania wenzako wapaswa kujitafakari sana hali ni mbaya.
Hata kama watekaji, watesaji na wauaji ni majambazi na wahuni wengine, bado jeshi la polisi lisingechukua muda ulopita kabla haijawakamata wahusika na kuwafikisha kwenye mikono ya sheria.
Hadi sasa waziri Masauni umeshindwa kulisimamia kiuweledi jeshi la polisi lifanye kazi yake ipasavyo ya kuwatambua, kuwakamata na kuwafikisha kwenye vyombo vya sheria wahusika wote wanoleta madhila haya kwa wananchi wenzao.
Kama kipindi cha huko nyuma jeshi la polisi liliomba msaada wa JWTZ kushughulikia tatizo la Kibiti, basi huu ni wakati mwingine tena wa kufanya hivyo.
Wananchi wameingiwa sana na hofu kwamba mtu aweza fuatiliwa akikata tiketi, akipanda basi kwenda safari na kuishia kuteremshwa mahala kisha kupotezwa na baadae mwili wake kukutwa umetupwa kama mzoga.
Mheshimiwa waziri wapaswa kujiuliza kwanini sasa hivi ndo matukio haya yameshika tama? Je, tatizo ni nini na kwanini wanachama wa Chadema pekee ndo wahanga?
Pia Je, ni jambo lipo watu hawa wanotekwa la kuhatarisha usalama wa taifa wamelitenda?
Kwa mtazamo wangu, nimebaini kuwa ni ważi kwamba serikali kupitia vyombo vyake vya doła kuna kitu imegundua au kuna mambo ya hatari ambayo watekwaji hawa wameyafanya.
Ukiachila mbali suala la Sativa ambae lengo la watekaji wake lilikuwa ni aliwe na mafisi huko pori la Katavi, lakini hawa akina Soka na wenzie wawili, ni mambo yepi wamerekodiwa wakiyazungumza ambayo yahatarisha usalama wa CCM na serikali yake?
Mapendekezo.
1. Waziri Masauni ajiuzulu na ateuliwe waziri mwingine.
2. Waziri mpya wa mambo ya ndani aunde tume ya uchunguzi na aipe siku 14 kubaini wahusika wa matukio yote likiwemo tukio la Mbeya la wanachama wa Chadema kutekwa na kupigwa vibaya na polisi.
Tume hii pia iwahusishe wawakilishi wa Chadema au mwanasheria wake na pia iwe na mwakilishi wa familia za wahanga wa matukio yanotokea.
3. Kwa kuwa serikali kupitia raisi mwenyewe Samia Hassan imekiri kuwa kuna tatizo mahala, litakuwa jambo la busara kumuondoa mkurugenzi wa makosa ya jinai DCI ili kupisha uchunguzi wa tume.
Ningesema IGP nae aondoke lakini yaonekana tatizo lipo kwenye operesheni ambapo pia yumo mkuu wa operesheni na mafunzo na DCI hivyo ni bora watafutwe watu wengine wanofaa.
4. Kwa kuwa CCM kupitia katibu wake wa Itikadi na uenezi imekiri kuwepo tatizo, litakuwa ni jambo la dharura na uharaka kubaini watu waliomo ndani ya chama ambao kwa namna moja au ingine wahusika na matukio haya ambayo yataiweka Tanzania kundi moja na nchi za Chile au Vietnam na bila kusahau wakati wa utawala wa Adolf Hitler ambapo vikosi mbalimbali vilokuwa vikihusiana na serikali vilikuwa vikiteka watu na watu hao wasipatikane tena.
Watu hawa wakibainika ni lazima wafutwe uanachama na kisha kuchukuliwa hatua kali za kisheria.
5. Baada ya tume kumaliza uchunguzi wake na ikibainika kuwa vikosi vya serikali vyahusika na matukio haya, serikali iwalipe fidia wale wote ambao wameshurika na matukio haya.
Ni lazima watekaji hawa au watu wasojulikana watambuliwe ili kufahamu ni akina nani na si wahamiaji haramu wanotumiwa kwa kazi chafu au raia wa nchi zingine ambao hadi sasa wameonyesha kiwango cha juu cha ukatili dhidi ya watanzania. Hiyo ni kwasababu imeelezwa kuwa watu hawa huficha sura zao zisitambulike kirahisi na pia huvaa kiraia.
Ni vigumu kuamini kwamba nchi yetu kwa sasa imezalisha watu wasojulikana wenye ukatili wa kutisha.
Isitoshe, haikulikani idadi iso rasmi ya raia wengine wanotekwa na kupotezwa jambo ambalo ni la hatari sana.
Au sasa hivi nchi imegeuka na kuwa Ukraine ambako watu wasombwa tu mitaani na kwenda kupotea kwenye vita na Russia?
Jamaa bado hajaandika barua tu.!?? Aisee .. AFRICA .!!?Bila shaka mheshimiwa Masauni waziri wa mambo ya ndani umepata ujumbe kwamba hali ya usalama wa raia si nzuri.

Polisi hawawezi kujichunguza wenyewe, maana tumeambiwa walionekana wamebeba silaha na pia matehemu aliingizwa kwenye gari ya Landcruiser hardtop.Huyu sio Kiongozi wa kwanza kumkuta huko Chadema,kuja kina Wangwe,Mawazo na wale wengine wa Vyama vinginevyo.
Uchunguzi wa Polisi utatoa majibu,Tume ni kupoteza hela
Bibi ushungi ni mhusika mkuuWakufanya Hiyo Kazi hapa Tanzania Kwa sasa hayupo Madarakani.
Ile kumzomea kwanza imesaidia snAjiuzulu kwanza.
Yap ni waoWafukuzwe na nani ndugu yangu wakati ni dhahiri wahusika ni serikali kuna mtu anaweza kubeba bunduki kwa kujiamini vile mchana kweupe
Ushauri wa kipumbavu ,ninyi mlikuwa wapi wakati inatengenezwa ile sheria ya kuzuia Hao vibaka wa TISS kushitakiwa mwaka 2023 ?Bila shaka mheshimiwa Masauni waziri wa mambo ya ndani umepata ujumbe kwamba hali ya usalama wa raia si nzuri.
Jukumu la kwanza kabisa la serikali ni kulinda raia wake na mali zao na wizara ya mambo ya ndani ndo yenye jukumu hilo na pia kuhakikisha ulinzi wa raia wake na mstakabali wa uchumi wa nchi upo sawa.
Wizara ya mambo ya ndani kupitia idara yake ya jeshi la polisi lina wajibu wa kuzuia au kuondoa uhalifu na kuwahakikishia raia wake kwamba wapo salama wao pamoja na mali zao.
Waziri ana wajibu wa kuhakikisha polisi watenda majukumu yao kwa ueledi, nidhamu na hawaonei raia bali kupata imani kwa raia hao kwamba jeshi hilo lawajali na pia lipo pamoja nao.
Nchi ikilindimwa na majanga kama haya ya utekaji, utesaji na uuaji wa raia wake pasipo kukamatwa kwa wahusika jambo hilo huzusha tafrani, hofu, mashaka na sintofahamu kubwa. Mwishowe hali ya wanachi kisiasa, kijamii, kisaikolojia na kiuchumi huathirika kwani raia hujawa hofu ya kwenda kwenye shughuli zao za kila siku kwa kuhofia kutekwa na kuishia kuuawa.
Kwa matukio haya ya utekaji, utesaji na mauaji ya watanzania wenzako wapaswa kujitafakari sana hali ni mbaya.
Hata kama watekaji, watesaji na wauaji ni majambazi na wahuni wengine, bado jeshi la polisi lisingechukua muda ulopita kabla haijawakamata wahusika na kuwafikisha kwenye mikono ya sheria.
Hadi sasa waziri Masauni umeshindwa kulisimamia kiuweledi jeshi la polisi lifanye kazi yake ipasavyo ya kuwatambua, kuwakamata na kuwafikisha kwenye vyombo vya sheria wahusika wote wanoleta madhila haya kwa wananchi wenzao.
Kama kipindi cha huko nyuma jeshi la polisi liliomba msaada wa JWTZ kushughulikia tatizo la Kibiti, basi huu ni wakati mwingine tena wa kufanya hivyo.
Wananchi wameingiwa sana na hofu kwamba mtu aweza fuatiliwa akikata tiketi, akipanda basi kwenda safari na kuishia kuteremshwa mahala kisha kupotezwa na baadae mwili wake kukutwa umetupwa kama mzoga.
Mheshimiwa waziri wapaswa kujiuliza kwanini sasa hivi ndo matukio haya yameshika tama? Je, tatizo ni nini na kwanini wanachama wa Chadema pekee ndo wahanga?
Pia Je, ni jambo lipo watu hawa wanotekwa la kuhatarisha usalama wa taifa wamelitenda?
Kwa mtazamo wangu, nimebaini kuwa ni ważi kwamba serikali kupitia vyombo vyake vya doła kuna kitu imegundua au kuna mambo ya hatari ambayo watekwaji hawa wameyafanya.
Ukiachila mbali suala la Sativa ambae lengo la watekaji wake lilikuwa ni aliwe na mafisi huko pori la Katavi, lakini hawa akina Soka na wenzie wawili, ni mambo yepi wamerekodiwa wakiyazungumza ambayo yahatarisha usalama wa CCM na serikali yake?
Mapendekezo.
1. Waziri Masauni ajiuzulu na ateuliwe waziri mwingine.
2. Waziri mpya wa mambo ya ndani aunde tume ya uchunguzi na aipe siku 14 kubaini wahusika wa matukio yote likiwemo tukio la Mbeya la wanachama wa Chadema kutekwa na kupigwa vibaya na polisi.
Tume hii pia iwahusishe wawakilishi wa Chadema au mwanasheria wake na pia iwe na mwakilishi wa familia za wahanga wa matukio yanotokea.
3. Kwa kuwa serikali kupitia raisi mwenyewe Samia Hassan imekiri kuwa kuna tatizo mahala, litakuwa jambo la busara kumuondoa mkurugenzi wa makosa ya jinai DCI ili kupisha uchunguzi wa tume.
Ningesema IGP nae aondoke lakini yaonekana tatizo lipo kwenye operesheni ambapo pia yumo mkuu wa operesheni na mafunzo na DCI hivyo ni bora watafutwe watu wengine wanofaa.
4. Kwa kuwa CCM kupitia katibu wake wa Itikadi na uenezi imekiri kuwepo tatizo, litakuwa ni jambo la dharura na uharaka kubaini watu waliomo ndani ya chama ambao kwa namna moja au ingine wahusika na matukio haya ambayo yataiweka Tanzania kundi moja na nchi za Chile au Vietnam na bila kusahau wakati wa utawala wa Adolf Hitler ambapo vikosi mbalimbali vilokuwa vikihusiana na serikali vilikuwa vikiteka watu na watu hao wasipatikane tena.
Watu hawa wakibainika ni lazima wafutwe uanachama na kisha kuchukuliwa hatua kali za kisheria.
5. Baada ya tume kumaliza uchunguzi wake na ikibainika kuwa vikosi vya serikali vyahusika na matukio haya, serikali iwalipe fidia wale wote ambao wameshurika na matukio haya.
Ni lazima watekaji hawa au watu wasojulikana watambuliwe ili kufahamu ni akina nani na si wahamiaji haramu wanotumiwa kwa kazi chafu au raia wa nchi zingine ambao hadi sasa wameonyesha kiwango cha juu cha ukatili dhidi ya watanzania. Hiyo ni kwasababu imeelezwa kuwa watu hawa huficha sura zao zisitambulike kirahisi na pia huvaa kiraia.
Ni vigumu kuamini kwamba nchi yetu kwa sasa imezalisha watu wasojulikana wenye ukatili wa kutisha.
Isitoshe, haikulikani idadi iso rasmi ya raia wengine wanotekwa na kupotezwa jambo ambalo ni la hatari sana.
Au sasa hivi nchi imegeuka na kuwa Ukraine ambako watu wasombwa tu mitaani na kwenda kupotea kwenye vita na Russia?
Amuharibie nini ? Kuna lolote amefanya la maana linaloweza kuharibiwa?My friend, I don't dispute kwamba raisi nae apaswa kuwajibika kwenye hili lakini waziri ambae ana dhamana alopewa na raisi na JMT ni mtu wa kwanza kuwajibika linapotokea jambo au majambo kama haya.
Pia nilisema kwamba raisi huwa hafahamu hili, hapo nikiri kwa mazingira haya huenda ikawa sivyo ninavyowaza lakini naamini kuwa kuna ajenda kubwa nyuma ya matukio haya na moja ya ajenda hizo ni kumharibia kiongozi wa juu kunofanywa na watu wasoridhika na mambo fulanifulani.
Kwa kuwa raisi huwa briefed na waziri Masauni, pamoja na IGP na DCI basi yeye (raisi) apaswa kuwaambia kuwa nafasi zao ni "unattainable" kwamba hawezi kufanya kazi nao.
Akijiuzulu waziri Masauni na DCI akaondolewa pengine pamoja na IGP na ikakundwa tume huru ya uchunguzi kubaini wasojulikana makatili.
Ndo maana hata ubalozi wa Marekani umesisitiza pia kuwepo uchunguzi huru bila kugusia kujiuzulu kwa waziri au raisi maana hiyo hatua weye wafahamu ni ngumu kutekelezwa.