Ushauri wenu: Baba anataka kuuza mali, hataki kunigawia mimi mwanae

tafuta zako mkuu, hizo ni za kwake ana haki ya kufanya hivyo, kikubwa amekulea inatosha
 
Mkuu yaani una 39 lakini bado upo nyumbani kwa wazazi.
Mindset yako ya kuamini una haki ya mali na kusubiri ajira ndio imekuharibu.
Badili mindset yako.

Btw baba yako yupo sahihi wewe ni mtu mzima na inatakiwa kujitambua na wala sio matusi.

Ila hii stori ina asilimia kubwa ya kuwa fiction kitu kama hicho kina asilimia chache za kutokea in reality.
 
Nenda ccm lumumba ndio urithi wako ulipo
 
Ila kwa akili hiyo wewe sio firstborn. Firstborn hatupo hivyo
 
Kwani wale wanaouza maji kwenye stendi au foleni za magari wanahitaji mitaji ya sh ngapi
 
akiri yako imejaa nya, bora huyo mzee wako alitoka nje na nyundo, ngekua mimi ngetoka na mundu nikuchote ubongo
 
Na mzee akifa tutakuangalia kwa jicho la tatu, pusi wewe
 
Na kilichokufanya uwe mjinga ni hiyo kutegemea Mali za urithi. hope wadogo zako sio maboya kama wewe. Asante Mungu sijawahi kufikiria khs mali za kurithi.
 
Sio mbaya kwenye mauzo ya mali akikuchanganya na wewe akuuze, ndugu zako waongezewe urithi
 
Mkuu ninayo dawa ya kumfanya huyo baba ako akuachie nyumba ..ila sharti tukishamniaje tunauza tunagawana pesa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…