Ushauri wenu: Baba anataka kuuza mali, hataki kunigawia mimi mwanae

KATAFUTE ZA KWAKO!!! Ndo nyie mnaoweza hata kuwaombea wazee mabalaa ili tu MRITHI!!
 
Hapana mkuu mimi sina shida yeyote, pale ni kwetu mkuu na nina haki ya kupata mgao sawa sawa
HUNA HAKI YA KUPATA CHOCHOTE mkuu Tena ningekuwa ndo huyo Mzee wako NINGEKUTIMULIA MBALI!!! ACHA TAMAA KWA MALI ZISIZO ZAKO!!!
 
M Maoni yetu Ni KATAFUTE MALI ZA KWAKO USIMKERE MZEE WA WATU NA GUBU LAKO LA TAMAA KWA MALI ZISIZO KUHUSUUUUI!!!!
 
Wewe kweli Ni bwege na hujielewi nazani ,, Akili yako Haina akili Yani wewe Ni hasara kwa wazazi wako Bora hata angekojolea kwenye condom tu
 
Wewe ungekua Ni mti, Basi ungekua mpapai wa kiume.
Yaani haufai popote hata kwa gogo la choo.
 
 
Ningekuwa baba ako ningekuchoma hata moto kwa akili zako ulizo nazo mkuu[emoji23].

Ushauri wangu; tafta kamba ngumu, tengeneza kitanzi safi, funga juu ya mti, vaa kitanzi shingoni, jitundike hadi ufe.

Utakuja kunishukuru
 
Kwa Umri huo inasikitisha sana ukiwa huna mbele wala nyuma huku ukivitolea macho vya Mzee wako.

Achana na mambo ya kulia lia na kuegemea kwa Wazazi.

Sawa sawa Mshua wako anavyokutosa, anataka utie akili.

Mshua wako wala hajakosea kukuambia "hujielewi" .

Cha ajabu baada ya kutoswa bado unakomaa unataka kumfungulia mashitaka Mshua wako
 
Hapana mkuu mimi sina shida yeyote, pale ni kwetu mkuu na nina haki ya kupata mgao sawa sawa
😡😡😡😡😡😡 huna mgao pale. Kwani umeambiwa mali za baba yako ni za kugawa kana kwamba hazina m wenyewe? Mwenye nacho huongezewa. Hao ndugu zako kama wameishajitafutia wataongezewa nawe utabaki na kijiba cha roho. Pia angalia maoni ya wengi hapa. Utajua la maana la kufanya.
 
Ndomana huwa sijutii kutokusoma kwa elim yako namtizamo uliokuwa nao ni hatari huyo baba yako nibaba bora hebu zaa mtoto umsomeshe had ulipofikia uone balaa lake
 
Urithi wa kweli ni ELIMU.....
Hai ingii akilin graduate Tena mwanaume wa Miaka 39......

Kulilia urithi wa mzee akiwa hai sijui iyo ELIMU imekusaidia nini....huna tofauti na TEJA

Kuna muda nawaza maybe wew ndio tatizo....

Marehemu babu yangu alipenda kuniambia nakupa akiba ya maneno....
Ngoja na mimi leo nikupe akiba ya maneno...

1. Kama wewe ni mkristo au muislam Nenda Kwa mtumishi wa mungu yeyote unae muamini kwa ajili ya Dua au maombezi.
(Vifungo vya kiroho)

2. Under determination one can turn a desert into evergreen forest...
Ikikupendeza anzishaa uzi elezea umesomea nini....Omba connection pia kubali kuanzia chini (zero) ukipata hata kibarua kisicho husiana na ulicho somea wewe anza nacho.....pekee akilini waza kutafuta vyako

After years utakuja hapa Jf kutupa mrejesho chanya.
 
Baba yako ni kichwa ila kaona amezaa zuzu ndio maana kakutimua kutokana na mbanga zako za kutaka kujiunga na CCM kisa hauna ajira nyinyi ndio watu mkipewa nafasi hamtumii taaluma yenu ila mnaangalia kulinda matumbo yenu kaka profesa majalala, kudos mshua boi🤣🤣
 
Miaka 39 bado unakaa nyumbani, kwanza shida ya kwanza ni wewe
alafu anasema mimi nikijana wa miaka 39...Sema mie ni mbaba...unatakiwa ungekuwa na mtoto wa miaka 19...kama ungekuwa fasta..na huyu mtoto wa miaka 19 anagekuwa na mtoto wa mwaka mmoja...So wewe ni babu. Wenzio eji ya secondary...tulisepa kimoja home...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…