Ushauri wenu ndugu zangu, kwenye mkasa huu ulio mbele yangu

ubnt, Kama unampenda muoe2 brother maaan ata ukimuacha hutaixhi kwa aman amin ninacho kwambia we jiangalie2 ata saiv unavyojihis na kile kipind uponae ilikuaj
shukrani mkuu
 
Hao wanaitwa drama girls. Jiulize maswali yafuatayo:
1. Kwa nini akwambie ana mimba wakati alikuwa na mpango wa kuitoa. Kwa nink asingeitoa kimya kimya bila wewe kujua?

Jibu ni kwamba, hakuwa na mimba...ni drama tu.

Jambo la pili ni kujiuliza kwa nini anafanya drama? Jibu lake ni kwamba anataka kuchezana akili yako...she is not into you. Ila anajaribu kukufanya utafute sababu ya kumuacha. Ili yeye asionekane ndo kakuacha. Anajua fika hakuna mwanaume anaweza kuvumilia upuuzi huo halafu akaendelea na uhusiano...kwa lugha nyingine ni kwamba ana kutega.

Jeni kwa nini anakutega. Jibu laweza kuwa ana uhusiano mwingine..ambao ndo anauthamini zaidi kuliko wako. Hata kitendo cha kukudanganya ana mimba...ni kama alikuwa anakwambia..hey Im in another relation.

Nini cha kufanya? Usiendelee kuwasiliana naye..fanya yako, endelea na maisha yako.
 
Hao wanaitwa drama girls. Jiulize maswali yafuatayo:
1. Kwa nini akwambie ana mimba wakati alikuwa na mpango wa kuitoa. Kwa nink asingeitoa kimya kimya bila wewe kujua?

Jibu ni kwamba, hakuwa na mimba...ni drama tu.
Jamaa alikosea Jambo moja kubwa sanaa.


ULITAKIWA UMPIME MKOJO SIKU ILE ILE KAMA ANA MIMBA KWELI KIPIMO NI BUKU TU. LEO NINGEJUA CHA KUKUSHAURI LAKINI KWA HAPA INAWEZEKANA NI DRAMA KAKUCHEZEA AU NI KWELI.

Lakini mimi mwanamke nikishajua amelala na mwanaume mwingine bila hata kukiri bhasi NAMUACHA BILA HATA KUJIULIZA. Pole sana.
 

Vijana bwana sijui kwa nini wanajidanganya kuwa papuchi ni yao peke yao eti kisa ni mpenzi.
 
Mkuu wakati unashusha kisa chako nikajua ni Mimi nimekua reincarnated kwasababu kisa chako mwanzo mwisho ni kama changu enzi hizo,kwasasa nipo single maisha yanaenda....

Utofauti wa kisa chako na changu ni kuwa we ulifikisha miaka 7 Mimi ilikua 6,pili katika umri wako we we umenipita miaka 4,pia Mimi aliekua wangu aliekua kaishia kidato cha NNE,

Vitu vingi karibia asilimia 90 ya story yako inafanana na yangu, Mimi baada ya kuona bi Dada ananichezea Korean drama tuliachana tena sasa nakaribia mwaka,

kwenye hicho kipengele cha mimba me mpaka Leo sielewi ilikuaje kuaje na hata kuelezea nashindwa!!

Tulikua tunapenda sanaaaaa ila tulivyokaribia kukamilisha lengo LA uchumba akaanza dramaz halafu lawama zotee za kuvunjika kwa mahusiano amezirudisha kwangu na ananitangazia mbovu kwa watu tofauti tofaut nionekane mbaya!!!

Anyway nisiandike sanaa nikikumbuka Yale mahusiano najikuta sina akili mana nilipelekeshwa sana kama gari bovu,

Mimi sitakushauri kitu ila aliekua wakwangu nilimuacha akacheze drama cha kihindi kwa wengine!
 
asante mkuu kwa ushauri wako mkuu ntaufanyia kazi
 
shurani mkuu.
 
Kama hakuelewi, muulize alianza aje mahusiano na mtu mwingine mpaka akapata mimba? Kwamba si mwaminifu.
 
Kwanza kabisa elewa kuwa huna hatimiliki ya mwili wa mtu mwingine.

Lengo la kuoa ni pamoja na kuusongeza ubavuni pako mwili uliobeba mbunye uliyoipasisha, uwe karibu nayo ili ukiitaka unaichakata 'tani yako'
Kwa kuwa wanawake wote akili zao zinafanana, usitarajie kukuta mwanamke ana akili tofauti na za kike.
Umewekeza upendo wako kwa miaka 7 ukila denda na kutikisa vuzi kwa staili zote mpaka ataili za majaribio (mibinuko ya kila aina) leo mwenzio kaonjeshwa tu unaanza kuchana ramani ya maisha yako?
Uwe na uhakika ukimuacha huyu utakayempata atakua na sugu za kutosha kwenye mashavu ya mbunye!! Means hakuna mbunye isiyochakatwa.

Fungua ukurasa mpya na demu wako huyo huyo.

Sharti la kwanza piga free kick hadi nyavuni.
Ndoa akiwa na kitumbo cha miezi 4.

Uisomapo nahau "kupanga ni kuchagua" uwe na uelewa sambamba kuwa "kupanga ni kupangua"
Nimalizie kukwambia hivii:-
Ng'ombe hajui thamani ya mkia wake mpaka ukatwe.
 
Ameshakwambia mwenye mimba hana mpango nae ..we unahs walikutana mara moja eti nd akapata mimba huo ni mtindo wa mara kwa mara ..achana na mazoea najua huna dem mwngine ndo mana unateseka achana na mazoea huyo sio mtu kabisa
 
Ameshakwambia mwenye mimba hana mpango nae ..we unahs walikutana mara moja eti nd akapata mimba huo ni mtindo wa mara kwa mara ..achana na mazoea najua huna dem mwngine ndo mana unateseka achana na mazoea huyo sio mtu kabisa
asante mkuu nimkuelewa mkuu
 
Uyo nakushauri mwache aendelee na maisha yake tu ni msaliti, mwanamke mzinzi sio. Wa kuendelea nae ata kwenye ndoa ata chepuka tu chakufanya ongea na mama yake mwambie binti yako kanishinda kafikia steji mpk ya kutoa mimba, alafu pia uyo alikua ashakuacha kama yule bwana aliempa mimba angekua ana mjali baada ya kuona hapati upendo wowote wala care akaamua arudishe majeshi kwaio usifanye maamuzi ya kua nae Muombe mungu akuoneshe mchumba atakaye kufaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…